Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Mimi ni baba wa family Ila kuna mabinti kama Saba hajazao na nyege zao wananitegemea nikiwauliza kwa nini msitafute wenza wa kudumu wananijibu hawajawahi kutongozwa zaidi ya mwaka sasa ila wanatamani kuwapata sema ndo ivyo 50/50 imeharibu vijana wanamega na kusepa kwenye shishashishashisha mimi nataka shishashishashisha alooooh awh waiwaiooooo.......uooo ni uongooooooo
 
Wamebaki kumuonea wivu Mrs GSM na mwenzie Mrs Salaah, wao 50/50 hawataki, wametulia nyumbani walee familia as a proud African woman should.
Sasa swali langu linakuja. Wewe income yako ni kama GSM? Mimi nimetoka kwetu napata kila kitu, nikaanza kazi nijihudumie,
Umekuja kunioa ukasema niache kazi nilee watoto , nyumbani unaniachia elfu moja ya dagaa wanangu wale, wewe unaenda kukesha bar, kwakuwa mama yako hakusoma, baba yako alikupeleka shule ya kata unataka na wanangu wasome kata kwakuwa wewe huna uwezo, nakaa nyumbani nafubaa kama mzee wa miaka 60 kisa mume wangu hataki nifanye kazi nibaki nilee watoto,

Ukirudi nyumbani unanikuta nimefubaa huvutiwi tena na mimi ulienioa miaka 7 nyuma nilipokua najinunulia lotion ya 35,000. Saizi unanipakisha minara coconut oil. Unaenda kazini kwako unakutana na secretary anapaka lotion ya 20,000 anapendeza anawaka unamtamani unakaa ukimwambia mke wangu hana mvuto tena. Wanaume mna utindio si eti?

Nani aliwadanganya kuwa kupinga 50/50 ni lazima mwanamke abaki nyumbani? Personally huo ujinga wa 50/50 siutaki kwangu hata sukari ikiisha sinunui bila mahesabu. Nilishamtengenezea Mr kwamba mimi ni support yako. Pale unapotoa mimi ndo ntaongeza kama kuna ulazima. Gharama zangu za maisha ni kubwa, hujanioa ili u shrink my standards otherwise ungeenda kuoa kijijini kwenu sitimbi huko. Na kazi nafanya na wanangu nalea. Hivi mfano kazini umefukuzwa ghafla na akiba huna tunaishije nyumbani? Mwanaume huna uwezo wa kunitunza huna unakomalia nikae nyumbani nivae madera. Are you serious? Kazi nafanya kama kawa na familia yako utaihudumia maana wewe ndo baba.

Wanaume wengi mnataka mwanamke ambae anakaa nyumbani ili umnyanyase. Au sio.
Muwe na uwezo wa kuwahudumia basi sio mke anamiaka 30 anafanana na kabibi ka miaka 65.

50/50 ni kwenye fursa kwa sababu hawa waliosoma waende wapi? Kama wanaume mngekua that smart si mngekua mnaongoza peke yenu madarasani. Ndo maana kuna vilaza na kuna wanawake wanaongoza. Acheni ubinafsi.

Most of us submissive women tuko makazini na ndoa zetu wanaume tunawaheshimu vizuri tu.

Tena wanawake acheni leo niwape siri, ukitaka kumcontrol mwanaume kuwa submissive. Yani shingo ndo inazungusha kichwa. Sitawafundisha kila kitu. Mwanaume akirudi nyumbani muoneshe heshima zote, mkiwa public mtreat kama mfalme uone kama hato fall for your desires.

Hawa wa jamii forum wengi wanachuki za bure na wanawake na kuna mahali wanashindwa kuelezea wanachotaka. Chanzo cha wanawake kutokua na heshima sio kazi walizo nazo bali ni jinsi wanaume mlivyoshindwa ku play part zenu,yani mwanaume anashinda bar, ana shinda anabet, kila akirudi hana hela, watoto wanarudishwa ada. Na mke alisoma ana kadregree akae nyumbani kisa mume atajiskia vibaya? Stupid
 
Inapaswa ujiheshimu pia, usiishie tu kumweshimu Mzee wako
 
Wewe ndo akili huna, perception yako imekukimbilisha kwenye kuolewa na mtu anayeacha buku nyumbani na sio mtu anayekuachisha kazi na ana hela ya kukupa huduma. Sitaki kujua maisha yako yalivyo lakini umeshaonyesha una maisha magumu sana.

