Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Mbona huwa hamfungui hizo nyuzi, kama ninyi tunawashambulia kwa mambo ya uzushi basi na ninyi fanyeni the same kwetu ila ni mnajua kuwa hamna hoja za kuwashika wanaume maana wao hawashindani kama ninyi mnavyogeuza hii mijadala mashindano.

Si unaona wewe unakuja kushambulia ile ya tit for tat, jicho kwa jicho, upanga kwa upanga, badala ya kuelewa mada na kuchangianya kujenga.

Why are you turning a "reality check" conversation into "gender hate arguments".
 
Wewe kwann haukuiweka kama alivyoiweka? [emoji848]
 
Ushauri umepokelewa[emoji1666] tatizo walikua wanakuja kichwa kichwa ikabidi nigawe wastani kwa idadi.

Wanatutukana sana wanawake mada nyingi ni za kutushusha tu mara tuite mipira mibovu sasa mtu akijichanganya yanakua mengine.
Kama wewe ni mpira t ule wa kufuma na soksi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mtoa mada hanaga linguine zaidi ya kuongelea 50/50 kama li mke lako ni Limama la nyumbani then tulia, hii vita ya kusafisha 50/50 won't get you anywhere...pumbafu.
Kwann wewe usiongelee 100% yako umuache yeye aongelee 50/50 why haupendi expression ya mawazo ya mwingine? [emoji848]
 
Kama wewe unapenda mashindano na sio tabia nzuri.
 
Kwann wewe usiongelee 100% yako umuache yeye aongelee 50/50 why haupendi expression ya mawazo ya mwingine? [emoji848]
Look at who is talking! Eti kwanini hapendi expressions za wengine. Sasa mbona wewe pia unapinga expressions za wengine?

I am still waiting for your crew of gaymen eti waje na kuni. Si umeona tangu mwanzo huko sijamuacha mtu aliekuja na shobo tumeziza waliokuja kistaarabu tumeelewana.

Sasa endelea kuwashwa
 
Wewe acha uongo wewe, mimi naweka dau hapa kama kweli wewe unayo hayo maisha ya watoto watatu wadau waseme hapa nitalipa na nitakuomba msamaha mwezi mzima mara tatu kutwa kwa kukubishia ukweli wako.
 
Hajaolewa huyu unakuta kapo 25 ndio maana kanajihami. Mwanamke aliyeolewa huu uzi asingeubishia maana anajua balaa la uraini lilivyo.

We ushawahi kutana na mlala njaa anamwaga chakula? [emoji848]
🤣
Katakuwq kasingle mother
 
Baeleze mwanangu baeleze!!!!!👌👌👌👍👍✌️✌️✌️
 
Wewe acha uongo wewe, mimi naweka dau hapa kama kweli wewe unayo hayo maisha ya watoto watatu wadau waseme hapa nitalipa na nitakuomba msamaha mwezi mzima mara tatu kutwa kwa kukubishia ukweli wako.
watoto watatu wa wapi? Unasoma na kufikiri kwa kutumia kiungo gani?? Nimetoka kusema hapa wanaume mnatia kichwa cha chini kufikiri🤣🤣🤣 bishana na fuvu lako ila kubali kataa huo ndo ukweli. Acha nitetee wanawake wenzangu wasikubali kuwa tegemezi wanaume wenyewe kama wewe unavaa suruali ili uitwe me ila kichwani fungus

Alafu unapenda sana kutafuta support ya mapunga wenzio🤣 unashindwa kujisimamia mwenyewe kwenye hoja una kazi ya kuita wadau. We itakua ni mwanafunzi wa chuo mmezoea debate za makundi. Step up your game tubishane kama watu wazima kama we mwanaume kweli.
 
Kama ni watu wa muhimu na wakaribu kwann asipewe mchango, na una msimanga kwa lipi sasa kwamba akamuombe nani huo msaada? Utasimangwa kama unaendekeza michango wewe kila mwezi harusi za marafiki na mashosti zako ukipiga kwa mwaka unachangia harusi zaidi ya milioni 2,sasa wewe si liability?

Hata kama pesa ni ya mshahara wako bado utasimangwa kwa matumizi mabaya pesa za familia, ebo kwan pesa yako ni yako pekee yako? [emoji848]


Kusomesha wadogo zako hilo ni jukumu la wazazi wako, utalifanya pale ambapo una mudu tu kama haumudu sio lazima wazazi wako walizaa watoto ambao hawawezi watunza ili iweje?

Kama tupo vema hilo jukumu tutalibeba lote la kuwasomesha au tutachangia kiasi fulani kingine wazazi wako watatafuta msaada kwingine. Wewe usomeshe ndugu zako huku umri unaenda nani atakusaidia majukumu yako, yaani ukae na mwanaume hapa anakulisha anakuvalisha, unaishi kwake halafu upige mishe hela unapelekea familia yako, sasa kwann haukubakia kwenu utumike kama msukule wa familia ebo?

Na watu kama wewe MUNGU anakuonyesha kwa wale wale wadogo zako wanafanikiwa wanaanza kukusema vibaya kuwa uliacha kuolewa unawasumbua au wanasoma halafu hawapati kazi unakosa vyote na akili zako za hovyo kabisa.
 
Mbona wanawake wanakufa wanaacha wanaume zao hapo inakuwaje? Kuna yule dada wa Moshi alifia njiani kwa ajali siku anaenda valishwa pete ya uchumba, kuna yule alifia uwanjani na watoto wake siku ya kumuaga magufuli, kuna yule alikuwa na watoto wakafungulia gesi mama akaingia na jiko la mkaa limekolea wakalipuka wakafa na watoto.

Sasa mbona hizi scenario hauzioni au ndio kichwa chako kina scan maisha kifeminist? [emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ni wakili/mwanasheria ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana mbishi kama doa la utomvu wa ndizi kwenye nguo. We kubabake ukiolewa ukawa na amani me niitwe Putin. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sheria ya usawa aikua mbaya ila wapokeaji ndio wameipokea vibaya .
Mwanzo kulikua na mila kandamizi ila wao imekuja kuwavimbisha kichwa na kifua wakasahau miongozo ya dini na tamaduni zetu
 
Ungekua unatumia kichwa cha juu kuwaza ungeona comment yangu inayosema kuhusu mwanamke alitangulia kufa inakuwaje ila kwa kuwa una bichwa limejaa kamasi sina mda wa kukuelezea.
 
Mawakili peke yao ndo wanaozijua kuta za mahakama? We unanyonya bado ukishiba maziwa unapiga kelele
 
Mawakili peke yao ndo wanaozijua kuta za mahakama? We unanyonya bado ukishiba maziwa unapiga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…