Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Sawa, Lissu sio leadership , leadership material ni huyo secretary wa Boss aliyepo hapo ikulu.
 
Taahira ni yule anayedai watu kutekwa na kupotezwa/ kuuawa ni drama, na huyo hata wewe mwenyewe unamfahamu vyema, mikono yake imejaa damu, hadi msaidizi wake kaamua kukataa kazi.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Sasa huyo nyoka sisi tunamfahamia wapi? Nyoka ni dude baya!
 
Alizingua sana!

Angalia kauli alizotoa Ndugai ambazo baadae zilimcost uspika wake na kinachoendelea sasa hivi kuhusu mikopo!
Tuchange bukubuku tukajenge daraja pale jangwani,mpigie ndugai tuanzishe hiyo kampeni
 
Hata mimi nazipenda hasa zikiwahusu wale wanaoona ujanja kuwatanguliza wengine ili wao waendelee kutapanya. Kwani wewe ukisikia yule kibaka aliyekuwa anasumbua mtaani kwako kaondoshwa, hutafurahi!?
Mbona sasa Lissu hana sifa hizo

Na hapa yeye ndio yuko kikaangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…