Chatterman
Senior Member
- May 25, 2024
- 185
- 378
Usijari ushauri wako utawafikia walengwa, natumai watakushukuru kwa ushauri wako.Hizo sio shida zanguš¤£
Wanaume pambanieni nguvu za kiume ili
Muache kuhangaika na kuinuliwa kiuchumi kwa wanawake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijari ushauri wako utawafikia walengwa, natumai watakushukuru kwa ushauri wako.Hizo sio shida zanguš¤£
Wanaume pambanieni nguvu za kiume ili
Muache kuhangaika na kuinuliwa kiuchumi kwa wanawake.
Gazeti reeefu but emotions kibao giving feminine energy.....First of all just because you didn't understand what i wrote then you automatically psychoanalyse my reply as a dumb fact, be careful with your sense of humor.
1.By then is when and ukisema wanawake then what group of women are you referring to? [emoji848] Anyways, my statistics are of recent studies, i listened to those statistics on a podcast they were talking about mental health and certified experts where on the podium speaking so i don't know where unakuja na hizi accusations zako kuwa am not speaking facts. Sababu za stress na depression hutofautiana bara, inchi, na race. Sasa mimi niliongelea statistics za USA na UK na pia walizungumzia africa na Asia.
2.Well still hii hoja yako haijaondoa the fact kwamba wanawake ndio wanaongoza kwa kupambana na depression na kutumia antidepressants kushinda wanaume. Hata kama wote wanakuwa depressed but ni yupi anaekadiriwa kutumia vidonge vya antidepressants kabla ya mwenzake?
3. Again how is this related to depression and women being on the higher percentage of future antidepressants consuming patients? What is CTC anyways? [emoji848]
HII VITA HAINA FAIDA KWA UPANDE WOWOTE LAKINI MEN ARE MORE AT A LOOSING END
NANI KASEMA KUNA VITA KWANZA KABLA HATA HATUJA JADILI HIZO FAIDA AU HASARA, VITA YA NANI NA NANI? AND MEN ARE AT A LOOSING END FOR WHAT?
1. So unasemaje kuwa men aren't social beings? By social what are you referring to? Men have friends, kids, family, clubs, work associates, schoolmates, who do you call these groups? Not social groups? So when men divorce they are also subject to rejections from these groups or?[emoji848]
2.True but unafuatilia trend ya sasa ya wanawake na watoto by large scale? Watoto kuwakubali mama zao was the case and a thing in the past but do you follow on the recent trends of parenting especially single mothers? Please do your homework well sir.
3.Sidhani kama umeobserve maisha ya binti wa miaka 30 ambaye anaishi kwao, kiwango chake cha stress na kukosa furaha ukilinganisha na mwanaume anayeteseka na maisha ila anaishi geto kwake. Kwa kifupi mwanamke anaeishi kwao at 30 ni sawa na mwanaume wa miaka 50 aliyefilisika na kuwa bankrupted wakati alikuwa na mali na utajiri. You need to observe them well nenda kaongee nao utasikia wanasema nini. Kuzungukwa na watu ambao hawaelewi unachopitia haikupi guarantee ya kuwa na company, unaweza kuwa twice lonely kuliko ungekuwapo mwenyewe.
4.Siwezi kuongelea eneo la ulevi sababu its true most of times wanaume hukimbilia ulevi wanapokuwa katika mazingira ya ugumu wa maisha. But last time nilisikia takwimu za uraibu wa dawa za kulevya, ikiwamo shisha, na hizi narcotics zingine wanawake wa umri wa mdogo na wakati walikuwa wanaongoza kuwashinda wanaume. Na mazingira wanayotumia pia pombe ipo plus ulevi wa wanawake umeongezeka ushahidi ni ongezeko la beer pendwa za wanawake kama Savannah, flying fish, Kilimanjaro lite, desperado, wine, na kadhalika ambazo sio brand zinazopendwa na wanaume sababu ya sukari. Fuatilia hiyo habari nimekupasha.
5.Nadhani kitu usichofahamu kuhusu wakubwa kudate wadogo ni kwamba sugar daddies wanachopata kwa mabinti ni tofauti na Cougars wanachopata kwa Marioo. Its very common kwa mwanaume mtu mzima kusettle na mwanamke aliye nusu ya umri wake at the same time its uncommon for a grown woman kusettle na kuishi kwa utulivu na kijana mwenye umri nusu ya wake.
