Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo:
1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia
2. Tundu Lissu alipokea barua na alijitetea mbele ya Kamati kupitia mawakili wake wawili na kuomba Kamati impunguzie adhabu. Hii maana yake ni kuwa walikiri ana makosa
3. Sheria inataka taarifa ipewe vyama siyo mgombea binafsi na utaratibu kama huo ulishawahi kutumika Tundu Lissu alipopewa madai na TADEA na alijibu madai hayo yaliyowasilishwa kupitia CHADEMA kama ilivyo utaratibu.
Mengine sikiziza mwenyewe. Hakika Tundu Lissu ni mwongo na anadhamira mbaya na nchi yetu ili kuwafurahisha mabeberu wake. Chukua hatua na akili kichwani. Achana na Tundu Lissu.
Wamrbadili kauli tena? Si walisema walimpelrkea Katibu wa CHADEMA akaikataa?
Halafu hao mawakili wake wawili anaowasema ni nani? Amstedam au? Maana Lissu alishasema Robert Amsterdam ndiyo mwanasheria wake anayeshughulikia mambo yake ya ndani na ya nchi na ya kimataifa.