Mwanaume anayekwambia kaa nyumbani usifanye kazi, kama ana akili timamu lazima awe anajua kwamba ukikaa nyumbani hela zake yeye zinawatosha wewe na yeye. Level ya GSM sio kila mmoja atafika ila level ya kuhudumia nyumbani mahitaji yote ya msingi yawepo, watoto waishi vizuri na maendeleo yafanyike, kila mwanaume mchakalikaji anaweza akaifikia kwa urahisi kabisa.

Tatizo lenu mnaonaga mnachelewa mkiambiwa mkae nyumbani mwanaume akatafute. Mnadhani mambo huwa yananyooka kwa urahisi sana. Saivi mnatoka kutafuta hampati, mental health zenu zimejaa makasiriko, hasira na a lot of hidden pain. Mkiangalia cha maana wengi wenu hampati na wengi zaidi ndo wanaishia kutia najisi their body in pursuit for good life, what a joke.
 
Basi kila mtu abaki na perception yake. Kwa hali ilivyo saizi labda uolewe na mgane. Ila mwanaume ana miaka 30, kazi zenyewe za kusuasua hiyo hela ya kumfanya mwanamke anakaa nyumbani anahudumia kila kitu inatoka wapi🤣🤣🤣 wanaume wenyewe wanataka wanawake wanaojiweza hata kifikra ili msaidiane. Utaskia tu, vipi mama jishughulishe basi kidogo. anawaza watoto wake wanalelewaje asipokuwepo. By the time
Namaliza kukuvumilia nna miaka 45 nimefubaa kwa miaka 15
Sina hata mia mbovu nakuja kuskia ulizaaga na secretary.
Yani achana kabisa na mimi
Kwenye hizo mada wanaume hamna maana . Acha kila mtu ajipambanie. Mwanamke anaeweza kujihudumia na kulea
Wanae afanye. Kuna wanawake wanakaa nyumbani ila bado watoto wao wanaharibiwa na mfano mzuri ni uswahilini. Kwenye wimbi la vibaka wa kila aina. Mama zao wanaenda ofisi zipi? Nyie vipi ebuuu

Nyinyi mnaotaka magoli kipa mna inferiority complex. Kubali kataa. Wenye mentality za kimaskini ndo hamtaki mwanamke afanye kazi mda wote unadhani UNAIBIWA
 
Mimi mke wangu nilimkuta anafanya kazi, na tena by the time he was paid vizuri zaidi yangu. Nikaanza kupambana bila kumuachisha kazi mpaka tukafunga ndoa and all. Sababu kubwa iliyofanya nimuachishe kazi ni mimi kurudi nyumbani alafu yeye bado anakuwa kwenye foleni hajarudi na hio ni saa 3 usiku. I couldn't take it and hapo ndo mguu wangu, mguu wake mpaka ofisini kwao na kazi akaacha. Since then, i doubled my hustle, nadhani kujua kwamba wife hana kazi na mimi ndo sababu ilifanya nipambane kwa nguvu zote. The rest is history. Nashukuru sana Mungu nilioa mwanamke msikivu na mwelevu. Ila ningepata hawa wavaa vijola washinda barabarani in the name of kutafuta na wabishi kama wewe, kazi ingekuwa kubwa.

Saivi wife katulia ananenepa tu, huwa hasemi ila najua deep down ananishukuru sana kumuondolea headache za kazi. Wenzake kila wakija kumuona wanamtamani sana. Wao wanakufa na mawazo ya kazini kama wanaume.
 
Telenovela unayosimulia haina director mzuri nenda katunge tena. Hiyo kitu haipo!

Tukirudi kwenye uhalisia, mwanaume hana kazi na anataka mwanamke amwabudu aache kazi walie wote njaa. Niite mbishi ila kazi huniachishi.

Kama story unayoisimulia ingekua kweli ningekuuliza hivi Ina maana wakati hamjaoana alikua anarudi saa tisa na nusu jioni ila ulipomuoa akawa anaongeza muda wa kuchelewa kurudi? Inferior men are scary. Mngekua mnawajali wanawake wenu mkiwaachisha kazi hamuendi kuchepuka na kuzalisha michepuko mbona fresh tu. Ila mwanamke anapambania future ya wanae anawatengenezea akiba kwasababu tunajua wanaume wengi nguvu za kiume hamna ila mko busy kutembeza hizo rungu kuonesha vilema
Vyenu mnasahau family kwa ulimbukeni
 
Wewe kitalaam kabisa una kitu inaitwa PTSD. Tafuta msaada.
 
