Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!
NYie madogo hamjui kitu. Vita ni pamoja na nidhamu ya wanajeshi. SA hawana jeshi la maana. Kagame ana watu wana nidhamu. Usione SA kubwa lakini inaweza kuwa kubwa Jinga. Angalia Israel na Iran au maadui zake utaelewa. South Africa inauza silaha gani nchi zilizoendelea kwa wingi? Unadhani Kagame kuongea hivyo ameropoka au hajui athari yake? Wanajeshi wa SA. wanaweka silaha chini wanaondoka. Hawana nidhamu kabisa.
Anatafuta tension na masifa nchi ambayo ni masikini duniani ikashindane na nchi ambayo ni G20 huyo Kagame anaakili kweli??
 
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemuonya Rais Cyril Ramaphosa akisema Kiongozi huyo wa Afrika Kusini amepotosha mazungumzo yao ya Faragha waliofanya na kusema kama Afrika Kusini inataka makabiliano basi Rwanda iko tayari kujibu.

Katika waraka wake mzito alioandika kwenye Mtandao wake wa X, Rais Kagame amesema alifanya mazungumzo mawili wiki hii na mapema jana na Rais Ramaphosa kuhusu hali ya Mashariki mwa DRC, akisema kuwa kile kilichosemwa na maafisa wa Afrika Kusini na Rais Ramaphosa mwenyewe kuhusu mazungumzo yao kwenye vyombo vya habari kimejaa upotoshaji mwingi.

Rais Kagame amesema ikiwa maneno yanaweza kubadilika kiasi hicho kutoka kwenye mazungumzo hadi kwenye tamko la umma, inasema mengi kuhusu jinsi masuala haya muhimu yanavyoshughulikiwa.

Rais Kagame amesema ikiwa Afrika Kusini inataka kuchangia suluhisho la amani huko Mashariki mwa DRC hilo ni jambo jema, lakini haina nafasi ya kuchukua jukumu la mpatanishi au msuluhishi. Na iwapo Afrika Kusini itataka makabiliano, Rwanda iko tayari kujibu hilo.
delusion!
 
The issue here is Who supporting/funding M23? no matter they are Ruwandese or Congolese, suala ni nani anawasaidia hao rebels.
Ruwanda is the first suspect accused to support/fund M23.
Kagame asifanye Maraisi wenzake hawaelewi kitu
 
CDF Maphwanya kupitia sabc ameeleza hayo.
Nachojiuliza zaidi zile shit alizotema Kagame kuhusu SADC na Samia yupo ndani ni dharau ya namna gani!?
 
CDF Maphwanya kupitia sabc ameeleza hayo.
Nachojiuliza zaidi zile shit alizotema Kagame kuhusu SADC na Samia yupo ndani ni dharau ya namna gani!?
Ety chawa wa mama mbona hamja mjibu kagame kuhuu uhalali wa sadc kupeleka majeshi congo
 
Acha kilinganisha na jeshi la enzi za Mchonga na hawa Bongo movie walioingizwa jeshini kwa vimemo japo ukitoa vita dhidi ya Idd Amin huku kwingine ni nchi nyingi sana zilishiriki kusaidia ila propaganda za kuhadaa Wabongo kuhusu umuhimu wetu zilikuwa kubwa na zilitiwa chunvi sana.
Russia(then USSR) na Cuba literally ndiyo waliikomboa Angola
View attachment 3218247View attachment 3218248View attachment 3218249View attachment 3218250View attachment 3218251View attachment 3218252
Hiyo picha ilishafanyiwa uchunguzi ni fake.Putin havai saa mkono wa kushoto.
 
Back
Top Bottom