Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Utaacha kanisa lako kwa sababu ya ushoga??
Sijui kwanini Kanisa linakuwa mbele na huu ushetani, yaani wanapamba ili watu waone ni kitu cha kawaida kabisa.
 
Mtaondoka katika makanisa yenu au mtavumilia tu??
Wao ndio wameanzisha hizi dini na ndio wenye kuweza kuamua kipi kifuatacho.
Hata wanawake kuvaa suruari, rap music, ponograph,utoaji mimba nk vimeanzia
 
Papa amesemaje kuhusu ushoga
Acha uongo unalifahamu kanisa Catholic wewe? au unataka kulichafua, haliwezi kuunga mkono ushenzi na ujinga unaouzungumza. Aliyekutuma Amefeli hakuna habali kama hiyo.
 
Unaongeleaje maneno ya papa kuhusu ushoga?
 
Kama kweli wana msimamo mkali watoe kauli dhidi ya alayosema papa kuhusu ushoga.
Ukatoliki unatiwa doa na watu wa juu wenye mamlaka jambo ambalo lina wafedhehesha waumini wake wenye misimamo mikali dhidi ya uchafu huu
 
Msikitini huwezi leta huu ujinga,utakatwakatwa vipandevipande jambia likianzia usogoni
 
Papa amesemaje kuhusu ushoga?
Mleta mada inabidi upimwe akili.The Church will NEVER EVER do such a thing.Haipo na haitokaa kutokea, nyie endeleeni na conspiracy theories zenu zilizoanza tangu karne ya kwanza lakini mpaka sasa Kanisa limebaki vilevile.
 
Msimamo wa papa kuhusu mashoga ni upi?
 
Kanisa katoliki ni kubwa Ujerumani ipo kwenye kitu kinaitwa schism. Ndio kinachotokea, tuna uzoefu nazo,. Ata hili liyapita.
 
Hizi ni tamaduni za Wazungu

Tulikuwa na Imani zetu nzuri tuu na maisha yalienda.

Hii ndio hasara ya kutokuwa na utamaduni wenu.

Mtu ambae hana utamaduni wake kamwe hawezi kua na nguvu ya maamuzi kwenye maisha yake, atamilikiwa kwa njia zote yaani utamaduni, uchumi na jamii kwa ujumla, ibada za mababu zetu sio kwamba ni mbaya hapana, na zilimtambua Mungu sema walipoingia watawala wakatukaririsha kua ibada zetu ni mbaya na tukabeba kama lilivo shida ikaanzia hapo, nadhani ni wakati wa kutafakari kwa kina kwani tuendako sasa ni kiza kinene
 
Mleta mada inabidi upimwe akili.The Church will NEVER EVER do such a thing.Haipo na haitokaa kutokea, nyie endeleeni na conspiracy theories zenu zilizoanza tangu karne ya kwanza lakini mpaka sasa Kanisa limebaki vilevile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huna nguvu ya kuwazidi maaskofu wewe.
 
Acha uongo wewe uislam umenzishwa na nani ? [emoji1787]
 


Ukristo sio dini tena na huyo Yesu anayedaiwa atashuka kutoka mbinguni kakaa kimya huko juu akistarehe akiacha kanisa linafanya mambo machafu ya aina hii ??!!--- Yesu shuka sasa ukemee haya machafu kwani huoni shetani anaonyesha nguvu zake mitaani hadi madhabahuni kwa Bwana??, mbaya zaidi ushetani huo unaongozwa wa wale wanaojiita watumishi wako!;, Shuka kutoka huko mbinguni ukemee uchafu huu unaofanywa kwa jina lako.

Hakuna tena uokovu wa kiroho upande wa dini ya ukristo kama mambo yenyewe ndio hayo.

Njooni kwenye Uisilamu wa Ahmadiyya ili mpate uokovu.
 
Hakuna pa kukimbilia kama Bado uko kwenye hizi dini, masheikh wako wameshaanguka sahihi, soon mtaagizwa kuungana kuanzisha Dini moja ya shetani.

Toka huko haraka kwenye dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…