Sugar daddies wanataka mahaba so not necessarily watakuwa na mabinti kwasababu za ngono bali ni ile mtu wa kubembelezana nae. Na hutokea hawa mabinti wakalowea na kuishi na hawa wazee hadi uzeeni wanapofariki. On the other side most cougars wapo after sex na affection something which doesn't last more than 5 years sababu wanawake wa age huwa wana tabia ya kudominate sana hawa young bloods na kuwacontroll jambo ambalo huwa linafanya mahusiano kuwa short-lived. Eg, tazama shilole na Nuhu mziwanda, uchebe, na sasa huyu bwana mdogo wa sasa, Aunt Ezekiel na yule mchezaji wa diamond na huyu kijana waliekuwa wanamgombania na rubby. Marioo after sometime wanakuwa in search for a new cougar au sugar mummy maana aliyezoeana nae anakuwa ameshamzoea na hampi tena msisimko.
AM ALL GOOD WITH MINE, SHIDA NI HAWA WADADA KU ARGUE NA SISI AS IF WAO WANAFANYA TOFAUTI. WANAPOGA KELELE HAPA SIJUI MIMI MWANAUME THIS AND THAT, WAKITOKA HAPO WANAENDA KULALIA VIFUA VYA WANAUME ZA WATU WA WANAKWENDA KUWA WAPOLE MAANA WAKILETA KELELE WANACHEZEA MAKOFI KAMA KAWAIDA.
wewe hapo unachukia wanawake halafu unahubiri chuki?Una hasira sana mtoto Anita Makirita but vibaya kuwa na hasira na kumchukia mtu asiyekuchukia.
Psychos can be sweet too you know [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mnaochukia wanawake....ni ma bully kwa wake zenu...ungekua humbully usingekuwa unakuja JF kutafuta mwanamke wa kum bully.....we can only imagine wake zenu wanapitia nini...Sasa umeniona wapi nabully my lady, kwanza hunijui, sikujui, hatujuani, yeye hakujui, how do you know anything about that eti? [emoji848]
Psychopath my foot. I have exposed you. And now you are upset that i can smell your cheap talk.
Nataka mtanange na wewe mic kwa mic nikukalishe flat level.
Wapi wewe acha maneno ya kujifanyia skimming wewe.
Unajitagi mwenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Bruh i am starting to think you are the one suffering from PTSD cause your level of psychopathy is out of proportion, hebu acha huu upumbavu wako umepigwa spana za kutosha huko halafu unatafuta namna ya kujifariji we pambana na hoja hizo acha kupanic, kwamba mimi namuogopa nani humu hadi nije na id tofauti yani hata kufananisha miandiko hujui unaropoka tu never thought you could stoop this low..dude seek for help, get a life, and level up!!Kuna namna mtu akifanya uandishi unajua kabisa huyu ni fulani, tabia common huwa zinaonekana kwa urahisi sana.
So huyu ni wewe Jadda ata ukikikataa sawa.
Hapa mdomo upoOne thing men should know. YOU ARE NOT DOING A FAVOR MARRYING WOMEN! Ni kwasababu tunategemeana.
Huwa mnalichukulia hili suala la ndoa kama msaada hivi! Utaskia si ashukuru flani kamstiri!
Wanawake wangapi wanastiri mashoga na watu wasio na uwezo wa kupandisha jongoo kwenye mtungi, ila mwanamke anahangaika sijui na dawa za kimasai ili we punda uitwe baba. Saizi mnanguruma huku.
Kama mna uwezo sana si mzalishane wenyewe wanaume kwa wanaume. Mpite labor mkaone shughuli yake. Mnachukulia wanawake ni kama voodoo dolls ya kutoboa toboa tu. A whole head passed through my vagina, I created a brain and oh a title for you ungrateful set of lunatics to be called fathers eti leo mnajifanya mnakashfu wanawake.
