PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
1. Magaidi ya ccm yanatafuta sababu ya kujinasua kweny mtego.

2. Kuna kitu kinacho endea ambacho hakiko sawa
 
Kuna Mwamba wa kuitwa Tundu Lissu na kuna mtu wa Kuitwa Heche

Hawa awadanganyiki kama walikataa kuingia kwenye uchaguzi sioni wa kuwalaghai kwenye maridhiano
Hata yule wa kuitwa Lema! Usimchukulie powa!
 
He he hajashitakiwa kwa Ugaidi mahali popote.

Hakufikishwa mahakamani na Ndio maana dhamana yake imetolewa na polisi.
Huko ni kujitetea tu na kujifariji baada ya mauaji ya Oct 29,2025 ccm walipagawa na baada ya Gen- Z wa Tanzania kutangaza kukiwasha tena Dec 9,2025 ccm wamedoda na huu ni mwanzo tu. Mliokuwa mnashabikia mauaji hayo anzeni kujirekebisha maana baba yenu ccm kagundua kosa na sasa ana hokifanya ni kuficha uchi wake tu!!
 
Ni lini amesomewa hilo shtaka la Uhaini?

It was just tuhuma za Polisi, hajapelekwa Mahakamani kwa Shtaka lolote so far, hivyo kusema kwamba kapata dhamana kwenye Shtaka lisilo na dhamana ni kujipotosha.

It was just a mere hearsay haikuwa rasmi kuhusu Shtaka gani atakaloshtakiwa nalo.

Hata kile kipeperushi cha Polisi kilichotoa orodha ya viongozi Mbalimbali wa CHADEMA pamoja na Askofu Gwajima hakuna tuhuma ya shtaka la Uhaini.
 
Yeye pamoja na viongozi wenzie wameshtakiwa kwa Kosa hilo katika mahakama gani hapa Tanzania?

Mwenyekiti John Heche alikamatwa akapalekwa Dodoma, badae akarudishwa Dar akashatakiwa kwa kosa la ugaidi, na ni kosa lisilo na dhamana.
Lakini jana ametoka kwa dhamana akiwa pamoja na viongozi wenzake.

Najiuliza imewezekanaje? Wamewezaje kuvunja sheria kwaajili ya Heche, je hakuna harufu ya maridhiano hapo?!
 
Sisi tunafurahi tu kwamba ishajenga precedent ,kwahiyo case za ugaidi na uhaini zinadhamana kwasasa.
 
Hii inchi ina shida kubwa utawala wa sheria si jambo la msingi
Mkuu nchi zenye utawala wa sheria ni nzuri sana, yani kila mtu anafanya kile majukumu yake yanavyosema ukitoka nje ya hapo kesi unayo..

Bongo unakuta traffic ni afisa wa uhamiaji huyu huyo anaweza kuwa hata afisa TRA
 
Ifike tu point wananchi tusimuamini yeyote. Yeyote anaweza kutusaliti. So tujiandae kumtembelea na kumsalimia yeyote atae tusalitu
 
Mwenyekiti John Heche alikamatwa akapalekwa Dodoma, badae akarudishwa Dar akashatakiwa kwa kosa la ugaidi, na ni kosa lisilo na dhamana.
Lakini jana ametoka kwa dhamana akiwa pamoja na viongozi wenzake.

Najiuliza imewezekanaje? Wamewezaje kuvunja sheria kwaajili ya Heche, je hakuna harufu ya maridhiano hapo?!
Ulimuona mahakamani? Mahakama ipi Heche alipandishwa kwa tuhuma za ugaidi?
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Sasa imekuaje kwa viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hivi karibuni? Imeakuaje wamepata dhamana kama kutuhumiwa na suala hilo hakuna dhamana?

Pia soma Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Au kuna tobo ambalo wanasharia wanaliona sisi wengine ambao hatujui sheria hatuna elimu nalo? Embu mje mtusaidie hapa, hii imekaaje?

Kwa upande mwingine, ni presha ya maridhiano ndio imeleta yote haya baada ya Dunia nzima kusema uchaguzi haukuwa huru na haki? Sasa wanatafuta namna ya kuwapoza viongozi wa upinzani kukubali maridhiano?

