Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
I know hostory za mataifa makubwa, unajua both they share one thing, serikal zao hazikuua watu ili zibaki madarakani au chama fulani kitawale, vita yao ilikuwa ya interest fulaniKwahiyo tuiangushe Tanzania kwasababu ya kilichokwisha tokea? Hakuna vita ina malizwa kwa vita. Haiuna Taifa halijawahi poteza mamilioni ya watu katika harakati za kuwa na jamii huru lakini mwisho wa siku ni maongezi yaliwaleta pamoja sio nani mwamba kati yetu.
Kasome historia ya Marekani mnayoiyona leo. Japan iliokuja kuwa bora badae walipigana vita mpk siku walipokaa mezano kwa mazungumzo ndipo walianza safari kwakujenga mifumo bora.
Only in afrika ambapo ndio hiko hivyo, sisemi tuitupe tanzania, but wahusika watawajibika !?