I call out gays in every men who talk down on women. Kaeni na wake zenu ndo muwaachishe kazi. Kwani lazima kila mtu awe kama mama ako au mkeo! Hao hao vilaza waliokubali wametosha! Wa wenzenu wako makazini na miradi wanafungua.
NakaziaWanaotafuta wanaume wanaopumua tu!
Kujifanya mwanasaikolojia kumbe mpuuzi tu. Maswala ya ela yamekujaje hapaHata kama utakuwa upo katika usahihi ila Uandishi wako na Namna yako ya kujadiliana na Watu Hasa Wanaume inaonesha Tabia yako ipoje na huenda ndio kile Alichokizungumzia Mtoa Mada.
Naomba
Usinitukane tuu Bibie Mana Kutukana Tukana Sio Vizuri na sio Haiba ya kike. Kama nimekukwaza Nisamehe Madam.
Account halisi ila imeandikwa new member huwa Sichangii mijadala mingi lakini mimi sio mgeni sana humu ila Nimeona Nikwambie tuu.
Kuhusu Tabia yako sio ngeni kwangu Mapito uliyopitia wewe yanafanana wadada wengi Tulioishi na Vyuoni. Wadada wa Chuo They are just for Money hawana Mapenzi huruma Utu yaani yeye usipompa pesa ya Birthday ya Rafiki wa rafiki yake Basi Humpendi humthamini yaani Drama nyingi za kwenye Tamthilia za Kituruki.
Akimaliza kwa yale aliyokutana nayo chuoni plus na Dada zake Feminist anaweka visasi kwa wanaume kumbe alijiweka for money na Wanaume wakampa Na wakamuongezea na Maumivu. It's All That Kama ningekuwa Sijapita ulipopita Labda ningeshangaa ila Wa aina yako Ni Mashuhuri kwangu.
Dunia kweli haimsubiri mtu,ila impact yake inakuwa kinyume na asili ya kiumbaji ni mbaya sana. Ndio maana US na Europe ambao walikuwa wa kwanza kupush hizo ajenda jamii yao imeharibika watu wanapenda Maisha ya kimalaya, Single mothers wa kumwaga,watoto wa mitaani wa kumwaga,mashoga wa kumwaga, Vijana Marioo wa kumwaga nk kwa kivupi jamii yao ipo hovyo.Dunia haimsubiri mtu, kaeni hapo kusubiri wanawake wabadilike muone kama dunia inarudi nyuma. Stress ni part ya maisha ya mwanadamu, kivipi stress itumike kama tusi?
By far kunafaida lukuki za maisha katika mfumo wa sasa, kuliko mfumo wa uzamani, ndio maana baba na mama zenu waliona ni vyema kumuwezesha mwanamke ili ajitafute kiuchumi kuliko walivyopata kuishi wao.
Zamani wanawake hawakuwa na stress au hakukuwa na social interaction ya kudisplay hizo stress zao? Msipende kuwaongelea wanawake wa zamani kabla hamjavaa viatu vyao kuona how did they feel about the world... wanawake wazamani kupigania uwezeshwaji wa mtoto wa kike, ni ushahidi tosha kuwa walikuwa na stress zao, zilizopelekea wao kuona mwanamke akiwezeshwa kuna aina ya stress itaondoka, unfortunate imeondoka hiyo imekuja stress mpya, which
is okay, mnategemeaje maisha bila stress? Again we are tired with ya'll weak minds mnaotamani dunia ambayo ni stress free... mko delulu.
Mnajadili mada makini kibinafsi na kiufunyu wa fikra sana, na haisaidii wala haijengi.
Kwa sababu wewe umewahi kuwa mwanamke ama ni mwanamke mpaka sasa?Karibu natumai ni mwingine tena.
Huwa nayapa maswali yenye mantinki kipamumbele kulilo yale ya chuplichupli. Nianze na swali lako lenye mantiki kuliko yote.
Feminism hii ya sasa sio ile ya 19 ilioanzishwa nchi za magharibi kwa lengo la kumkomboa mwanamke especially from violence, kisha akijikita kumuinua mwanmke kielimu, kiuchumi, kiafya n.k. Baada ya hapo ikaanza kushamiri duniani kote mpaka barani Afrika. Na ikumbukwe ilipitia phase tofauti tofauti.
