Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Je kungekuwa na wasanii Dunia inge amia hapo
 
Mzee wa fiesta akiona picha hii itabidi aongeze idadi ya wasanii!!

Jina nimelipenda [emoji28][emoji28]🤣🤣🤣. Kashakuwa Mzee wa Fiesta?!! Waja mnamaneno.!

All in all (kama Baba Levo), dada Betina ana hali ngumu Mbeya. Ingebidi tu asitoe tena hela zake kuanzia sasa, la sivyo zinaenda bure.
 
Ni za kweli mkuu hapa ni shangwe tu barabarani
 
Wamama majirani zangu waliondoka mapema leo kwenda kumsikiliza lisu afu ni wazee sio hata vijana sema walibeba hadi vijana wao
 
Apande ndege tu za abiria, kingine afanye mazoezi hata ya kutembea nusu saa akiwa na walinzi wake plus apangilie aina ya chakula anachokula ale zaidi protin na mboga mboga kwa wingi akiweza mayai mabichi awe anakunywa ili mwili ukae sawa
 
Kawaongelea kina Kakobe walivyosumbuliwa na uhamiaji na wengine waliofunguliwa kesi na sasa wameunga juhudi.
Sawa ila agongelee msumari zaidi kuhusu uraia wa jiwe maana kuna mashaka makubwa
 
Waliwafukuza TBC kwenye mikutano yao.

Hoja kwamba haivipewi coverage inakosa nguvu kwa sasa. TBC leo wameonyesha mikutano ya vyama vyote vilivyokuwa na mikutano yao mubashara. Nimemuona Rungwe, Mbatia wakinadi sera zao.

Uhuru wa habari ambao CHADEMA wanaulilia huku wakibania vyombo vya habari kutangaza habari zao ni kiini macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…