Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

One thing men should know. YOU ARE NOT DOING A FAVOR MARRYING WOMEN! Ni kwasababu tunategemeana.

Huwa mnalichukulia hili suala la ndoa kama msaada hivi! Utaskia si ashukuru flani kamstiri!

Wanawake wangapi wanastiri mashoga na watu wasio na uwezo wa kupandisha jongoo kwenye mtungi, ila mwanamke anahangaika sijui na dawa za kimasai ili we punda uitwe baba. Saizi mnanguruma huku.

Kama mna uwezo sana si mzalishane wenyewe wanaume kwa wanaume. Mpite labor mkaone shughuli yake. Mnachukulia wanawake ni kama voodoo dolls ya kutoboa toboa tu. A whole head passed through my vagina, I created a brain and oh a title for you ungrateful set of lunatics to be called fathers eti leo mnajifanya mnakashfu wanawake.

I call out gays in every men who talk down on women. Kaeni na wake zenu ndo muwaachishe kazi. Kwani lazima kila mtu awe kama mama ako au mkeo! Hao hao vilaza waliokubali wametosha! Wa wenzenu wako makazini na miradi wanafungua.
 
Sasa swali langu linakuja. Wewe income yako ni kama GSM? Mimi nimetoka kwetu napata kila kitu, nikaanza kazi nijihudumie,
Umekuja kunioa ukasema niache kazi nilee watoto , nyumbani unaniachia elfu moja ya dagaa wanangu wale, wewe unaenda kukesha bar, kwakuwa mama yako hakusoma, baba yako alikupeleka shule ya kata unataka na wanangu wasome kata kwakuwa wewe huna uwezo, nakaa nyumbani nafubaa kama mzee wa miaka 60 kisa mume wangu hataki nifanye kazi nibaki nilee watoto,

Ukirudi nyumbani unanikuta nimefubaa huvutiwi tena na mimi ulienioa miaka 7 nyuma nilipokua najinunulia lotion ya 35,000. Saizi unanipakisha minara coconut oil. Unaenda kazini kwako unakutana na secretary anapaka lotion ya 20,000 anapendeza anawaka unamtamani unakaa ukimwambia mke wangu hana mvuto tena. Wanaume mna utindio si eti?

Nani aliwadanganya kuwa kupinga 50/50 ni lazima mwanamke abaki nyumbani? Personally huo ujinga wa 50/50 siutaki kwangu hata sukari ikiisha sinunui bila mahesabu. Nilishamtengenezea Mr kwamba mimi ni support yako. Pale unapotoa mimi ndo ntaongeza kama kuna ulazima. Gharama zangu za maisha ni kubwa, hujanioa ili u shrink my standards otherwise ungeenda kuoa kijijini kwenu sitimbi huko. Na kazi nafanya na wanangu nalea. Hivi mfano kazini umefukuzwa ghafla na akiba huna tunaishije nyumbani? Mwanaume huna uwezo wa kunitunza huna unakomalia nikae nyumbani nivae madera. Are you serious? Kazi nafanya kama kawa na familia yako utaihudumia maana wewe ndo baba.

Wanaume wengi mnataka mwanamke ambae anakaa nyumbani ili umnyanyase. Au sio.
Muwe na uwezo wa kuwahudumia basi sio mke anamiaka 30 anafanana na kabibi ka miaka 65.

50/50 ni kwenye fursa kwa sababu hawa waliosoma waende wapi? Kama wanaume mngekua that smart si mngekua mnaongoza peke yenu madarasani. Ndo maana kuna vilaza na kuna wanawake wanaongoza. Acheni ubinafsi.

Most of us submissive women tuko makazini na ndoa zetu wanaume tunawaheshimu vizuri tu.

Tena wanawake acheni leo niwape siri, ukitaka kumcontrol mwanaume kuwa submissive. Yani shingo ndo inazungusha kichwa. Sitawafundisha kila kitu. Mwanaume akirudi nyumbani muoneshe heshima zote, mkiwa public mtreat kama mfalme uone kama hato fall for your desires.

