Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nawe ni miongoni mwaoWeeee, usiniambie kuna watu wananyima wenzao utelezi. Watu wabinafsi sana😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe ni miongoni mwaoWeeee, usiniambie kuna watu wananyima wenzao utelezi. Watu wabinafsi sana😂
Mbona wewe umeninyimaUlevi ni dhambi sasa dhambi ni kitu cha kumnyima mtu kweli?
Tungekuwa tunaruhusiwa ku share inbox zetu, aisee, nilishawahi ahidiwa kigori wa miaka 13 nimsaidie mtu sh. 1 milBahati nzuri jf haina wanaume waomba bia….ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Muombe tena, dudu hajanunua popote pale, mmepewa bure toeni bureMbona wewe umeninyima
Huo ndio uzwazwa kununua kitu cha 1500 kwa 6000...unatapeliwa huku unafurahia. Bia 20 unauziwa bei sawa na kreti 3 na nusu halafu unachukulua poaTajiri hatuongei sana sasa mwisho wa mwaka huu unashindwa vp kununulia watu bia mwaka mzima si umezichanga??? Njoo hapa upepo garden mbezi beach uone
Bia 1 ya hapo mtaani kwako ambayo ni buku jero hapa ni buku 6 (loko bia)
Sent from iPhone 15 Pro Max
Nahitaji utelezi wako, unitelezeshe hadi Makka, nakuahidi utamu na lijikojo jingi. Bukoba wakasomeWeeee, usiniambie kuna watu wananyima wenzao utelezi. Watu wabinafsi sana😂
Huyo jamaa ni mid class. Mid class ndio wanavaa nguo za gharama sana ili waonekane matajiri.Huo ndio uzwazwa kununua kitu cha 1500 kwa 6000...unatapeliwa huku unafurahia. Bia 20 unauziwa bei sawa na kreti 3 na nusu halafu unachukulua poa
CC boliviaHuyo jamaa ni mid class. Mid class ndio wanavaa nguo za gharama sana ili waonekane matajiri.
Wanakula na kunywa kwenye restaurant na bars za bei mbaya ili waonekane matajiri.
Hawana study hata matajiri wanakunywa nini?
Most of the bigger dogs (rich guys) drinks hard drinks
Baadae wanakuongelea vibaya huna maendelei kisa unakunywa sana pombe sasa hivi nimekataa hujaja n mimi kununuliwa na mimi sahau labda uwe X wangu nitakuanzishiaUmeona eeeee
Wanakera sanaaaa!!!
Wewe umejuaje mkuu? Kwani nimewahi kukunyima utelezi?Nawe ni miongoni mwao
Wewe sijakunyima nimekuonea huruma mtoto wa watu maskini hata haujaanza hayo mambo halafu ndio uje uanzie kwangu ? Kama sio unanitafutia kesi ni nini.Mbona wewe umeninyima
Njoo teleza mkuu. Ila uache uchoyo wa biaNahitaji utelezi wako, unitelezeshe hadi Makka, nakuahidi utamu na lijikojo jingi. Bukoba wakasome
Wewe usiwaze. Sinaga hata ndugu wala kwetu mimi ni chokoraa, mdudu ngaa wa mtaani huwezi laumiwa na mtu.Wewe sijakunyima nimekuonea huruma mtoto wa watu maskini hata haujaanza hayo mambo halafu ndio uje uanzie kwangu ? Kama sio unanitafutia kesi ni nini.
KumbeWewe umejuaje mkuu? Kwani nimewahi kukunyima utelezi?
Hatari sana mkuuBaadae wanakuongelea vibaya huna maendelei kisa unakunywa sana pombe sasa hivi nimekataa hujaja n mimi kununuliwa na mimi sahau labda uwe X wangu nitakuanzishia
Wewe sio mzima😂😂😂😂😂nimecheka sanaWewe usiwaze. Sinaga hata ndugu wala kwetu mimi ni chokoraa, mdudu ngaa wa mtaani huwezi laumiwa na mtu.
Nipo timamu aseeWewe sio mzima😂😂😂😂😂nimecheka sana