Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Nafikiri hilo si kosa lililosemwa. Ni kosa lingine
 
Wangejaribu kuwafukuza ndo ulikua mwisho wa Mbowe na chagadema yake,hao ndio wameshikiria button ya uhai wa Mbowe na saccos yake,wanajua dhambi zote
Kama vile joka la makengeza lilivyoshikilia chama chenu sio.
 
Hana mshipa wa aibu huyu jasusi uchwara.
Shida moja wana Lumumba wengi huaga mnaandika either bila kufikiria au bila kutumia akili; Yeriko alionesha msimamo wake yeye kama mwanachama (sio kiongozi wa Chadema). Hivi unamkumbuka marehemu captain Komba alipoulizwa kuhusu "nani wa kumrithi Kikwete"? Unakumbuka jibu lake!? Bila unafiki, alisema, "mi naona ndani ya ccm ni Lowasa tu, hakuna mwingine" Remember mhe rais wa sasa alikuwepo. So tofautisha msimamo wa mwana chama mmoja na maamuzi ya kikao. Hivi nyie wenzetu vichwa vyenu hua na ubongo au magonjwa mtambuka!?
 
Naona mnatufanya mazuzu.
 
Anyway acha tuwaachie wanasiasa wenyewe
 
Hapa unasambula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…