Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Lissu na Zitto nanyi tumieni intelijensia, msianzie buguruni wala ubungo, ibukeni tu ghafla kwenye kundi la watu.
Popote wata kapoibukia polisi watashughulika nao. Cha msingi watulie tuu.
 
Tatizo wengi hawafahamu polisi wana taarifa gani, Lema makazi yake Arusha, mlevi wa Konyagi Hai wametoka huko watokako waende Bandari Salama kuanzisha fujo? Na bado wengi wanasakwa polisi huwa hawakurupuki. Hawa washenzi hawawezi kuandaa ushenzi wao then Polisi wawaangalie tu hadi hapo watakapotimiza azma zao. Hii mipango ilipangwa tangu zamani.

Tanzania ni baba lao nyie furukuteni tu lakini mnachokitaka mtakipata huo mkong'oto ni wa kufa mtu.

FYI msifikirie jinsi mnavyonyanyasa mawazo ya members hapa JF ni sawa na Polisi au nchi inavyoendeshwa.
 
Tusiwadharau hivyo polisi wetu.

Wanayo intelligence na wamepewa taarifa ya mipango yote.

Hiyo ipo hata huko USA na kwingine mtu anakamatwa tu kwa kusoma kitabu cha mwongozo wa kuleta terror na vikosi vya kijasusi.

Inawezekana kabisa polisi wanazo credible information zaidi ya petroli na viberiti.
Mipango gani?

Watu wamesema wanataka kuandamana.

Kuandamana ni marufuku Tanzania hii?

CHADEMA siyo maghaidi. Ni chama halali cha kisiasa.

Sidhani kabisa kama wanaweza kupanga njama za kuleta uharibifu wa mali na amani ilhali wanachama wao na mashabiki wao ni Watanzania pia.
 
Kwa nini wakamatwe majumbani kwao hao sio waandamanaji bali ni waigizaji
 
Hawa wanaumia sana maisha ya Ubunge kuyakosa.. wakalime sasa.. waje huku vijijini.. maisha matamu kwa umeme wa REA ndio kumekuchaaaaaa...

Magufuli oyeeeeeeee💕
Nyie ndio wasenge yaani nchi inapelekwa Bahima empire mnashangilia kabisaaa , maisha waliyonayo wewe na ukoo wenu mzima na Mambosasa wenu hamna .
 
Mipango gani?

Watu wamesema wanataka kuandamana.

Kuandamana ni marufuku Tanzania hii?

CHADEMA siyo maghaidi. Ni chama halali cha kisiasa.

Sidhani kabisa kama wanaweza kupanga njama za kuleta uharibifu wa mali na amani ilhali wanachama wao na mashabiki wao ni Watanzania pia.
Uelewa wako mdogo sana!
 
Wewe Mambosasa unahangaika bure, maandamano yako palepale sanasana ndio wametuongezea munkari subirini kesho asubuhi polisi uchwara ndio mtaelewa nguvu ya umma ni nini ? Mnaambiwa maandamano ya amani mmekazana tu na upimbi wenu .
Ila wakazi wa Dsm mchele mchele sana, naamini letu la policcm litawadhibiti mapema sana.
 
Mipango gani?

Watu wamesema wanataka kuandamana.

Kuandamana ni marufuku Tanzania hii?

CHADEMA siyo maghaidi. Ni chama halali cha kisiasa.

Sidhani kabisa kama wanaweza kupanga njama za kuleta uharibifu wa mali na amani ilhali wanachama wao na mashabiki wao ni Watanzania pia.
Mkuu NN with due respect, acha mzaha.

Mambosasa amesema mwenyewe kwanini jamaa wamekamatwa.

Kama wamachinga na waendesha bodaboda nao wapo tayari kujibu mapigo kuitetea serikali wadhani hapo kuna usalama wa raia na mali zao?
 
Hivi mtu akiwa anapanga kuchoma vituo vya mafuta huyo hana makosa? Au kwa uelewa wako mpaka achome hivyo vituo? Intelligence inafanyakazi mkuu!!
Kwani nani kapanga kuchoma moto vituo vya mafuta?

Mbowe na Lema wapange kuchoma vituo vya mafuta ili iweje?

Wana ugomvi na wenye vituo vya mafuta?

Acheni kutetea uonevu.
 
Back
Top Bottom