Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
You said it all. Yani mwanamke anatakiwa awe zombi la mumewe tu hata afanyeje atabaki kuwa mtumwa.Ana matatizo, lugha anazotumia dhidi ya wanawake ni ngumu sana, huyo mkewe ana kazi ya ziada,anyway wote wanaopinga 50/50 ni watu wanaochukia wanawake...wameshuhudia baba zao waki bully mama zao..hivyo wanatafuta wanawake sawa na mama zao watakao accept kuwa bullied, ndio wanahangaika mitandaoni, utawajua tu akili zao zilivyo faulty...kuna profile ht humu ukifuatilia utawajua tu...
Kuna thread nimetoka kui ona humu sasa hivi ni
Huzuni
Kwakweli ngoja nii share Biashara na mahusiano hayatanitesa kweli?
Kwa mfano huyu mke kwenye hiyo thread akigundua mwanaume wake amezaa na mchepuko na biashara amempa atafanya nini? Na anasema mwanamke wake ana biashara zingine anasimamia. So hili ndio lengo lao la kuwaachisha wanawake zao kazi. Ili wafanye ufirauni wao na wanawake wasiwe na pa kukimbilia maana wanajua kipato chao kiko chini ya huyo mwanaume.
Mi nakwambia ntapopoana na wanaume
Humu hadi kiama and they are very selfish