Hawa wa jamii forum wengi wanachuki za bure na wanawake na kuna mahali wanashindwa kuelezea wanachotaka. Chanzo cha wanawake kutokua na heshima sio kazi walizo nazo bali ni jinsi wanaume mlivyoshindwa ku play part zenu,yani mwanaume anashinda bar, ana shinda anabet, kila akirudi hana hela, watoto wanarudishwa ada. Na mke alisoma ana kadregree akae nyumbani kisa mume atajiskia vibaya? Stupid
Tayari tumeshampata mmoja wao.
 
One thing men should know. YOU ARE NOT DOING A FAVOR MARRYING WOMEN! Ni kwasababu tunategemeana.

Huwa mnalichukulia hili suala la ndoa kama msaada hivi! Utaskia si ashukuru flani kamstiri!

Wanawake wangapi wanastiri mashoga na watu wasio na uwezo wa kupandisha jongoo kwenye mtungi, ila mwanamke anahangaika sijui na dawa za kimasai ili we punda uitwe baba. Saizi mnanguruma huku.

Kama mna uwezo sana si mzalishane wenyewe wanaume kwa wanaume. Mpite labor mkaone shughuli yake. Mnachukulia wanawake ni kama voodoo dolls ya kutoboa toboa tu. A whole head passed through my vagina, I created a brain and oh a title for you ungrateful set of lunatics to be called fathers eti leo mnajifanya mnakashfu wanawake.

I call out gays in every men who talk down on women. Kaeni na wake zenu ndo muwaachishe kazi. Kwani lazima kila mtu awe kama mama ako au mkeo! Hao hao vilaza waliokubali wametosha! Wa wenzenu wako makazini na miradi wanafungua.
Mkuu kama hujampata mleta uzi basi hivi unavyofoka hapa ndio hasa lengo la uzi wake...

Kwa nilivyomuelewa hajataka wanawake msifanye kazi, ila kufanya kwenu kazi kunawatesa wenyewe.

Si unaona hata wewe ulivyopanick hapa kwa reply ndefu ndefu, ndicho alichomaanisha. Kidogo tu tayari mshawaka, mnahisi mnadharaulika so mnajilinda kwa maneno makali mpaka matusi sometimes, wakati ni ishu ndogo tu hii.
 
Nina mengi sana ya kuchangia kuhusu hili ila naona uvivu kuandika, ila kiufupi wanawake wengi ni wabinafsi, wanataka wafanye kazi kama wanaume ila hawataki kugawana majukumu na mwanaume, wao wanataka wapokee tu na kuhudumiwa na mwanaume ila pesa zao wanafanyia mambo yao wanayoyajua wao.

Ushauri wangu kwa wanaume wenzangu, jijali mwenyewe kwanza, ukiamua kumhudumia mwanamke,mhudumie kulingana na uwezo wako, usikope ili kumfurahisha mwanamke au usiache kufanya mambo yako ya msingi kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke, kuna wengine walienda mbali hadi kumsomesha mchumba na bado wakaachwa, pesa ambazo wangefanyia mambo yako ya msingi.

Ili kutia mkazo zaidi: "Focus on yourself, never go above and beyond for a woman"
 
Muachishe huyo zombie wako kazi. Kwani walioko makazini nao ni wake zenu? Mbona mna uchungu nao sana!

Au mnatamani muwe mnavaa pedi pia maana sielewi hasira ni za nini!
Hamna asietaka msifanye kazi, hizi reply zako zinadhihirisha jinsi hiyo kazi inavyokupa stress na kupoteza ile haiba yako ya kike.
 
Nishawahi kua na boss mwanamke aloo usiombe.
Kwanza hakosolewi kindezi, haelezeki, hashauriki. Ukifanya hayo yeye anahisi sijui umemuoa yeye hajui, umemuona ni kilaza, umemdharau kisa ni mwanamke.
Daah yaani shida tupu mpaka unajiuliza ni kwanini wao hujihisi hivyo wakati wewe unamchukulia kama kiongozi wako yeye anahisi unataka kumchallenge.
 
