Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
Mwendo wa kupapaswa na kupulizwa au sio?Tulia na uusome mchezo sasahivi malainisho lazima yawe mengi
Hapa ndipo mnapokosea.Ndio nipo najiiliza hilo swali, kuna uhuni unaendelea.
Wakiridhiana nao wanastahili kutembelewa na jamii maana watakuwa wameshiriki kubariki mauaji
sasahivi wanaona haya hata amani mbele za watu hawana tena hivyo lazima litafutwe chaka lakujificha!, sasa ni jukumu la upevu kwa pande zote mbili maana sio tu mnakaa na kuridhiana pasipo kumridhisha mtu wachini/mhanga anaehitaji mabadilikoMwendo wa kupapaswa na kupulizwa au sio?
Uue halafu utake yaishe haipo hiyo, lazima damu ilipweHapa ndipo mnapokosea.
Kama mnafanya harakati zenu fanyeni.msifosi wote wawe upande wenu
Hivi ni kweli watu walipelekwa hapo kiwanda Cha cement kusagwa?Hii tetesi naisikia sikia tu.Kama ni kweli wamefanya Hivyo,basi wajue tarehe 9.12.2025 Umma utajua ukweli maana WAHUNI wote itakuwa mwisho wao.Ujerumani wanataka Majibu Kuhusu Tanuru lao la Twiga kule wazo kutumika mubadala wa Gas chamber kama aliyoyafanya Hillter wametoneshwa Kidonda cha maumizu makuu, kwa jinsi walivyo waungwana wanaweza kulipa fidia Watanzania
Kwanini una shida na maridhiano? Huoni kama ni afya kwa nchi kama pande mbili zitakuja kwenye maridhiano.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Sasa imekuaje kwa viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hivi karibuni? Imeakuaje wamepata dhamana kama kutuhumiwa na suala hilo hakuna dhamana?
Pia soma Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche
Au kuna tobo ambalo wanasharia wanaliona sisi wengine ambao hatujui sheria hatuna elimu nalo? Embu mje mtusaidie hapa, hii imekaaje?
Kwa upande mwingine, ni presha ya maridhiano ndio imeleta yote haya baada ya Dunia nzima kusema uchaguzi haukuwa huru na haki? Sasa wanatafuta namna ya kuwapoza viongozi wa upinzani kukubali maridhiano?
Sitegemei Lissu akaja kukubaliana na haya maridhiano batili baada ya wenzetu zaidi ya elfu 2 kuuliwa! Akifanya hivi itakuwa ni usaliti mkubwa sana, yaani sitaki hata kufikiria.
Kweli? Naomba link kuhusu hii MkuuUjerumani wanataka Majibu Kuhusu Tanuru lao la Twiga kule wazo kutumika mubadala wa Gas chamber kama aliyoyafanya Hillter wametoneshwa Kidonda cha maumizu makuu, kwa jinsi walivyo waungwana wanaweza kulipa fidia Watanzania
Kwanini una shida na maridhiano? Huoni kama ni afya kwa nchi kama pande mbili zitakuja kwenye maridhiano.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Sasa imekuaje kwa viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hivi karibuni? Imeakuaje wamepata dhamana kama kutuhumiwa na suala hilo hakuna dhamana?
Pia soma Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche
Au kuna tobo ambalo wanasharia wanaliona sisi wengine ambao hatujui sheria hatuna elimu nalo? Embu mje mtusaidie hapa, hii imekaaje?
Kwa upande mwingine, ni presha ya maridhiano ndio imeleta yote haya baada ya Dunia nzima kusema uchaguzi haukuwa huru na haki? Sasa wanatafuta namna ya kuwapoza viongozi wa upinzani kukubali maridhiano?
Sitegemei Lissu akaja kukubaliana na haya maridhiano batili baada ya wenzetu zaidi ya elfu 2 kuuliwa! Akifanya hivi itakuwa ni usaliti mkubwa sana, yaani sitaki hata kufikiria.
Maridhiano bila UWAJIBIKAJI ni TAKATAKA!Kwanini una shida na maridhiano? Huoni kama ni afya kwa nchi kama pande mbili zitakuja kwenye maridhiano.
Kumbuka mauaji ya Pemba 2001, Maalim Seif alitembea Ulaya yote kuiomba jumuiya ya Kimataifa iinyime misaada Zanzibar. Mwisho wa siku CUF na Maalim Seif walirudi kwenye meza ya maridhiano. Jumuiya ya Kimataifa sio rafiki kihiivyo kama malengo yao hayatimii. Tujifunze kwenye kisa cha 2001.
Sawa. Endelea kusubiri wa kuwajibikaMaridhiano bila UWAJIBIKAJI ni TAKATAKA!
Halafu sisi sio Pemba! Bila watu kuwajibika kwa vifo zaidi ya 2000 vilivyotokea HAKUNA Maridhiano.
Sawa NYIE lipeni.ila MSIWAHUSISHE VIONGOZI WA CHADEMA.Uue halafu utake yaishe haipo hiyo, lazima damu ilipwe