Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Utakuwa haujasoma habari hii iliyo wazi kwa watu wenye fikra kama zako na hata kama ulisoma basi haujaelewa.Waislamu mnasema Manabii wote walikuwa Waislamu:
Na Mungu wenu Allah aliwapa vitabu Waislamu Musa, Daudi na Isa na wakawakabidhi waumini wao Waislamu:
Hii inamaanisha nyie Waislamu ndio mlioharibu na kupoteza vitabu alivyowapatia Mungu wenu Allah:
Sasa mnamlaumu nani ?
Hivi ukikutana na huyo shetani utamjua kweli?Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924
Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)
Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji
Anajulikana kwa matendo yakeHivi ukikutana na huyo shetani utamjua kweli?
Jamaa wamefungwa akili zao ,binafsi nilipokuwa muislamu nilikuwa mbishi hata kwenye ukweliMkuu hawa Waislamu yaani ni shida tupu, hata ukimuonyesha fact ambayo ni historically or scientifically proven, hawezi kubali kile amekaririshwa katika Quran yao; nadhani fate yao ni implosion from within like what is happening in Iran au anachowafanyia Saudi Crown Prince Mohamed Bin Salman.
Mfano hata ukiwaambia kuoa katoto kadogo kama alivyofanya paedophile Muhammad ni ubakaji, wao watabisha. Ona hii picture
View attachment 3528256
Kuna ushahidi mwingi wa kuwepo kwa Yesu wa kisayansi, Kihistoria,Hadi wapinzani wake waliandika habari zake za kuwepo kwakeUkitaka kujua wote wametengenezwa, jiullize. Ni kitu gani kipya walileta ambacho waswahili hatukuwa nacho? Ni pm kwenye box nikutumie bonge la book ya mchizani mmoja ambaye huwa namkubali juu ya mambo haya. Ila kimeandikwa kwa kimombo.
Kwanza ncheke. Hakukuwahi kuwa muislam wa aina yako. Endelea kugongq kitimoto zakoJamaa wamefungwa akili zao ,binafsi nilipokuwa muislamu nilikuwa mbishi hata kwenye ukweli
Nikaja nikasema nitabishana na ukweli mpaka lini?
Nilipenda sana kuchokonoa vitabu ,ufadisi ulinifanya nikutane na uongo mwingi sana wa Quran
Kwamba wewe unanijua sana ?Kwanza ncheke. Hakukuwahi kuwa muislam wa aina yako. Endelea kugongq kitimoto zako
Hizi propaganda umeokota wapi?Sijui kama unajua matoleo ya Biblia mengi yaliyopo madukani na yanayogawanywa huko mashuleni sio lile toleo la King David...imesha chakachuliwa.
Na kwa sasa kuna toleo jipya la Biblia lipo jikoni ambapo kuna vifungu kadhaa vimefutwa kwani havina ushahidi wa hadithi za kale umeonekana ni wanafunzi walijitungia...
Mbona hujiulizi kwa nini Yesu ameshindwa kuilinda Biblia unakimbilia kwa Waislam
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio uangalia kwa jirani.....
MUNGU ALIMUUMBA BINADAMU, BINADAMU AKAMKOSEA MUNGU, BINADAMU AKAMPIGA MUNGU HADI MUNGU AKAFARIKI, MUNGU ALIKUBALI KUPIGWA HADI KUFARIKI ILI AMSAMEHE BINADAMU DHAMBI???
Acha hizi cheap propagandaUandishi wao umetofautiana wenyewe kwa wenyewe
Kama umesoma Biblia walau kwa 75% natumaini umeona Mwanzafunzi huyu kasema hivi, na mwingine kaelezea tofauti kabisa wakati wanaongelea kitu kimoja.....
Ngoja nikiwa nafasi nitakuwekea kwa kuwa nimebahatika kuisoma biblia walau kwa 80%
Kuhusu Biblia zilizo chakachuliwa; kma unapenda, fuatilia Biblia za misaada zinazogawanywa mashuleni nk nk....na kama hujui kama kuna toleo jingine la Biblia linakuja basi wewe; sio mfuatiliaji wa mambo ya kidunia. Pole!
