Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Vijana wanajidanganya sana..

Hata sabuni wanazotumia zina madhara makubwa...

Punyeto inaua "Masculine Energy" mwanaume unabaki kama li zezeta hivi,...

Mwanaume unakuwa weak internally, unakuwa huna ile domination drive waliyonayo wanaume..
Upo sahihi sana.
Hata kutunza familia ni ngumu na kukiendeleleza kizazi
 

Ndio nimeuliza kingine zaidi ya pesa mnatoa nini…

Kikubwa hapa ni tunategemeanaa ukileta pesa nitaifanyia kazi itakayokupa matokeo

Maana mwanaume mwenzio huwezi kumpa mimba wala mimi siwezi pesa mimba na mwanamke mwenzangu

Tunategemeanaaaaaaaa

Ukitoa pesa nitakupa malezi
 
napiga nyeto au sio

Tuliza kichwa bro Hakuna mnachotupa zaidii ya pesa na sisi tunawapa papuchii ambayo inawaletea watoto duniani

Kama mnahisi papuchi sio kitu kulaneni wenyewe kama mtazaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na siku hizi tumeenda mbali wanawake wanapesa so huwa pia wanatoa kwa wanaume

Kwanzä nasikia huko ndoani wanawake wanajihudumia wenyewe ndio maana wanacheza na mavikoba ili wapate kulea watoto
 
Mara nyingi mmekuwa mkijificha kwenye kichaka cha sisi kuwa na ndugu wa kike hiyo sio ishu na sijali
Lakini inawahusu hao ndugu zako wakike akiwemo mama yako. Thats the fact all the time unayemwona demu ni dada wa mtu, so is the same dadaako ni demu tu kwa mwanaume mwingine. So was your mother back them, or any story that is meant to demean a woman.
 
Proportion kubwa sana ya wanawake kwenye ndoa wanalea familia zao financially. Some guys wanakaa hapa na kujipa nafasi kuuuubwa ambazo kiuhalisia hata hawazimudu. Big up to all men who take their responsibilities seriously, nawajeshimu sana, nitahakikisha mume wangu anajua majukumu yake la sivyo tunaachana, sipendi ujinga, some men si lolote si chochote, kazi kujisifia "wanaume tuko wachache" , so then what?, wanaume wako wachache simply because hata wengine waliopo hawafai kuitwa wanaume. Kuna wanaume ni mara mia wasioe maisha yao wote, maana ni aibu katika jamii. Atakayeumia imekugusa!
 

Inasikitisha sana yaani huwa wanatuona kama hatuna cha kuoffer kwao na unakuta anaeongea hivyo hata mke hana

Huko ndoani wanaume hawajui majukumu yao hawahudumi familia zao wakiacha hela ya mboga naenyewe ni bahati nasibu

Mtoto wake hajui anavaa nini hata daftari hawanunuiii
 


Kama mwanaume sitaki hata kuvijua.
 
Ushauri… mkifata ushauri wetu hasa wa maendeleo mtafika mbali sana
Tatizo lenu hamshaurikii

Ushauri uendane na action

Ili nikusikilize ushauri wako lazima uwe na action za kunishawishi

Mfano wewe binafsi una maendeleo gani yanayoonekana ? Ya kumshawishi mtu akubali ushauri wako kuhusu maendeleo
 
Mm anaipende na ahakikishe napewa tamuu kila siku .mambo ya ushauri wa maendeleo ntashauliwa na watu waliosomea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…