Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Bahati nzuri jf haina wanaume waomba bia….😭😭😭
Tungekuwa tunaruhusiwa ku share inbox zetu, aisee, nilishawahi ahidiwa kigori wa miaka 13 nimsaidie mtu sh. 1 mil
 
Tajiri hatuongei sana sasa mwisho wa mwaka huu unashindwa vp kununulia watu bia mwaka mzima si umezichanga??? Njoo hapa upepo garden mbezi beach uone

Bia 1 ya hapo mtaani kwako ambayo ni buku jero hapa ni buku 6 (loko bia)

Sent from iPhone 15 Pro Max
Huo ndio uzwazwa kununua kitu cha 1500 kwa 6000...unatapeliwa huku unafurahia. Bia 20 unauziwa bei sawa na kreti 3 na nusu halafu unachukulua poa
 
Weeee, usiniambie kuna watu wananyima wenzao utelezi. Watu wabinafsi sana😂
Nahitaji utelezi wako, unitelezeshe hadi Makka, nakuahidi utamu na lijikojo jingi. Bukoba wakasome
 
kabla ya ofa unampa vigezo na masharti. ikisimama panda, ikijaa shuka. we kuweza?kama kuweza karibu mezani kwangu
 
Najua umemind sbb umejua wale madem zako unaowapaga bia ukiwapa mbili wananipenyezea moja af wanakwambia wamemaliza ulivo jinga unawazungushia tn round ukiishiwa muhuni ndo nakaa counter sasa
 
Huo ndio uzwazwa kununua kitu cha 1500 kwa 6000...unatapeliwa huku unafurahia. Bia 20 unauziwa bei sawa na kreti 3 na nusu halafu unachukulua poa
Huyo jamaa ni mid class. Mid class ndio wanavaa nguo za gharama sana ili waonekane matajiri.

Wanakula na kunywa kwenye restaurant na bars za bei mbaya ili waonekane matajiri.

Hawana study hata matajiri wanakunywa nini?

Most of the bigger dogs (rich guys) drinks hard drinks
 
CC bolivia
 
Wewe sijakunyima nimekuonea huruma mtoto wa watu maskini hata haujaanza hayo mambo halafu ndio uje uanzie kwangu ? Kama sio unanitafutia kesi ni nini.
Wewe usiwaze. Sinaga hata ndugu wala kwetu mimi ni chokoraa, mdudu ngaa wa mtaani huwezi laumiwa na mtu.
 
Baadae wanakuongelea vibaya huna maendelei kisa unakunywa sana pombe sasa hivi nimekataa hujaja n mimi kununuliwa na mimi sahau labda uwe X wangu nitakuanzishia
Hatari sana mkuu
 
Back
Top Bottom