Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Mbona huwa hamfungui hizo nyuzi, kama ninyi tunawashambulia kwa mambo ya uzushi basi na ninyi fanyeni the same kwetu ila ni mnajua kuwa hamna hoja za kuwashika wanaume maana wao hawashindani kama ninyi mnavyogeuza hii mijadala mashindano.Pambana na mwanamke uliyemchagua......
Walioopoa boko waacheni wao
Kila siku kufungua nyuzi humu wanawake this wanawake that ni dalili ya kukosa akili na kukosa mwelekeo.... la saba B wapo kibao mtaani kaoeni hao, life is not that deep sawa???
Au na sisi tuwe tunafungua nyuzi humu ambavyo asilimia kubwa ya 30s-40 wana uwezo wa kifedha wa kuunga unga, mixer vitambi vya hovyo hovyo na nguvu za kiume ni adimu????
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE and let me ignore you akili yako inatosha kufungua zipu ya suruali tu
Si unaona wewe unakuja kushambulia ile ya tit for tat, jicho kwa jicho, upanga kwa upanga, badala ya kuelewa mada na kuchangianya kujenga.
Why are you turning a "reality check" conversation into "gender hate arguments".