Andika yako inaonesha dhahiri kuwa una stress 50/50 imekualibu kisaikolojia, ngoja nikwambie hakuna kitu kizuri kwa mwanamke alie kwenye ndoa kama feeling za kutegemeana, mke kumtegemea mume katika mambo yanayomuhusu mume na mume kumtegemea mke katika mambo yanatomhusu mke huwa inaleta sana amani ndani ya nyumba na kuepusha ubabe ubabe wa kijinga

Hapo umetudanganya umejisifia uongo kua kipato chako kinamsapoti mume, nakwambia hela ya mwanamke ni ya mwanamke tu na haijawai msapoti mume na mume akapata unafuu na amani ndani ya ndoa, zaidi hua inasapoti mke mwenyewe na watoto, angekuwepo huyo mme unaemsemea ndio angesema ukweli.
Huyo humuwezi mkuu, ni super woman, unawajua masuper woman wewe?? 😂😂
 
Sasa wewe ndo Umepanic.

Kaanze mwanzo kwenye comment yangu uliyoidakia nilikua namjibu nani na nimemjibu kwa mantiki gani kulingana na alichoandika yeye.
Mkuu kama hujampata mleta uzi basi hivi unavyofoka hapa ndio hasa lengo la uzi wake...

Kwa nilivyomuelewa hajataka wanawake msifanye kazi, ila kufanya kwenu kazi kunawatesa wenyewe.

Si unaona hata wewe ulivyopanick hapa kwa reply ndefu ndefu, ndicho alichomaanisha. Kidogo tu tayari mshawaka, mnahisi mnadharaulika so mnajilinda kwa maneno makali mpaka matusi sometimes, wakati ni ishu ndogo tu hii.
 
Soma uelewe nimeandika kabisa sinunui hata sukari bila mahesabu. Mimi ndo naamua ninunue au la sasa wewe umesoma kiuno juu ili uwahi uje kujibu pumba.

There can’t be two bulls in the house silipi bills zozote na kazi nafanya. Stupid. Sasa mwanaume ana muda wa kujua mtoto anataka nguo mpya au la? Hapo ndo ela yangu inaingia kubali kataa it’s up to you! Nilizoea kupaka perfume ya bei nije nipake kulthum za maiti kisa wewe kapuku huna cha kunipa? Ebuuu!

We kilichokuvutia kwa huyo mwanamke ilikua uzuri, urembo class kwasababu alikua kazini. Ukamtongoza na umaskini wako Sasa umemuoa unamfungia ndani ufanye kazi ya kumzalisha tu nguvu zenyewe za kiume huna🤣 mxiew hela za kuwatunza waremmbo mliowakuta makazini hamna mnataka muwafubaze. Kaoeni kijijini kwenu hamtaki. Mnataka nini ebo

Men deal with your insecurities. Wanawake kazi tutafanya mtake msitake. Mijanaume mingapi imejazana kazini umbea tu, wanawake ndo wanafanya kazi na kutoa ideas za maana.

Jf humu ni keyboard warriors ila kichwani pakavu.
You can't fight nature, mwanamke alishaumbwa kuwa chini tu, , shida ya nyi feminist, mmealibiwa kisaikolojia kwa kuaminishwa kua unatakiwa kufanya kazi kumshinda mwanaume, ndio hapo mnapofeli, na wakati sisi wanaume tunafanya kazi kutatua changamoto za uchumi wa familia

Hata andika yako inaonesha unafanya kazi kushindana na mwanaume sio kusonga mbele.
 
Huyo humuwezi mkuu, ni super woman, unawajua masuper woman wewe?? 😂😂
Ndo sisi ndio. Unataka kila mtu awe kama mama ako. Utegemezi umemsaidia nini zaidi kuchomeka na frying pan za vitumbua ili nyinyi mpate ndala za kuendea shule. Au hao wa sampuli hio hamuongelei ila wanaowauma ni hawa wanaoenda kazini tu! Mama ntilie anashinda posta kuanzia mda anapika chai hadi jioni anakaanga samaki arudi nyumbani. Hajui hata ac ni nini ila mkanyage uone alivyo na stress. Hapo mwanaume amezeeka na pombe za pingu.

