usiwe chizi wa kusikiliza kila kelele za makopo, yule wa segerea story ya kupika, askari magereza sina uhakika ila Arusha kweli alipigwa kimakosa, ikishatokea chaos lazima wengine wataumia kimakosa, wa kulaumiwa walionzisha fujo kuchoma ATM, wamechoma gas stations, magari ya watu na kuiba vitu kibao , WEZI WEZI VIBAKA NA MAJAMBAZI ndo wakulaummiwa wasingetoka nani angeuliwa?Mpumbav mwingine huyu anayefikiri kwa kutumia kinyeo chake, kwamba hata yule askari magereza aliyeuawa naye alikuwa kibaka na mwizi sio?
Mama aliyepigwa risasi akiwa anakimbia na wanae kule Arusha naye pia alikuwa ni kibaka na mwizi sio?
Askari mstaafu aliyeuawa pale Kinyerezi baada ya kuwapigia simu polisi waje kuokoa duka la jirani yake lisivamiwe na majambazi naye pia alikuwa ni kibaka sio?
Master Tindwa wa clouds fm aliyepigiwa risasi geti kwake naye alikuwa ni kibusiwe kiaka sio?
Nachelea kusema tu wewe ni mpumbav na una roho sana na bila shaka unatokaa ukoo wa wachawi na uko kwenu mmezoea kunywa damu za watu.