Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

ungekua hapa jirani na mimi, ningekupa bia kama tano hivi, yani umezungumza ukweli mtupu. Wanawake wamejaa kiburi, dharau, na ukorofi. Hakuna tena starehe ya kuishi nao kwa ukaribu. Yaani ni shida tupu!
 
Wamebaki kumuonea wivu Mrs GSM na mwenzie Mrs Salaah, wao 50/50 hawataki, wametulia nyumbani walee familia as a proud African woman should.
Ukoo wako una Salaah wangapi?? Au hata wenye nusu ya alichonacho Salaah??

Wanaume hawa hawa wenye take home za milioni na point ndo ukae nyumbani usubiri akulee wewe na wanao?
 
Unajisifia ushenzi......
Kenge kweli wewe
 
Ukoo wako una Salaah wangapi?? Au hata wenye nusu ya alichonacho Salaah??

Wanaume hawa hawa wenye take home za milioni na point ndo ukae nyumbani usubiri akulee wewe na wanao?
Hatuwezi kuwa wote na uchumi wa kina salaah, ila uchumi wa kumuweka mke wangu ndani akapata anachotaka na watoto wangu ni very easy to attain labda kama ni mvivu.
 
 
Hatuwezi kuwa wote na uchumi wa kina salaah, ila uchumi wa kumuweka mke wangu ndani akapata anachotaka na watoto wangu ni very easy to attain labda kama ni mvivu.
Ndo ujue kwamba ni rahisi kuwa mvivu kuliko kuwa mchapakazi....
2. Toka jiwe aingie madarakani kuna wimbi kubwa tu la vijana ambao ajira hawakupata na sahizi waajiri nao wanatoa peanuts kama pay so watu wenye kipato kidogo ni wengi kuliko wenye kipato cha kati
3. Na waliojiajiri, kujipata sio kitu ya muda mfupi it takes time lakini ukiwa na mke mwenye ajira inakua rahisi kwako kupambana bila kuwaza ishu ndogo ndogo za nyumbani.
4. Maisha ya sasa ni asilimia chache sana ya familia zinaweza kuishi standard kwa kipato cha mtu mmoja, so badala ya kukaa kulalama humu kwenye majukwaa it's high time watu waona namna gani wanaweza kuishi kwa kushirikiana na kubalance majukumu ya kiasili ya kila mmoja.
5. Wanawake wanaojuta kuacha kazi na kuwa housewives ni wengi kuliko wanaofurahia hiyo privilege, sababu kwa wengi imefungua mlango wa manyanyaso na kudharaulika mixer kuishi kwa hofu provider akifariki kabla yako unaishije na wanao

So kama wewe umeweza kumuachisha mkeo kazi na unaishi nae vizuri humnyanyasi kwa namna yeyote, hutombi nje hovyo hovyo na umeweka msingi mzuri hata ukapata changamoto yeyote ukashindwa kuingiza pesa familia itasimama imara... HONGERA
 
Zama za mwanaume kuwa mtawala badala ya kiongozi zimepitwa na wakati....

Any man even zero brains wanaweza kuwa watawala kwenye familia zao ila VERY FEW MEN wana karama ya kuwa viongozi wa familia zao

Viongozi 50/50 sio shida zao, wamechagua wanapopamudu na familia zimeendelea kuevolve bila shida
 
Kumbe ni wengi sio wote....
As a man you have 2 options
1. Tafuta sana hela uje uoe mtu uliyemzidi tena akiwa in her early 20s to 27 max.... hapo utammold utakavyo na vile utakua umejipata hata hutokua na stress nyingi
2. Tafuta hao wachache waliobaki (sababu umesema wengi) ukibahatika kumpata ishi nae kwa akili na upendo, mara nyingi wanawake tuna kawaida ya kumultiply kile mnachotupa, nikune vizuri, nifanye nijiamini nipo peke yangu, nionyeshe utu.... hakuna kitu ntaacha fanya kwaajili yako na wala sitoona ni utumwa, I take pride in taking care or my household

Lakini mtu mlevi, mbinafsi, show hamna, bado anacheat halafu anagemea heshima... haipo hiyo.

We submitt kwa mtu anaeeleweka na kuna wanaume wengi tu ni wanaume suruali, kichwani makopo hawana maajabu yeyote halafu wanataka special treatment kisa jinsia zao... HIZO ZAMA ZIMEPITWA NA WAKATI BUDA
 
" Kwenye soko mjinga letu kila wiki kuna visa kadhaa vya wanawake kupigana wakigombaniana wateja au bidhaa za kuchuuza.
  • Kituo na viongozi wa chini kuna nashauri kibao ya wanawake kupigana/ kugombana wao kwa wao kuliko wanaume.
  • Nakumbuka zamani ilikuwa kawaida kwa wanaume kupigana ktk kugombania maslahi; kwa sasa wanaume wamepoa, wanawake Nguni mkononi.
 