Sitegemei Lissu akaja kukubaliana na haya maridhiano batili baada ya wenzetu zaidi ya elfu 2 kuuliwa! Akifanya hivi itakuwa ni usaliti mkubwa sana, yaani sitaki hata kufikiria.
Kesi ilikua haijaenda kusajiliwa mahakamani hivyo hiyo haikuwa kesi. Kwa maana hiyo ilikua ni kesi ya kutishia tu watu.
 
Wanaona the walls are closing in on them. Relationship na nchi zingine zipo low vibaya mno.
Plus kukubalika kwa chama kupo in all time low
ku restore hiyo trust hawawezi tena maana wameshajipaka doa la damu

Wanachofanya sasa ni damage control
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Sasa imekuaje kwa viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hivi karibuni? Imeakuaje wamepata dhamana kama kutuhumiwa na suala hilo hakuna dhamana?

Pia soma Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Au kuna tobo ambalo wanasharia wanaliona sisi wengine ambao hatujui sheria hatuna elimu nalo? Embu mje mtusaidie hapa, hii imekaaje?

Kwa upande mwingine, ni presha ya maridhiano ndio imeleta yote haya baada ya Dunia nzima kusema uchaguzi haukuwa huru na haki? Sasa wanatafuta namna ya kuwapoza viongozi wa upinzani kukubali maridhiano?

Sitegemei Lissu akaja kukubaliana na haya maridhiano batili baada ya wenzetu zaidi ya elfu 2 kuuliwa! Akifanya hivi itakuwa ni usaliti mkubwa sana, yaani sitaki hata kufikiria.
CCM na serekali yake ni wenye hila, hawana dhamira safi. Ndiyo maana ya kujichanganya huku, wenye kuridhiana nao watarajie kugeuka wakti wowote.
 
Huelwi Nini comrade!!?

"Maandamano ya tarehe 9 December "yaliyoitishwa yanatupa sisi chama tawala homework ya ku neutralize walau ,kupunguza jazba na chuki pia!

Pia kuachiwa kwao ni mtego kwao kama watashiriki maandamano hayo watahahalalisha uhaini wao kuliko huu uliopo ambao ni hewa wa kubumba!!

Pia inaweza kuwa nafasi ya kuja mezani Kwa pamoja ili damu ya watz isimwagike kama siku kadhaa zilizopita!!
 
Kasome tena kasome upya hujasoma na unasimuliwa wameuwa sanaaaaa sanaa sio kidogo ni sanaa Tz juzi ni kama kutuliza vibaka tu. Anyway tuache mbali fatilia tu hapo syria walipogoma maridhiano miaka 10 al asady ana chinja Raia na ndugu zake
Jamaa nimefuatilia comments zako nikajua labda ni mtu mwenye akili timamu ukichanganya na ukongwe wako humu, mpaka nilivyofika hapa kwenye bolded items nakugundua kumbe ni wale wale tu wapumbav mnaotumia ****** kufikiri.

Yaan hayo mauaji ya halaiki ambayo serikali imeyafanya karibu mikoa saba ya nchi hii wewe unaita kutuliza vibaka? Hivi unajielewa kweli wewe?

We jamaa una mtoto kweli au ni shoga tu hata uwezo wa kuzalisha huna na ndio maana huna uchungu na roho za watu ziliopotea?

Watu wa rika zote wameuawa watoto,wazee,vijana na wengi hawakuwa hata kwenye maandamano/fujo halafu unawaita vibaka? Nyie majitu mmekosa utu kabisa na akili mbwa nyie.

Kwanza uliwahi kuona wapi kwingine duniani eti vibaka wanafanya vujo muda mmoja karibu nchi nzima? Nyie wapumbav itabidi mfundishwe tofauti ya violent political demonstrators na vibaka wajinga nyie.

Watu wamefuatwa majumbani wakiwa wamejifungia ndani wakauliwa kikatili na wale majangili wenu, halafu wewe uko hapa unawaita vibaka? Shetani kabisa wewe.

Mapolisi wenu waliokosa akili na maarifa walishirikiana na majangili ya samia kuzima maandamano ya fujo kwa njia ya shortcut kwa kuua watu kiholela na wakati huwa kuna dhana maalumu za kukabiliana na maandamano ya dizaini ile bila kufyatua risasi za moto, halafu sasa hivi mnayaita eti uhalifu, mashetani sana nyie.

