Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

Tena umeokota Urais kama dodo chini ya mwembe asubuhi mapema
 
Jamaa wa Lindi anaweza kutupiwa virago, lakini jamaa wa Tanga na Singida hao ni injini ya Hangaya. Hawezi kuwatengua lje mvua au jua.
 
Genta hajamaanisha Ummy hapo, Tanga meant Bumbuli huko kwa kina mtu fudenge.
Hata mimi sikumaanisha Kuruthumu na ndiyo maana nimesema ukimuondoa Kuruthumu. Watanzania bado tuna ujinga mno, mtu unaandika a simple thing anakuja mtu asiyeenda shule kuja kuandika kitu tofauti na kilichoandikwa. Rudi shule dogo, achana na Madrasat.
 
Kuruthumu ndiyo nini!?..madrasat zilikufanya nini au ulifanywa nini ndani ya madrasat!?..shule imekusaidia nini!?..una uhakika siyo mjinga!?
 
Kuruthumu ndiyo nini!?..madrasat zilikufanya nini au ulifanywa nini ndani ya madrasat!?..shule imekusaidia nini!?..una uhakika siyo mjinga!?
Wabishi wengi wanaopenda kubisha bila hata kuwa na facts ni watu wanaotokea madrasat na hawajasoma
 
Ummy aondolewe pale afya.
NHIF imekufa hivi hivi waziri na naibu wake wapo, makatibu wakuu wapo. CAG aliwaonya hakuna hatua zilizochukuliwa kuepusha hili JANGA.
MTU mwenye bima ya taifa kwa Sasa akienda Muhimbili abebe hela za kutosha.
Sasa hivi Mloganzila hakuna Ile nyomi Tena. Watu wsmeanza kwenda kununua dawa kwenye maduka bila ushauri wa daktari, na kwa makanjanja yanayouza hizo dawa, we acha tu, maana wanajua tiba ya kila gonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…