* Kwenye soko mjinga hapa mtaani kila wiki kuna visa kadhaa vya wanawake kupigana wakigombaniana wateja au bidhaa za kuchuuza.
  • Kituo na viongozi wa chini kuna nashauri kibao ya wanawake kupigana/ kugombana wao kwa wao kuliko wanaume.
  • Nakumbuka zamani ilikuwa kawaida kwa wanaume kupigana ktk kugombania maslahi; kwa sasa wanaume wamepoa, wanawake Nguni mkononi.
 
Tatizo mnachanganya haki ya kufanya kazi na 50*50.
Kûfanya kazi ni jukumu la kiumbe yeyote achilia mbali Mwanamke .

Mwanamke lazima afanye kazi. Bila kufanya kazi hawezi kuitwa Mwanamke atakuwa ni mtumwa au ànayetûmiwa kingono,
Je bibi hakuwa anafanya kazi? Ndio mnawadanganya wanawake ili muwape mikopo uchwara ya biashara n.k inayowapelekesha resi kama wanevuta bangi
 
Bango lako nikujengee wapi? Wanaume wanalalamika wakati analipwa laki 260,000 kwa mwezi. Yani hivi nnavokuta hizi stories jf kila siku ndo naziiiidiiii kuwadharau hawa viumbe. Very inferior. We umewahi kumskia mo analalamika kuwa mkewe ni mzembe?

Haya mke wa GSM kamzawadia mmewe nyumba ushuani huko, kama ni hela za mumewe kwanini wai publicize?

Wanaume msiojiamini ndo mnapiga kelele mnazidi kujidharaulisha. Nendeni mkafokeane na wake zenu hukoo waache hizo kazi.

Mnatumia hizo mbinu kuwa weaken wanawake ili mbaki wenyewe maofisini stupi.

Kwahiyo wajane nao waacha kazi wabaki nyumbani as a woman should?

If another man insults a woman in this forum, gay should be your middle name because wtf!
 
Tatizo mnachanganya haki ya kufanya kazi na 50*50.
Kûfanya kazi ni jukumu la kiumbe yeyote achilia mbali Mwanamke .

Mwanamke lazima afanye kazi. Bila kufanya kazi hawezi kuitwa Mwanamke atakuwa ni mtumwa au ànayetûmiwa kingono,
You’re loved, respected and appreciated Robert. Keep it up🤝
 
Andika yako inaonesha dhahiri kuwa una stress 50/50 imekualibu kisaikolojia, ngoja nikwambie hakuna kitu kizuri kwa mwanamke alie kwenye ndoa kama feeling za kutegemeana, mke kumtegemea mume katika mambo yanayomuhusu mume na mume kumtegemea mke katika mambo yanatomhusu mke huwa inaleta sana amani ndani ya nyumba na kuepusha ubabe ubabe wa kijinga

Hapo umetudanganya umejisifia uongo kua kipato chako kinamsapoti mume, nakwambia hela ya mwanamke ni ya mwanamke tu na haijawai msapoti mume na mume akapata unafuu na amani ndani ya ndoa, zaidi hua inasapoti mke mwenyewe na watoto, angekuwepo huyo mme unaemsemea ndio angesema ukweli.
 
Soma uelewe nimeandika kabisa sinunui hata sukari bila mahesabu. Mimi ndo naamua ninunue au la sasa wewe umesoma kiuno juu ili uwahi uje kujibu pumba.

There can’t be two bulls in the house silipi bills zozote na kazi nafanya. Stupid. Sasa mwanaume ana muda wa kujua mtoto anataka nguo mpya au la? Hapo ndo ela yangu inaingia kubali kataa it’s up to you! Nilizoea kupaka perfume ya bei nije nipake kulthum za maiti kisa wewe kapuku huna cha kunipa? Ebuuu!

We kilichokuvutia kwa huyo mwanamke ilikua uzuri, urembo class kwasababu alikua kazini. Ukamtongoza na umaskini wako Sasa umemuoa unamfungia ndani ufanye kazi ya kumzalisha tu nguvu zenyewe za kiume huna🤣 mxiew hela za kuwatunza waremmbo mliowakuta makazini hamna mnataka muwafubaze. Kaoeni kijijini kwenu hamtaki. Mnataka nini ebo

Men deal with your insecurities. Wanawake kazi tutafanya mtake msitake. Mijanaume mingapi imejazana kazini umbea tu, wanawake ndo wanafanya kazi na kutoa ideas za maana.

Jf humu ni keyboard warriors ila kichwani pakavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…