Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

Yule wa USA aka Paula kumbe ni Yohana.Ndiyo maana mpompoma nakuamini,a.M32 wabaya
 
Ukiona mwanamke amefikia mpaka akaanza kuonekana na kuteuliwa, ujue amelalia vitanda vya hoteli nyingi bila ridhaa yake. Yaani amebakwa Sana.
Una uzoefu na ubakaji huo??
Mimi nitakua wa kwanza bila kubakwa
 
Nalichukulia serious kwa sababu taarifa na umbeya huu umeletwa na member senior maarufu kama popoma.
 
Hayatuhusu...maana hayana tija kwa Ustawi wa Nchi Yetu bali Matumbo yao tu.
 
Una uzoefu na ubakaji huo??
Mimi nitakua wa kwanza bila kubakwa
Of course ni wale wanaopenda mteremko,
Mimi ningewala Sana Kama ningependa kutumia cheo changu Ila maadili yangu yalinifanya niache. Binafsi naona raha ya mwanamke wa nje akusumbue na kuzunguushwa Sana kabla ya kukupa mzigo.
Wako wanawake vipanga ambao hata huyo mwanaume mkware anaona aibu kumuangalia machoni. Na wako walipo kwa juhudi zao Kama wale mawaziri wawili wa Magufuli.
 
Mkuu GENTAMYCINE hebu nipe sofa nyingine za matege. Nashindwa kumtambua. Je huyu matege, anachukua nafasi ya Bumunda au anaingia idara ya uhasibu.
'Matege Ndani' ndani anaweza kupelekwa Defense au Internal Affairs docket kwa Kwa Mkakati na Kazi Maalum ya 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…