Kadri feminism ilivyozidi kuwapa uhuru wanawake ndipo hapo maozo yalipoanzia. Mpka kufikia karne ya 20 wanawake wengi walikuwa kwenye vyanzo vya uchumi vingi. Tabia ambazo hazikuwahi kushuhudiwa zikaanza kuzuka.
1. Mfano kupotoshwa kwa kusudi la awali la feminism yaani mkaanza kuongeza chumvi.
2. Migawanyiko ya kijamii kwa kuathiri baadhi ya desturi za jamii husika (mfano mwanamke wa kiafrika anavyopaswa kuwa)
3. heshma ya mwanaume kupotea.
4. Kuwapinga wanaume. Kuaminishwa wanaweza kuishi bila wanaume.
Nakupa na hii miaka ya 1990 feminism hii ikaja na fungu lililobeba mambo kadha wa kadha mpka yenye kuaribu jamii hususani LGBTQ+
Uziri bana nyie wanawake weusi mmeletewa tu hii kwahivyo mtakaza fuvu lakini waliowaletea sasa wanaelewa kuwa dhana ya Feminism ya awali imekwisha funikwa na dhamiri potofu za wanawake wasasa.
Maswali yako yoote ya mwanzo ni maswala chovyachovya. Hivyo nikushauri urejelee point namba 2 hapo juu.
Tafadhali usiwalaumu wakina mama zetu wao hawahusiki kwenye hili wamekuwa mikono salama ya nyerere huko. Hata wao wanawatambua kuwa wanawake wasasa mmechachuka mno na cha ajabu hamfai hata kutoa shombo la samaki.
Na unapouongelea UANAUME, dada hakikisha umewahi kuwa mwanaume kwanza.
Unakwaribishwa tena
Wanafahamu fika kuwa lugha chafu sio msingi wa hoja lakini bado wanatumia.Kwa akili yako kunitukana ni Sawa ila kwa akili yangu kukutukana sio Sawa.
ila naweza kujenga hoja katika yale uliyoyasema kuhusu 50/50 yaani ni upande wa Fursa za kiuchumi na masuala ya kijamii Its okay kama pia ungesema hivyo hivyo Upande wa majukumu ya kifamilia.
Kwasababu Zile fursa Walizobidi wapate vijana wa kiume Wamepewa wanawake kisha Unapata kipato na kuwa Sehemu ya maendeleo ya familia hutaki kwamba pesa yako unaamua mwenyewe utoe usitoe ila ya Mwanaume Yenu wote. Kisha mnawalaumu wanaume Hawana hela Hawatunzi Familia zao wakati tukienda kuomba kazi tukishakuwa na Mwanamke basi tunasema kazi tumekosa kapata Mwanamke ambae pesa yake ni yake tuu.
Pia umetutukana wanaume kuwa Tumekuwa mashoga lakini Hawa mashoga wameongezeka kutokana na kushamiri kwa huu mfumo wenu.
mtoto wa kiume anaelelewa na Singo Mother Malezi yao ni ya kike kike Hivyo sishangai kusikia Kawa Shoga.
ila rudi nyuma Miaka hiyo mnayosema kizazi cha kipuuzi ustawi wa jamii ulikuwa mkubwa sana tofauti na sasa.
sijalenga kukuelewesha Wewe kwa sababu najua hutaelewa ila kuna watu huenda wakaelewa.
Poor Boy!!! Wanaume MLISHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YENU!! Ili KUOKOA FAMILIA ilibidiHaya mambo yalianza karne ya 19 huko Ulaya na hii badala ya mapinduzi ya Viwanda. Hakuna sababu nyingine ya msingi ni mfumo tu ulianzishwa. Sisi Waafrika tukalivagaa tu.
Poor Boy!!! Wanaume MLISHINDWA kutimiza MAJUKUMU YENU ya kulea na KUTUNZA familia!!!! Ilifika mahali Wanawake ILIBIDI WAINGIE KAZINI KUOKOA FAMILIA!!!Haya mambo yalianza karne ya 19 huko Ulaya na hii badala ya mapinduzi ya Viwanda. Hakuna sababu nyingine ya msingi ni mfumo tu ulianzishwa. Sisi Waafrika tukalivagaa tu.