Kiburi kikizidi sana,mwishowe ni aibu!
High time mr slim ajue his position, yy sio tishio kwa lolote zaidi ya ukibaka anaoufanya Drc kwa support ya some western countries, aache ulafi na ubinafsi unaotuhumiwa kuwa sehemu ya jamii ya kitutsi,anonesha wazi wao ni jamii ya namna gani na dunia iwaangaliaje na kudeal nao vp.
 
SA ndiyo wanao fanya mazoez ya kivita na russia, china.. Kagame ana siri nying za kijasus kuhusu jesh la SA.. ISRAEL alimkalisha Iran
Punguzeni kula ugolo vijana.

Wewe ukimjua mwakinyo anapigana orthodox na udhaifu wake ni upande wa kushoto ndiyo utafanya uanze kumchimba mikwara kisa unajua udhaifu wake wakati kiuhalisia hauna uwezo wowote wa kusimama na mwakinyo kwenye ring.au ubovu wa Manchester united ndiyo coastal union aanze mikwara na kumkazia kwamba wakikutana man u atakula nyingi?

South Africa ambae anatengeneza silaha zake za kivita na anaziuza hadi nchi zilizoendelea huko mambele. Nyie watu asee!!

Wabongo hivi mmekuwaje?
 

Kuilinganisha South Africa na Rwanda ni sawa na Kulinganisha Landcruiser na Passo
Rwanda haina uwezo wowote wa kuipiga South Africa labda uwezo wa kuvizia na kurusha bomu kama alshabab. Mji mmoja tu kama Cape town au Johannesburg au hata Durban, una nguvu ya uchumi kuliko nchi nzima ya Rwanda
 
Huo woga, itakua kuna dawa anaandaliwa
 
Mavi hayo hana,na huo mlio katia itakua south wanaongeza silaha,huwa kinatoa mikwala kila kikiona hatari dhidi yake
Wanajeshi wa SA watanyooshwa sana kwenye misitu ya Congo, hawajawahi hata kupigana vitu kubwa kama wanajeshi wa Rwanda ambao vita ni maisha yao.
 
Rwanda Iko ni dhaifu ikiwa Tanzania na Uganda wataamua kufunga mipaka kwa muda kumpa onyo.
Lakini vita na utajiri wa Congo una maslahi kwa wengi ndalni na .nje ya congo ndio maana Hilo eneo Lina matatizo kila siku
 
Waulize Wamarekani walichokutana nacho Vietnam kwa Viet Cong, Labda Tz ndio wanaweza wakatoana jasho na Rwanda ila SA ni wepesi sana kwa Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…