Huyu ni wakupuuzwa ,nashangaa sijui why mnamjibumi nilidhani naongea na mtu mwenye akili zake kumbe.......au basi! Owa mwamba nitakutukana bureee!
Beberu alikula Aya za Quran, Sura ya 73 ilikuwa na Aya 200 , beberu kala 61 zikabaki 139 tu.Majibu yake ni hivi
Mafundisho ya hivyo vitabu, yamefanyiwa summary kwenye kitabu kimoja kinaitwa Quran
Na hicho kitabu kitakatifu (Quaran) huwezi kukichakachua kwa sababu kwa karibia kila nchi yenye waislam wengi, wamekishika chote kichwani hivyo hata ungetoa Quaran zote hapa duniani, baada ya muda Nchi nyingi zitakuwa zimeshaprint Quran tena bila kuruka herufi hata moja.... ha hii haipo kwa bahati mbaya....
Huyo ni debe tupu ,muwe mnawajibu Hawa wanaojikita kwenye mada ,Huyu jamaa hajishughulishi kufikiria anakopi tu na kubandika hapa.
Ushahidi upo mwingi tu ,hii mada Huwa wanaificha isijulikane ,Kuna Aya zililiwa na mbuziSio lazima kusema nimeruhusu.
Ila kwa kujua na kutamka na kukaa kimya ina maana allah amekubali kifanyike.
Na ni sawa sawa na kuruhusu.
Hebu uliza vizur hilo robot lako.
Na pia sio kila swal unapeleka chatgpt. Jibu kwa ufaham tu wa kawaida.
Huyo ni ndezi, nashangaa wanaomjibu ,hii ni KAZI ya injili ,ni kudili na wale wanaojibu mada kwa mpangilio na kile wanachoulizwa na kuuliza ,Sina haja ya kubishana na ndezi kama wewe! Kuanzia sasa na kuendelea sitaona chochote utakachopost humu jf!
Swali la kitoto sana ili😁😁😁 kuna muislamu niliwai kumjibu kuwa Muhammad alitajwa na yesu kwenye injili .....basi yule muislamu alifurahi sana kusikia hivyo akitazamia nimwambie ni wapi Muhammad alipo tajwa na yesu ....NIKA MUAMBIA SEHEMU PEKEE NDANI YA INJILI AMBAYO YESU KAMTAJA MUHAMMAD NI MOJA TU NI PALE YESU ALIPO SEMA...👉 KWA SABABU MMEIKATAA KWELI BASI MTALETEWA ISIYO KWELI ILI MUIFUATE... HAPO TU NDIYO MITUME FEKI KIMA MUHAMMAD NA MWAMPOSA NK WANAPO TAJWA NA YESU. na jibu la swali lako lipo hapo.Huwa sielewi kwanini Yesu aliachia shetani fursa ya kuanzisha hii dini ambayo inapeleka mabilioni ya watu jehanum.
adriz MOTOCHINI zitto junior
Wanazuoni hao mbona JF atuwaoni wakileta hoja zao ...kuna shekhe yoyote unaye mjua wewe mashuhuri mitandaoni kama kina shekh shafii nk waliopo JF kujibu maswali na kuleta hoja.... mbona JF hatuwaoni hao viongozi wa dini wakijitambulisha kwa sababu jf siyo lazima uwe na ID feki...Wanazuoni wenye kufahamu kuliko wewe wametoa maelezo na maelezo yao ni sahihi kabisa maana ufahamu wao kuhusiana na dini ni mkubwa
Wewe tafsiri unayolazimisha baki nayo itakusaidia kwenye harakati zako
Sasa hao wanazuoni walikuwepo zamani JF inaingiaje hapo?Wanazuoni hao mbona JF atuwaoni wakileta hoja zao ...kuna shekhe yoyote unaye mjua wewe mashuhuri mitandaoni kama kina shekh shafii nk waliopo JF kujibu maswali na kuleta hoja.... mbona JF hatuwaoni hao viongozi wa dini wakijitambulisha kwa sababu jf siyo lazima uwe na ID feki...
Kwani hii mada si nyinyi ndio mmeanzisha🤣🤣🤣Msituchoshe
Toshekeni na Mzimu wenu