Na hayo maridhiano ya kipumbav hayawezi kufanyika, hamuwez kuua maelfu ya watu wasio na hatia halafu mje mdai maridhiano kirahisi rahisi hivi utafikiri mliowaua ni mende.

Na huo mfano wako wa Assad na Syria una maana gani? Kwamba tukigomea maridhiano nyie maccm mtatuua zaidi ya hapa au? Majitu kama wewe sijui kwanin Mungu anaendelea kuwapa punzi.
 
hakukua na mauaji ilikuwa kudhibiti vibaka na wezi
Mpumbav mwingine huyu anayefikiri kwa kutumia kinyeo chake, kwamba hata yule askari magereza aliyeuawa naye alikuwa kibaka na mwizi sio?

Mama aliyepigwa risasi akiwa anakimbia na wanae kule Arusha naye pia alikuwa ni kibaka na mwizi sio?

Askari mstaafu aliyeuawa pale Kinyerezi baada ya kuwapigia simu polisi waje kuokoa duka la jirani yake lisivamiwe na majambazi naye pia alikuwa ni kibaka sio?

Master Tindwa wa clouds fm aliyepigiwa risasi geti kwake naye alikuwa ni kibaka sio?

Nachelea kusema tu wewe ni mpumbav na una roho sana na bila shaka unatokaa ukoo wa wachawi na uko kwenu mmezoea kunywa damu za watu.
 
Jamaa nimefuatilia comments zako nikajua labda ni mtu mwenye akili timamu ukichanganya na ukongwe wako humu, mpaka nilivyofika hapa kwenye bolded items nakugundua kumbe ni wale wale tu wapumbav mnaotumia ****** kufikiri.

Yaan hayo mauaji ya halaiki ambayo serikali imeyafanya karibu mikoa saba ya nchi hii wewe unaita kutuliza vibaka? Hivi unajielewa kweli wewe?

We jamaa una mtoto kweli au ni shoga tu hata uwezo wa kuzalisha huna na ndio maana huna uchungu na roho za watu ziliopotea?

Watu wa rika zote wameuawa watoto,wazee,vijana na wengi hawakuwa hata kwenye maandamano/fujo halafu unawaita vibaka? Nyie majitu mmekosa utu kabisa na akili mbwa nyie.

Kwanza uliwahi kuona wapi kwingine duniani eti vibaka wanafanya vujo muda mmoja karibu nchi nzima? Nyie wapumbav itabidi mfundishwe tofauti ya violent political demonstrators na vibaka wajinga nyie.

Watu wamefuatwa majumbani wakiwa wamejifungia ndani wakauliwa kikatili na wale majangili wenu, halafu wewe uko hapa unawaita vibaka? Shetani kabisa wewe.

Mapolisi wenu waliokosa akili na maarifa walishirikiana na majangili ya samia kuzima maandamano ya fujo kwa njia ya shortcut kwa kuua watu kiholela na wakati huwa kuna dhana maalumu za kukabiliana na maandamano ya dizaini ile bila kufyatua risasi za moto, halafu sasa hivi mnayaita eti uhalifu, mashetani sana nyie.

Na hayo maridhiano ya kipumbav hayawezi kufanyika, hamuwez kuua maelfu ya watu wasio na hatia halafu mje mdai maridhiano kirahisi rahisi hivi utafikiri mliowaua ni mende.

Na huo mfano wako wa Assad na Syria una maana gani? Kwamba tukigomea maridhiano nyie maccm mtatuua zaidi ya hapa au? Majitu kama wewe sijui kwanin Mungu anaendelea kuwapa punzi.
😁Umemaliza kutusi hao bado yapo mengine uongezeee? Basi nakuacha na kuacha na hili “Silaha ya mjinga daima ni matusi”

umemaliza au kuna tusi jipya hujatukana? Basi litafute uje ujazilizie😁

Mwanafalsafa mmoja alisema “Mjinga hujilinda kwa Matusi” sasa nja haja gani ya kukomaa na Wajinga mie😁
 
Back
Top Bottom