Kwa Simba hii sijaona ikishinda yoyote ile hivyo nafasi ya 16 akijitaidi sana
 
Fukuza Kocha timu inachezaje bila stiriker au yeye mwenyewe ajiuzuru kabula ...
 
Una wazimu?,hii nchi kuna mambo mengi ya kufanya ndugu!,Gongowazi hizi mbio bado sanaaa.
 
Kila la heri wekundu wa msimbazi leo uwanja ni mzuri naamini mtashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…