Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Tuwekee jina lako halisi, Isije ikawa wewe ndie unaependekeza au kutoa ushauri hayo unayojifanya kuyalalamikia.
 
Sijaelewa swali/hoja yako mkuu. Hili unalihusianisha na nini?
 
Mkuu acha kuongea kimazoea kama vile upo kwenye kijiwe cha kahawa. Ongea kikatiba utaeleweka. Think like a great thinker and act like a champion.
 
Mkuu umeandika madini adimu sana leo. Nakuhakikishia kwamba huyu mama ni dikteta kuliko Magufuli. Mambo yote ya ovyo yanayoendelea ndani ya chama na katika uongozi wa nchi, chanzo ni yeye.

Naomba mtuletee Tundu Lissu uchaguzi ujao. Sisi tuliomo ndani ya CCM tunaogopa kusema hadharani kwa kuogopa kupotezwa. Nyie mliopo nje ya mfumo, tunaomba sana mtusaidie kuondokana na jinamizi hili. Na mkifanya hivyo itakuwa fursa nzuri kuwafurusha wapemba wote waliotapakaa hapa Tanganyika warudi nchini kwao.
 
2.JMK-G.Bilal
Hapa hilo suala lako la udini limekaaje mkuu?
Pili, hata kama kigezo chako cha udini kina mantiki, kwani hakukuwa na mkristo mwingine wa kumteua badala ya huyu muasi aliyeasi chama na kambi huku wenzake akina Sofia Simba wakifukuzwa na yeye kubaki chamani? Hili wewe unaona sawa tu?
 
Mkuu acha kuongea kimazoea kama vile upo kwenye kijiwe cha kahawa. Ongea kikatiba utaeleweka. Think like a great thinker and act like a champion.
Kwani amevunja katiba gani mpka kufikia hapo kwenye suala la Majaliwa?
 
Usimpangie Rais. Unaandika insha ndefu zote pumba
 
hivi akikanusha na kusema ukweli kuwa hakuandika barua kama wanavyofanya kina lissu kusema ukweli daima na uhalisia itakuaje, watamshughulikia?
Akikanusha atashughulikiwa vibaya sana; anaweza hata kunyweshwa sumu nyingine afe kabisa.
 
Kama Mzee Mwinyi hakumtaka Salim kwanini asingeachana naye tu kuliko hicho alichomfanyia? Ni kama hoja yako tu.
Kwani Mwinyi alimfanyia nini kibaya Salim kuliko hiki ambacho Sa100 amemfanyia Majaliwa?
 
Kwani Samia amemfanyia nini kibaya Majaliwa hadi iwe ajabu hadi wewe uone siyo sawa?
Wewe hujaona kilichotokea juzi Dodoma au unajitoa ufahamu kwa makusudi mkuu?
 
Ndio watanganyika ni mazombie ndio maana wanatawaliwa na wazenji tena kizenjizenji.
 
To be

Honestly angempa majaliwa nafasi ya mgombea mwenza uhakika wa majaliwa kushinda ni mkubwa,wta mm ningejiandikisha kwa sababu ya majaliwa
Sio lazima PM awe mgombea mwenza ni nani alisha pata nafasi ya kuwa Vp baada ya kuwa PM huko nyuma ? Ili kujenga hoja kama hiyo pitia historia au matukio ya nyumba yanayo husiana na mada au hoja hiyo.
 
Wewe hujaona kilichotokea juzi Dodoma au unajitoa ufahamu kwa makusudi mkuu?
Kuna ibara yoyote ya katiba imevunjwa kwenye hilo unalolalamikia? Samia hakuwa na ulazima wa kufanya hicho unachofikiria wewe kwahiyo hakuna baya lolote alilofanya vinginevyo unaweza kumshauri Majaliwa ajiuzulu kama hakubaliani na kilichotokea,uamuzi wa kujiuzulu ni wake siyo mpaka aambiwe na Rais.
 
Inavyoonekana Majaliwa alifanya mistake kubwa sana kipindi cha transition, labda yale ya Mkuu wa majeshi mstaafu yalimuhusu pia
 
Watalingana na SUMAYE miaka kumi kama MAJALIWA hatapewa nafasi tena
Hizo hisia zako ni chochoko na fitna tupu.
Kuchagua mgombea mwenza hakuna uhusiano wowote na waziri mkuu.Nionavyo Kassim Majaliwa anaweza kuweka rekodi ya kuwa waziri mkuu kwa kipindi kirefu kuliko waziri yoyote aliyetangulia kwenye cheo hicho.

Inaonesha hakuna unachokijua kuhusu uraia wa Zanzibar, ndo maana kuna kitambulisho cha uraia wa Tanzania na kitambulisho cha mzanzibar mkazi. Sàsa wewe njoo na chogo lako uone kama utapewa kitambulisho cha mzanzibar mkazi.

Huelewi kama mitihani ya form 4 na 6 ni jambo la Muungano?
au ndio mmekariri kwa kua tangu 1964 nafasi kama hizo zinashikiliwa na Watanganyika?
Na ikitokea siku IGP au CDF akatokea upande ule usioupenda?
CHUKI HAZIJENGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…