Maduka ya dawa yajiandae kuagiza mzigo wa kutosha wa dawa za antidepressants na za usingizi na pia wale mnaokwenda vyuoni someeni maswala ya psychology itakuja kuwa a very paying careers especially kwa wanaume maana ndio huwa the best psychologists kwa wanawake, na milembe ijiandae kupokea patients wapya.
Pale Moshi na Arusha machizi wengi ni wanawake ndio utakutana nao wanaokota makopo, na takwimu za matumizi ya dawa za kulevya zinasomeka kuwa wanawake wanaongoza.
Hii sio nzuri na sio swala la kuchekea tutawapoteza hawa viumbe.
My guy you re better than this.... this is a dumb writing
1. Nna first hand experience ya psychiatric wing, as of then wanawake wengi watu wazima waliokua wanachukua dawa sababu ya mahusiano ilikua ni sababu ya stress za kushindwa kuachilia toxic marriages sababu ya sababu mbalimbali ESPECIALLY WATOTO
2. Most men hawanywi antidepressants but huko duniani ambako hili swala limeshika kasi ndo wanaongoza kwa SUICIDE mfano UK wanaume 18-45 yrs are likely to die by SUICIDE THAN ANY OTHER REASON
3. Ukienda CTC pale kwenye grid ya taifa couple ambazo mwanamme anakunywa dawa mama mzima ni nyingi kuliko mama anakunywa ARV then baba hanywi... lakini huko mbele sidhani kama kutakua na mtu wa kuishi na mume muathirika wakati yeye ni mzima
HII VITA HAINA FAIDA KWA UPANDE WOWOTE LAKINI MEN ARE MORE AT A LOOSING END
1. Mwanamke ni social being , a divorced woman ana support kubwa socially kuliko mwanaume
2. Utampa mimba mwanamke lakini watoto are more likely kuishia na yeye unless dishi limeyumba
3. Ni rahisi mwanamke wa miaka 30 ambae hajaolewa kukaa nyumbani bila masimango especially akiwa na kazi kuliko mwanaume at the same circumstance, sasa nyumbani kuna community it's hard to be lonely
4. Mwanaume mpweke ni rahisi kuwa mlevi na kuwa malaya, uchumi na afya vikiyumba basi he is more likely kujiua tu lakini mwanamke mpweke sanasana atakimbilia kanisani na hospitali kama ana elimu kidogo, akifika huko support ni kubwa mno bado marafiki, ndugu na jamaa
5. Kwenye hii dunia yenye vijana marioo, wajane wengi wenye uwezo hawatokua lonely, as much as mwanaume anaweza oa kibinti na mjane anajichukulia kimarioo life goes on, tunawaona wakina shishi wanabadili vijana tu
SO HOPEFULLY MNABISHANA HUMU MITANDAONI LAKINI GROUND MNA COMPANIONSHIPS HEALTHY SABABU MWISHO WA SIKU A HEALTHY RELATIONSHIP IS GOOD FOR THE SOUL, BODY AND SPIRIT AND ITS A BONUS KUENDELEA KUJAZA DUNIA KWA WATOTO WENYE AKILI TIMAMU