PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hapana ,waende kwenye meza ya Mazungumzo/Maridhiano ila wakiwa firm na genuine issues zenye kulinda maslahi mapana ya Mama Tanzania na wote walionyanyasika...Kwenye meza ,huwa hakuharibiki kitu Sheikh..Kumeanza kupambazuka
 
No maridhiano with murderers. Mkijichanganya mkaridhiana mtajuta. Chadema would be a thing of the past
Nilitabiri hii, hii imelenga kufifisha main oposition ambae ni chadema
Kuondoa credibility yao kwa kuwatumbukiza kwenye maridhiano hewa
 
Maridhiano yasimamie hapa
1. Katiba mpya
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea kuanzia mwaka 2015
5. Kuachaliwa kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na kesi za kesi na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.
 
Wenye migodi yao hii kitu ibaki kuwa ndoto. Kumbe watz wengi hadi wana JF bado mnawaza kitoto sana.

People aren't fighting for nothing
 
TOKA MAKTABA:​

04 November 2025​

BREAKING: JOHN HECHE ANATUHUMIWA KUHUSISHA NA UGAIDI/KUFIKISHWA MAHAKAMANI WAKATI WOWOTE.​

1762797797898.jpeg
 
Hapana ,waende kwenye meza ya Mazungumzo/Maridhiano ila wakiwa firm na genuine issues zenye kulinda maslahi mapana ya Mama Tanzania na wote walionyanyasika...Kwenye meza ,huwa hakuharibiki kitu Sheikh..Kumeanza kupambazuka
Ccm ni wahuni sana, hawawezi kutikisha madaraka yao kwa kupitia maridhiano tena ya kujifungia vyumbani wenyewe tu.
Kwanza kuwe na mjadala wa kitaifa na uwe live kila upande uwe na uwakilishi. Pia hayo yanayoitwa maridhiano yafanyike kwa kila upande kuleta terms zake mezani na iwe live kila mwananchi ashuudie kinachosemwa na kufanyika. No maridhiano in closed doors.
 
Hapana ,waende kwenye meza ya Mazungumzo/Maridhiano ila wakiwa firm na genuine issues zenye kulinda maslahi mapana ya Mama Tanzania na wote walionyanyasika...Kwenye meza ,huwa hakuharibiki kitu Sheikh..Kumeanza kupambazuka
Maridhiano “Samia ajiuzulu, katiba mpya ipatikane, tume huru ipatikane na uchaguzi urudiwe” tofauti ha hizi points chadema bye bye
 
Maridhiano yasimamie hapa
1. Katiba mpya
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea kuanzia mwaka 2015
5. Kuachaliwa kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na kesi za kesi na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.
Hakuna kitu hapa CCM inaweza kufanya vile inavyotakiwa siku Chadema ikiingia kwenye maridhiano ibaki huko huko na CCM waunde chama kipya
 
niliona sehemu Trump alitoa saa 72 wafungwa wa kisiasa wawe wameachiwa hii nafikiri ni shinikizo mataifa ya nje,kwa ninavyo yajua haya makenge viziwi wasinge waachia na pengine kuna jambo kubwa mbeleni linakuja
Leo balozi za Sweden na Norway wametoa sana pole kwa wananchi kwa kilichotokea, nadhan kuna external force zimefanyika
 
Hakuna kitu hapa CCM inaweza kufanya vile inavyotakiwa siku Chadema ikiingia kwenye maridhiano ibaki huko huko na CCM waunde chama kipya
Kwa hiyo mkuu huu mgogoro wa kisiasa unafikiri utatatuliwaje bila kukaa mezani?
Labda kama Watu wataandamana au wapigane vita mpaka huu utawala uondoke madarakani. Hili sio suala la CHADEMA tu, wanaohitaji mabadiliko wako kadhaa wakiwemo Kanisa Katoliki na TLS nao lazima wawepo mezani.
 
Kwa hiyo mkuu huu mgogoro wa kisiasa unafikiri utatatuliwaje bila kukaa mezani?
Labda kama Watu wataandamana au wapigane vita mpaka huu utawala uondoke madarakani
Je ikitolewa hoja ya samia kujiuzuru na uchaguzi urudiwe chini ya tume huru watakubali ccm?
 
Reconciliation is a human and humane value. “ maridhiano ni tunu ya Ubinadamu na Utu”.

Kukataa Maridhiano kwa kiburi na Jeuri ni kukataa kuitazama Tanzania bora ya Wajukuu na wajukuu wa watoto wetu.

Vijana wadogo uongozwa na ushindani “sikubali kushindwa” ila watu wazima wenye uoni mpana watasema “saa ni sasa yakuiponya Tanzania.

Turejee kwenye Meza ya Mazungumzo tujenge nchi yetu. Kwa namna yeyote Njema tujenge nchi

CCM mnalo somo kubwa wakati wa kiburi upo mwisho kabisa hiki kizazi mlichokipa Elimu duni miaka 20 Nyuma jueni hakina cha kupoteza maana hawana kitu. Kitawaua kabisa ni Muda siasa za kukariri za Tanu na umiliki wa nchi kwa kikundi cha wachache ufike mwisho. Wekeni misingi ya kuwapo Vyama imara (kijasusi) viwili tu vitakavyopokezana nchi na Raia hawa waridhike

Kila la heri time to shake our hands
 
Kinachohitajika ni uchaguzi huru, kama CCM wao wataamua kuendelea na Samia kama mgombea wao katika uchaguzi huru hilo waachiwe wenyewe.
 
Reconciliation is a human and humane value. “ maridhiano ni tunu ya Ubinadamu na Utu”.

Kukataa Maridhiano kwa kiburi na Jeuri ni kukataa kuitazama Tanzania bora ya Wajukuu na wajukuu wa watoto wetu.

Vijana wadogo uongozwa na ushindani “sikubali kushindwa” ila watu wazima wenye uoni mpana watasema “saa ni sasa yakuiponya Tanzania.

Turejee kwenye Meza ya Mazungumzo tujenge nchi yetu. Kwa namna yeyote Njema tujenge nchi

CCM mnalo somo kubwa wakati wa kiburi upo mwisho kabisa hiki kizazi mlichokipa Elimu duni miaka 20 Nyuma jueni hakina cha kupoteza maana hawana kitu. Kitawaua kabisa ni Muda siasa za kukariri za Tanu na umiliki wa nchi kwa kikundi cha wachache ufike mwisho. Wekeni misingi ya kuwapo Vyama imara (kijasusi) viwili tu vitakavyopokezana nchi na Raia hawa waridhike

Kila la heri time to shake our hands
Shida hakuna nia dhabiti kwenye hicho kinachoitwa maridhiano. Ccm watafanya hadaa ili kuendelea kusalia madarakani
 
Back
Top Bottom