Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

Mwigulu amekalia kuti kavu Kama ushauri wa Bashite (anakubalika Sana in the right places) utachukuliwa, sema dogo kiuchumi Yuko vizuri labda ashindwe kumanage miradi yake.
Huwez kutoka kuwa rc kuwa waziri. Wizara ya maokoto ni moja ya wizara chache ambazo ni technical, zinahitaj kiongoz professional mwenye knowledge na wizara husika ( less siasa) au anaejua kubalance . Ila aihitaj mwanasiasa 100%
 
Sasa yule wa singida ana elimu gani.
 
Wabishi wengi wanaopenda kubisha bila hata kuwa na facts ni watu wanaotokea madrasat na hawajasoma
Jibu maswali we mbuzi,elimu yenyewe hunizidi,na yes.. nimepita madrasa,ambako nilioneshwa upuuzi wa mtu huyo huyo kuwa Mungu na mwana wa Mungu
 
Huwez kutoka kuwa rc kuwa waziri. Wizara ya maokoto ni moja ya wizara chache ambazo ni technical, zinahitaj kiongoz professional mwenye knowledge na wizara husika ( less siasa) au anaejua kubalance . Ila aihitaj mwanasiasa 100%
Mramba alitoka kuwa RC Mbeya akaja kuwa waziri wa fedha.
 
Popoma kwenye Moja na mbili, tusubiri muda uamue
Nje ya maada, hua nikifika Kawe nakumbuka story za Popoma
 
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao ) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo.

Na baada tu ya Kumaliza zoezi lile na Mhusika Mnafiki Muoga kufurahia tayari ameshamweka katika Kikosi chake Kipya Kijacha ambacho kwa taarifa za ndani japo Wahusika Watatu Walengwa Wawili ni Magwiji wa kwenda na kutembea na Waganga wao hadi Bungeni wakiwa katika Magari yao safari wanaondoka.

Na yule mwingine nae ambaye tulijua Baba yake ni wa Kusini kumbe ni wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini nae pia kutokana na Unafiki wake kwa Kuungana na hawa Wawili ( Wana Majungu Wenzake ) wa Kiomboi na Barabara ya 13 ameshamkera Mnafiki Muoga hivyo nae safari ya Kulima Korosha zake kwa Amani imewadia.
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana (BASHITE) ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika (AMIRI MKUU) kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao ) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo.

Na baada tu ya Kumaliza zoezi lile na Mhusika Mnafiki Muoga (AMIRI MKUU) kufurahia tayari ameshamweka katika Kikosi chake Kipya Kijacha ambacho kwa taarifa za ndani japo Wahusika Watatu Walengwa Wawili ni Magwiji wa kwenda na kutembea na Waganga wao hadi Bungeni wakiwa katika Magari yao safari wanaondoka.

Na yule mwingine nae ambaye tulijua Baba yake ni wa Kusini kumbe ni wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (PENA) nae pia kutokana na Unafiki wake kwa Kuungana na hawa Wawili ( Wana Majungu Wenzake ) wa Kiomboi na Barabara ya 13 (MADELU NA FEBRUARI) ameshamkera Mnafiki Muoga hivyo nae safari ya Kulima Korosha zake kwa Amani imewadia.
Ama namna gani mkuu GENTAMYCINE, genius la kwa Kagame..!!
 
Sir anybody mwenye deep thinking mind anaweza andika hivi. But doesnt make you a genius. Neno genius ni kubwa mno na huwa hawajisemi
Basi kama neno Genius umelikataa kwa Wivu wako ngoja nibadiishe ili Uridhike na nijiite Mwerevu je, hapa pia utabisha?
 
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana (BASHITE) ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika (AMIRI MKUU) kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao ) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo.

Na baada tu ya Kumaliza zoezi lile na Mhusika Mnafiki Muoga (AMIRI MKUU) kufurahia tayari ameshamweka katika Kikosi chake Kipya Kijacha ambacho kwa taarifa za ndani japo Wahusika Watatu Walengwa Wawili ni Magwiji wa kwenda na kutembea na Waganga wao hadi Bungeni wakiwa katika Magari yao safari wanaondoka.

Na yule mwingine nae ambaye tulijua Baba yake ni wa Kusini kumbe ni wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (PENA) nae pia kutokana na Unafiki wake kwa Kuungana na hawa Wawili ( Wana Majungu Wenzake ) wa Kiomboi na Barabara ya 13 (MADELU NA FEBRUARI) ameshamkera Mnafiki Muoga hivyo nae safari ya Kulima Korosha zake kwa Amani imewadia.
Usingefafanua hili waendelee kutafakari 😅 jokings
Ila yajayo yanafurahisha
 
Ina Maana Ummy....Nape ...January na Mwigulu??.....yetu machooo....
Ummy bi Dada yule hana shida kabisa ni mchapa kazi sana tena ana hekima siyo mjivuni na siyo jambazi na fisadi ni mtu wa watu. Nilienda Tanga hakika simulizi za wapiga kura wake ziko nzuri mno. I wish angekuwa hata makamu wa rais au waziri mkuu au rais ajaye
 
Back
Top Bottom