Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Kwenye post hii #155 nimejiridhisha kua General Knowledge Yako kuhusu nchi yako Iko chini sana au akili na nafsi yako inasumbuliwa na maradhi ya CHUKI na husda kwa RAIS au watu wanaotokea upande wa pili wa Jamhuri.
 
Inaonesha hakuna unachokijua kuhusu uraia wa Zanzibar, ndo maana kuna kitambulisho cha uraia wa Tanzania na kitambulisho cha mzanzibar mkazi. Sàsa wewe njoo na chogo lako uone kama utapewa kitambulisho cha mzanzibar mkazi.
Sisi tuna asili ya Kilimanjaro. Baba yangu mkubwa aliishi Zanzibar kikazi toka mwanzoni kabisa mwa miaka ya 80s, hadi alipofariki katikati mwa miaka ya 90s akiwa tayari ana vitambulisho vyote vya Uzanzibar yeye na familia yake, including shangazi yangu mdogo ambae aliishi kule.

Hivi ninavyoongea watoto wake wakija Tanganyika wanahisabika ni wabara na wakienda Zanzibar wanahisabika ni wazanzibar.

Nina imani kama wakijisogeza sogeza kwenye siasa za Zanzibar na kuamua kugombea uongozi fulan haswa kupitia CCM, wana uwezekano mkubwa sana wa wao kutusua na vichogo vyao.

Huyo mkuu wao wa sasa, miaka yote hakuwahi kutumikia kisiasa wala kielimu huko Zanzibar. Ame spend zaidi ya umri wake wote huku alipotokea baba yake na babu zake, na kuwa mbunge wa kwao Mkuranga kwa zaidi ya miaka 20.

Yani kaenda Zenji kwa lengo la kwenda kuwatawala wazenji tu.
 
Alifanya kazi gam?
 
Ndiyo maana nimesema kuna vigezo kupewa hadhi ya mzanzibar mkazi. Hao unaowasema wametimiza masharti ya kuishi Zanzibar miaka mitano mfululizo. Kuhusu kugombea uongozi ni kipaji cha mtu binafsi. Mfano kuna waziri Tabia Mwita.
Pia ukitimiza vigezo ukiwa mgalatia ni ngumu kutoboa.
 
Nyinyi si mlikuwa mnashingilia kwa nderemo na vifijo. Acheni uchawa na unafiki, mkilalamikia hapa JF haitoshi kuweni jasori muyaseme haya kwenye vikao vyenu.
 
Kwanini asijouzulu mwenyewe akabaki kuitwa PM mstaafu na kula mafao
Huyu jamaa ni team jk hataki kutoka hata umtukane na kumuacha lazima aliwe timing sio kirahis ninavyoonq huyu mama anajua hatakiwi ila siku hazigandinkunq vita ambayo wapiganaji wanajuana silaha wanazotumiw kwa hyo ninone mistake one goal.
 
Mkuu ulishuhudia kilichotokea mle ukumbini hadi mwisho? Ungejua nilivyopambana usingekuja hapa kunilaumu.
Hujainuka kabisa, wenzio walipunga kukubali walipoambiwa ambaye hakubali hukusimama
 
Sio lazima PM awe mgombea mwenza ni nani alisha pata nafasi ya kuwa Vp baada ya kuwa PM huko nyuma ? Ili kujenga hoja kama hiyo pitia historia au matukio ya nyumba yanayo husiana na mada au hoja hiyo.
Mkuu siasa za Tanganyika zinaendeshwa kwa mujibu wa katiba sio kwa mujibu wa historia. Nyie wanahistoria ndio mnaosababisha wanasiasa waendelee kuichezea nchi hii na kutapanya rasimali za taifa kwa manufaa yao bnafsi.
 
Kisimkasi ni jina la demu wako nini? Hapa limekujaje? Kama ulikusudia Kizimkazi, ningekushauri ukatembelea ukajionea huo ujenz unaozungumza. Umekuwa kama Abunuwasi!!!
 
Walisema upinzani kua mtawala wao kisha wakiisha mtaangaliana ndani y CCM nani kanona? Mmeanza kulana.mpk muishe.eti nilikua Dodoma ukumbini kwa nn ukupaza sauti ya kupinga?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sasa wewe kwa nini bado upo CCM, chama kilichooza?
 
Kwani Mwinyi alimfanyia nini kibaya Salim kuliko hiki ambacho Sa100 amemfanyia Majaliwa?
Hv unatumia akili au makalio? Majaliwa ni waziri mkuu, amefanyiwa Nini, ht angempumzisha ni uamuzi wa Rais na si kt kigeni
 
Mkuu siasa za Tanganyika zinaendeshwa kwa mujibu wa katiba sio kwa mujibu wa historia. Nyie wanahistoria ndio mnaosababisha wanasiasa waendelee kuichezea nchi hii na kutapanya rasimali za taifa kwa manufaa yao bnafsi.
Mkuu kwa sheria ipi kipengele gani kifungu kipi kinacho eleza kuwa PM awe makamu wa 1 au wa 2 au mgombea mwenza???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…