Mnara wa saa ubungo ni 11 km,nshawahi kuwa uberHaiko sawa hyo sababu km 10 ni kutoka magomeni kagera mpka kimanga
Unatembeaje wewe!!?Anae sema anatembea 10 km.
Apps anayotumia inamdanganya.(gallow bird )
hii ni 5.km kasoro mita 100. Mwendo wa wanaume (wa kuchangamka) tena asbh.Mwili uko active.
Ni saa 1:13.
Kwa 10 Km ukipiga mwendo wa mjini ni masaa ma 3
View attachment 3395184
Ufanye kazi kutembea haitoshi,kuna mazoezi yakumaliza mafuta ya tumboMmh,mwenzaanguu!!
Aisee! Hongera sana mkuu..Jana nimetembea KWA miguu kuanzia mbezi Hadi gongolamboto kupitia ulongoni kama sehemu ya mazoezi na kuangalia mazingira pia. Imekuwa siku ya furaha sana
Magumu!!Ufanye kazi kutembea haitoshi,kuna mazoezi yakumaliza mafuta ya tumbo
Mmasai anakula Nyama Mbezi halafu anatembea wa Mguu mpaka Chalinze ndio analala huko hio Nyama ngumu kumuathiriWamasai wamekuwa wanaishi kwa nyama na pombe ya asali kwa mamia ya miaka na hawagui figo.
Jana nimetembea KWA miguu kuanzia mbezi Hadi gongolamboto kupitia ulongoni kama sehemu ya mazoezi na kuangalia mazingira pia. Imekuwa siku ya furaha sana
Tupe elimu kama hutojali mkuu maana mi pia nanyenyua vyumaSema kunyanyua vyuma vizito sana nako kuna leta shida , nilishapata tatizo nikaliwahi mapema now nimejifunza kitu.
Ndio upambane ,kama unalichukia Kuna app ina demo kulingana na taarifa utakazo toaMagumu!!
Magonjwa yakitaka kuja huwezi yazuia hata ufanyaje. Ndio maana kifo cha ugonjwa huitwa "natural death".kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
sawaMagonjwa yakitaka kuja huwezi yazuia hata ufanyaje. Ndio maana kifo cha ugonjwa huitwa "natural death".
Binaadamu lazima ufe na magonjwa ndio njia sahihi ya kuondoka duniani.
Fanya mazoezi kwa kujifariji na starehe ya muda mfupi ila maradhi yatakufikia TU.
fanya mazoezi kwa ajili ya afya yako kwa ujumla, pia mambo ya mbusus achana nayoItabidi nianze tu mazoezi kwa lazima maana nimeshindwa kuchakata mbususu juzi asee nimezalilikaa nimeshindwa kurudia round ya pili wakati huo ya kwanza ata dk 5 sikumaliza nilikuwa nahema vibaya yani kwa aibu niliyoipata keshokutwa au mtondogoo naanza tizi
Nitaomba huu mpambano brother unaparikana wapiHauwezi amani napiga tungi ila tukikutana gym utatema bungo bwashee