Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

Wamrbadili kauli tena? Si walisema walimpelrkea Katibu wa CHADEMA akaikataa?
Halafu hao mawakili wake wawili anaowasema ni nani? Amstedam au? Maana Lissu alishasema Robert Amsterdam ndiyo mwanasheria wake anayeshughulikia mambo yake ya ndani na ya nchi na ya kimataifa.
 
Ni sumu nyumbani kwenu, sisi tutamchangua kwa kura za wivu nyingi haswa, hatutaki kuchagua jitu katili na baguzi
 
Lisu ni mzima Ila kiburi kinamfanya ajihisi ana akili kuliko watu wote Hali kamaiyo inamfanya asifikilie sawa sawa, kiburi kinamfanya ashindwe kutafakari vizuri. Mbaya zaidi kwasasa hajui nani wa kumwamini maana jamaa wa kamati kuu wengi hawamwungi mkono.
 
Huyu babu tapeli anaongea nini hapa zaidi ya porojo, sisi tupo na Lissu hahitaji hata kampeni. shame on them
Wakati wewe unasema haitaji kampeni,Huko aliko anawaza kukataa hii adhabu ili aendelee kusambaza propaganda zake.

shame on You.
 
Sas wew utatuhabarisha au unatoa hukumu. Conclusion zako ni za kijinga kabisa
 
Lissu hata awe na kesi ya kuhujumu uchumi tupo tayari kumchangia mamilion ya dollar ili awe huru aje kuwahenyesha maccm
 
Wana hangaika nini tena na yeye !?.Si walisha mlima Ban sasa mbona kelele zinazidi.Tume mna jukumu Kisheria kutoa Elimu kwa mpiga kura ,lakini nyie kutwa kuchwa kuhangaika na Lissu tu na kuyaacha Majukumu yenu ya Msingi.
 
Nilicho kigundua ni ii issue ya lissu ime wapa watu wa lumumba cha kuongea kidgo wametamba umu JF...cha kuwaambia ni mta poteana tena soon

SUBIRI KIDOGO
 
Wana hangaika nini tena na yeye !?.Si walisha mlima Ban sasa mbona kelele zinazidi.Tume mna jukumu Kisheria kutoa Elimu kwa mpiga kura ,lakini nyie kutwa kuchwa kuhangaika na Lissu tu na kuyaacha Majukumu yenu ya Msingi.
Aseeeh umenena vema Mkuu
 
Acha uongo redio mbao wewe! Kamati kuu ya wapi? Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…