Mimi nilitegemea mngekuja na mada za kuinuana wanaume. Yani niskie hapa mnasema wanaume tuache kunywa pombe ovyo, tuache michepuko ina magonjwa, tutengeneze pesa tulee familia. Kazi kujazana ujinga tu mapoyoyo
 
You can't fight nature, mwanamke alishaumbwa kuwa chini tu, , shida ya nyi feminist, mmealibiwa kisaikolojia kwa kuaminishwa kua unatakiwa kufanya kazi kumshinda mwanaume, ndio hapo mnapofeli, na wakati sisi wanaume tunafanya kazi kutatua changamoto za uchumi wa familia

Hata andika yako inaonesha unafanya kazi kushindana na mwanaume sio kusonga mbele.
Shule ulienda kupiga nyeto mkuu? Sasa mimi nishindane na mwanaume ili anisaidie nini?

Niache kushindana na njaa nikapambane na mtu anaetumia ubongo wa chini kufikiria? We fanya analysis zako maliza ila ukweli ndo huo! Mwanamke kuwa chini yako ni yule wa nyumbani kwako. Tatizo mnataka hadi bosi wako akiingia ofisini akufyonze vidole vya miguu just because she is a woman and you are a man! Si ufanye kazi kwa bidii sasa ili umzidi huyo bosi awe chini yako!
 
Na wale wanaume wanaoshinda baa, hawaleti maendeleo nyumbani, akipata elfu kumi anakwambia hainunui mfuko wa cement anaenda nayo baa unategemea mke atamsikiliza? How? Kwahiyo mke nae abaki nyumbani anasubiri mume alete makombo ya pombe nyumbani?

Wanaume jithaminini. Hata sisi tunapenda waume zetu wawe matajiri watuhudumie majumbani ila wengi ni wapumbavu na hawana akili! Mwanaume toto la mama kazi kulalamika tu huko limekaa baa
Unahitaji ushauri, kuna jambo lina kusibu
 
Mimi nataka hii comment yangu waje wanaume wanaopiga kura wakisema wanataka wanawake ambao wanakaa tu nyumbani kusubiri mwanaume alete chakula.

Nani anaoa golikipa saizi? Hivi wanaume wa design hiyo mnajielewa kweli? Mnaijua future? Mkifa mnataka nani amtunze mkeo au mnaleta zile zama za mdogo wangu atarithi mke wangu. Jiskieni wenyewe mnajidharaulisha. Kila mtu abaki na bwanyenye lake nyumbani

mnakaa mnadanganyana wapumbavu na msio na nguvu za kiume mnapeana moyo mnaogopa wake zenu wakienda makazini watapata exposure watawaacha😂
 
Mkuu kama hujampata mleta uzi basi hivi unavyofoka hapa ndio hasa lengo la uzi wake...

Kwa nilivyomuelewa hajataka wanawake msifanye kazi, ila kufanya kwenu kazi kunawatesa wenyewe.

Si unaona hata wewe ulivyopanick hapa kwa reply ndefu ndefu, ndicho alichomaanisha. Kidogo tu tayari mshawaka, mnahisi mnadharaulika so mnajilinda kwa maneno makali mpaka matusi sometimes, wakati ni ishu ndogo tu hii.
Hajajua hata lengo la hii mada kumbe ilikua inatafuta mtu wa ku panick ndio anakua mhusika🤣🤣 hili ni jiwe la gizani
 
🤣🤣🤣 Super Woman ashapaniki stress zimemtia uchizi, huku anatukana kila mchangiaji hadi mleta mada , afu anajisifu, She is a good wife, and beautiful woman kisa hatumuoni,
Nani kajisifu ni good wife sijui beautiful ? Hiyo ni kazi ya mume wangu. Ye ndo anajua kaoa mwanamke wa namna gani mwaka wa kumi naa huu katulia hapa.

Niko hapa kuongea facts wanaume mnaotaka wanawake waache kazi ni wanaume weak mentally and physically. Mbona mi sijawahi kuambiwa niache kazi?
 
Hajajua hata lengo la hii mada kumbe ilikua inatafuta mtu wa ku panick ndio anakua mhusika🤣🤣 hili ni jiwe la gizani
Nyie ndo vilaza sasa. Maana mpuuzi mwenzenu mmoja aliejifanya anamsifia eti mke wa gsm ni mama wa nyumbani huyo ndo nliekua namjibu nyie wenye nyege mmeikutia mada katikati. Mkadandia ndo maana siku hizi mmo.
 
Back
Top Bottom