Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umerudi hatimayeYanaondoka Middle East yanahamia Afrika, mradi damu zimwagike kwa wingi tu.
Ushetani kazini.
Kila siku anaingiza jeshi Congo sasa amiss mara ngapi?Kuna siku kitawaka hapo Rwanda, alishazoea vita anamiss kashkash.
Hiyo ni proxy war anayoifanya ndio maana huwa anakataa kuhusika sometimes.Kila siku anaingiza jeshi Congo sasa amiss mara ngapi?
💯Jibu ni kuunganisha Afrika na kuwa jinchi moja kubwa na lenye nguvu.
Anatafuta tension na masifa nchi ambayo ni masikini duniani ikashindane na nchi ambayo ni G20 huyo Kagame anaakili kweli??NYie madogo hamjui kitu. Vita ni pamoja na nidhamu ya wanajeshi. SA hawana jeshi la maana. Kagame ana watu wana nidhamu. Usione SA kubwa lakini inaweza kuwa kubwa Jinga. Angalia Israel na Iran au maadui zake utaelewa. South Africa inauza silaha gani nchi zilizoendelea kwa wingi? Unadhani Kagame kuongea hivyo ameropoka au hajui athari yake? Wanajeshi wa SA. wanaweka silaha chini wanaondoka. Hawana nidhamu kabisa.
delusion!Rais wa Rwanda Paul Kagame amemuonya Rais Cyril Ramaphosa akisema Kiongozi huyo wa Afrika Kusini amepotosha mazungumzo yao ya Faragha waliofanya na kusema kama Afrika Kusini inataka makabiliano basi Rwanda iko tayari kujibu.
Katika waraka wake mzito alioandika kwenye Mtandao wake wa X, Rais Kagame amesema alifanya mazungumzo mawili wiki hii na mapema jana na Rais Ramaphosa kuhusu hali ya Mashariki mwa DRC, akisema kuwa kile kilichosemwa na maafisa wa Afrika Kusini na Rais Ramaphosa mwenyewe kuhusu mazungumzo yao kwenye vyombo vya habari kimejaa upotoshaji mwingi.
Rais Kagame amesema ikiwa maneno yanaweza kubadilika kiasi hicho kutoka kwenye mazungumzo hadi kwenye tamko la umma, inasema mengi kuhusu jinsi masuala haya muhimu yanavyoshughulikiwa.
Rais Kagame amesema ikiwa Afrika Kusini inataka kuchangia suluhisho la amani huko Mashariki mwa DRC hilo ni jambo jema, lakini haina nafasi ya kuchukua jukumu la mpatanishi au msuluhishi. Na iwapo Afrika Kusini itataka makabiliano, Rwanda iko tayari kujibu hilo.
Ety chawa wa mama mbona hamja mjibu kagame kuhuu uhalali wa sadc kupeleka majeshi congoCDF Maphwanya kupitia sabc ameeleza hayo.
Nachojiuliza zaidi zile shit alizotema Kagame kuhusu SADC na Samia yupo ndani ni dharau ya namna gani!?
Hiyo picha ilishafanyiwa uchunguzi ni fake.Putin havai saa mkono wa kushoto.Acha kilinganisha na jeshi la enzi za Mchonga na hawa Bongo movie walioingizwa jeshini kwa vimemo japo ukitoa vita dhidi ya Idd Amin huku kwingine ni nchi nyingi sana zilishiriki kusaidia ila propaganda za kuhadaa Wabongo kuhusu umuhimu wetu zilikuwa kubwa na zilitiwa chunvi sana.
Russia(then USSR) na Cuba literally ndiyo waliikomboa Angola
View attachment 3218247View attachment 3218248View attachment 3218249View attachment 3218250View attachment 3218251View attachment 3218252
Sema sijapenda Kagame anavyo wananga sadc na chawa wa mama wako kimyaVita kamili inakaribia, ni suala la muda tu!
Kutokana na umri alionao, hana cha kupotezaSema sijapenda Kagame anavyo wananga sadc na chawa wa mama wako kimya
Keshajaa kiburi na kafanya inteligensia ya kutosha anajua uwezo wa kila nchi inayojihusisha DRC ndio matokeo yake! Hilo pande la Kivu analitaka sana na kwa nguvu zote kajiandaa kulinyakuaSema sijapenda Kagame anavyo wananga sadc na chawa wa mama wako kimya
Pamejaa utajiri wa Dunia paleKeshajaa kiburi na kafanya inteligensia ya kutosha anajua uwezo wa kila nchi inayojihusisha DRC ndio matokeo yake! Hilo pande la Kivu analitaka sana na kwa nguvu zote kajiandaa kulinyakua