Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Utatekwa siku ya kupiga kura bandia, kwa jinsi utekaji ulivyoshamiri nakushauri usitoke ndani.
 
Dawa ya moto ni moto. Wako sahihi.
 
Jiambieni
Kuna mda naonaga bora kuzaliwa sehemu kama kolea china haya mambo hayapo dini au dhehebu lipo kama genge fulani la watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi
jiambie nafsi yako, kuwa wewe ni mwendawazimu. Nani alikuambia kuwa China hakuna dini? Soma hapa:

In 2018, the Chinese government declared that there are over 44 million Christians (38 million Protestants & 6 million Catholics) in China. ..

When restrictions receded in the 1980s and 1990s, religion flourished as China entered into an era of economic reform and opened up to the world (Goossaert and Palmer 2011). Among China's major religions, Christianity experienced the most prominent growth.
 
China mafisadi wananyongwa Tanzania?
 
siyo kweli na labda hauko well informed, korean Church ni kubwa tu, china ni communist hivyo kama unafikiri communism ni bora klk Christianity then haulewi communism ni nini, communist wanakula watoto wadogo …
Mmmh kivipi mkuu tueleze
 
siyo kweli na labda hauko well informed, korean Church ni kubwa tu, china ni communist hivyo kama unafikiri communism ni bora klk Christianity then haulewi communism ni nini, communist wanakula watoto wadogo …
Dini gani wanakula watoto?
 
Na madhehebu mengine wajifunze kutoka huko
Hao wakatoliki wenyewe hawajakubaliana kuhusu jambo hili sasa madhehebu mengine yaige kitu gani?!
Hiyo warsha imeandaliwa jimbo katoliki DSM. Huko Tabora,Mbeya na Bukoba hawana habari za warsha wala makongamano bali wanachongojea ni tarehe ifike wakapige kura.
Hata hiyo Dar es salaam wakatoliki wengi wataenda kupiga kura.
Kwanza ukichunguza wagombea wengi wa ubunge na udiwani utakuta ni wakatoliki na nyuma yao Kuna wafuasi ambao wamejiandaa kuwapigia kura.
Hilo warsha la katoliki Kuna uwezekano watahudhuria wakatoliki wachache sana hasa wale wa chadema.
 
Mimi ostadh makaveli, nasimama na kanisa katoliki, nakaa upande wa haki, ndivyo imani yangu inavyonifundisha
Imani yako ya chadema?!
"Ostadh" maana yake nini?!
Ukiniambia maana sahihi ya "ostadh" nina maswali mawili au matatu ya kuthibitisha "uostadh" wako tuone kuwa hujadandia gari kwa mbele na kujiita majina ambayohata hujui maana yake!
 
Attachments

  • IMG-20250929-WA0005.jpg
    273.8 KB · Views: 12
  • IMG-20250929-WA0006.jpg
    230.2 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…