Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

aisee usichukulie poa mazoezi utakuja kuyakumbuka sku, ubaya ni magonjwa yake yakishakukaa vizuri hauedi kutibiwa bali kuomba kiungo
we mi mkulima bwana,sasa nikilima hapo damu haitembei,,au kuna kingine kwenye kuamka saa kumi usiku na kukimbia
 
Unakuta mtu ana bonge la tumbo,acheni soda,chips, fanyeni mazoezi,najuta!
Mimi chips mayai siachi, soda siachi na kubeba chuma na kutembea umbali mrefu siachi ndio mazoezi yangu.
At this 36 now, uzito wangu ukizid sana ni 75kg
 
Wamasai wamekuwa wanaishi kwa nyama na pombe ya asali kwa mamia ya miaka na hawagui figo.
Ile active lifestyle inawasaidia, lakini pia huwezi kusema hawaugui figo, au ugonjwa fulani, sababu hawafanyi vipimo wakiugua na mtu anaweza kufa bila kujua kafa kwa ugonjwa gani
 
Mazowezi kwa afya


Acheni uvivu vijana.
 
Heka heka za maisha haya ni mazoezi toshaa. Lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mtu mnene halafu mgeni, umuambia mazoezi mkuu? Hatapenda, Hugo kama a a moyo anaanza kufanya peke yake ajijenge akishakua fit kidogo ajiunge na wengine maana anaweza kuwa anajisikia aibu
 
yaaani vijana wanachukulia mazoezi poa sana
 
Sasa mtu mnene halafu mgeni, umuambia mazoezi mkuu? Hatapenda, Hugo kama a a moyo anaanza kufanya peke yake ajijenge akishakua fit kidogo ajiunge na wengine maana anaweza kuwa anajisikia aibu
haijalishi mkuu mazoezi ni muhimu sana uyo asipokua serious tunampoteza
 
Hatua elfu 8?
Mi mizunguko yangu tu ya kawaida simu yangu Kila siku lazima inipongeze kwamba you have reach your Daly goal na hayo sio mazoezi na hapo bado sijamaliza mizunguko, halafu asubuhi mabio kama kawa dakika 20 then mazoezi ya viungo
Kweli tunatofwatiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…