Hapana, ila nimeelewa mada kwa namna nyingine,. Wadada wengi saizi wamekua busy sana kutafuta hela hawana ile hulka ya kike
Huwa nakutana na wanawake wengi wanasema wanatafuta hela kiukweli wanawake wengi wa kitanzania wanafanya kazi zisizo rasmi ambapo vipato za hizo kazi ni kiduchu.
Utawakuta migahawani, ujenzi na kazi zingine ambapo vipato vyao ni vidogo kwa siku analipwa 3,000 mpk 5,000.
Mazingira ya kiafrika yamembana sana mwanamke kiuchumi na mwisho wa siku huishia kudanga na kuwa single mom tu na hakuna mafanikio wanayopata.
Mwanamke wa kiafrika bila kuolewa na mwanaume mwenye akili timamu na mpambanaji ataishia kuteseka tu.
Hiyo 50/50 inawadanganya sana, hayupo mwanaume yoyote duniani ambaye atakubali kuishi na mwanamke ambaye hamueshimu na hamsikilizi
 
Y

you said it all
 
Watawala wa dunia wako na hii sera ya50/50.
Ni Kwenye hizi harakati mapambano ni juu ya mwanaume, wakati huo huo wanaume wanapambana kuwa wanawake!
Ni kama ile ya "divide and rule"

Unaweza sema mwanamke anapendelewa na hii sera, ukweli ni safari ya kujipeleka utumwani.
Huku wenyewe wakishangilia!
Zitafika nyakati, mwanamke huna pesa hutongozwi!
Ni uwe na pesa za kumuhudumia mwanaume, huna wenzio watabeba hilo jukumu kwa utii na kujishusha.

Na wale wanaume wanaoshinda baa, hawaleti maendeleo nyumbani, akipata elfu kumi anakwambia hainunui mfuko wa cement anaenda nayo baa unategemea mke atamsikiliza? How? Kwahiyo mke nae abaki nyumbani anasubiri mume alete makombo ya pombe nyumbani?

Wanaume jithaminini. Hata sisi tunapenda waume zetu wawe matajiri watuhudumie majumbani ila wengi ni wapumbavu na hawana akili! Mwanaume toto la mama kazi kulalamika tu huko limekaa baa
 
Telenovela unayosimulia haina director mzuri nenda katunge tena. Hiyo kitu haipo!

Tukirudi kwenye uhalisia, mwanaume hana kazi na anataka mwanamke amwabudu aache kazi walie wote njaa. Niite mbishi ila kazi huniachishi.

Kama story unayoisimulia ingekua kweli ningekuuliza hivi Ina maana wakati hamjaoana alikua anarudi saa tisa na nusu jioni ila ulipomuoa akawa anaongeza muda wa kuchelewa kurudi? Inferior men are scary. Mngekua mnawajali wanawake wenu mkiwaachisha kazi hamuendi kuchepuka na kuzalisha michepuko mbona fresh tu. Ila mwanamke anapambania future ya wanae anawatengenezea akiba kwasababu tunajua wanaume wengi nguvu za kiume hamna ila mko busy kutembeza hizo rungu kuonesha vilema
Vyenu mnasahau family kwa ulimbukeni
Tobaa 😀😀😀
 
Kazi kwelikweli....
Ukiingia JF ni dunia ya tofauti sana
1. Nyuzi za malalamiko kutoka kwa wanaume ni nyingi kuliko za wanawake
2. Single maza wanapigwa sana vita lakini in real life wanaolewa fresh kila kukicha
3. Wanajitia kataa ndoa JF deep down ni watu wa hovyo, wanakutana na wanawake wa hovyo kama wao wanaishia kulaumu
4. Ukipata instagram, watu wa industry ya wedding wanapiga hela mpaka basi ndoa zipo nyingi bandika bandua.....

Uhalisia ni kwamba
1. Wanajitia wanataka wamama wa nyumbani muda huo kipato cha kuunga unga and most men wanajipata 30+ huko... so labda utafuta mtu uliyemzidi mika 5+ ndo mtaenda sawa
2. Most negative men hawana hela, wengine ni gays na wengine hawana nguvu za kiume kazi kukitombesha waonekane marijali kumbe wao na jogoo hamna tofauti

Inshort acheni kulalamika lalamika, maisha mafupi kifo ni lazima, pata mpenzi wa kufanana na wewe, funga ndoa enjoy life....
Hii ya kujitia nye nye nye na kufungua nyuzi kila siku humu, it shows hamna mbele wala nyuma and have nothing to offer kuonesha huo uanaume zaidi ya pesa ambayo hata mwanamke anaipata
 
Back
Top Bottom