Yaani hii kesi Ina maajabu...Brenda kuhusu video alijibu kuwa aliiona lakini alipoulizwa kama mahakamani ililetwa alijibu haikuletwa na prosecution so kupitia ushahidi huo ni wazi kuwa prosecution case has already fallen down long time ago kwasababu ukimuondoa PW 17 wengine wote walieleza kuwa waliona kwenye jambo Tv ambayo video haipo na kwamba hata huyo 17 yeye ndiye aliyeeleza kuwa alichapisha kwenye mtandao wao sasa kwa mazingira hayo ili mahakama ifikie uamuzi ni lazima ijiulize
1. whether the accused published the alleged statement.
2. whether the accused person made statement amounting to treason puersuant to Section 39(2)(d) Penal code cap. 16 R.E. 2023.
Na hapa ndio dhana ya ile video inakuwa muhimu kwani lissu hakatai kutamka maneno hayo lakini anasema yalichukuliwa out of the context kwani maneno yaliyopo kwenye Information ni machache wakati yeye aliongea maneno mengi kwa mukutadha tofauti ndio maana hoja ya lissu ukitaka kujua kuwa yuko smart kila shahidi wake anamuhoji swali kwamba aliongea kwa muda gani ambapo wote wamejibu ni zaidi ya masaa mawili hii ni kumaanisha kwamba video ya Jambo ingekuwepo ndio majaji wangepima dhana mens rea na sio vipande vipande vya kwenye Hati ya mashtaka ambavyo anapowasomea haizidi hata dakika moja wakati yeye aliongea masaa zaidi ya mawili. Mwisho kabisa hata hao mawakili wa Serikali wanapoteza muda tu huku wakijua wameshashindwa kesi na hata ikitokea kwa ujinga akutwa na hatia, hiyo hatia itakuwa kama kesi za akina mbowe ambazo kwenye rufaa ni asubuhi tu kesi anashinda.
NB: Ni kama hivi mtu anasema alinunua shamba na kuandikishana lakini maandishi hajayaleta mahakamani ili kuthibitisha kuwa waliandikishana hivyo hoja ya kwamba alikuwepo kwenye eneo la kuandikishana na alisain inakuwa haina maana yoyote kwasababu maandishi ambayo amesema waliandikishana alipaswa kuyaleta so hata huyo shahidi PW17 aliyerecord na hakuleta recorded video ni sawa na kazi bure maana alipaswa kuileta ili mahakama iamini kuwa kweli kupifanyika publication tofauti na hapo zinabaki story za vijiweni tu.
Uongo kama ule wa kura 31m bila kuwa na idadi hiyo ya wapiga kura vituoni?Rejea kwenye comment niliyoandika. Hii siyo CHADEMA unajiamlia tu kutunga uongo
Umekunya mara ngapi leo? Mbona ubongo wako upo kwenye inye?Uongo kama ule wa kura 31m bila kuwa na idadi hiyo ya wapiga kura vituoni?
Nasema hivi, ule uongo wa kura 31m ambazo hakukuwa na idadi hiyo ya wapiga kura vituoni, ndio uongo unaouongelea ama?Umekunya mara ngapi leo? Mbona ubongo wako upo kwenye inye?
Naona unachukua modality ya uenyekiti wa ccm unaupeleka cdm. Bila kujua mwenyekiti wa ccm ana kofia ya urais, hivyo anaweza kutoa upendelea kwa mtu na akaogopwa. Huo upuuzi haupo cdm.Heche Dadake ndio Mke wa Mwenyekiti wa Chadema mh Lissu
Ndiomana kwasasa ndani ya Chadema Mh Heche yupo juu na anaogopwa na wenzake pale Chadema
Si umeona upendeleo yeye kuwekwa baada ya wenzie ili Shemeji Heche ajifunze kwa wenzake ✅️
Ukiwa na Dada mjini ni fursa 😂
🤭🫵🌈TATHIMINI Hii ni Tathimini ya Kisayansi
🔴 KUNYONGWA: 93%
🟢 Defence: 7%
Hiyo kesi ilikuwa mubashara, serekali ikagoma ili ifiche aibu. Sasa unawalaumu waliojitolea badala ya kusema na wenye wajibu? Hiyo kesi ingekuwa mubashara kwenye TV station kila mtu angesikia kwa uwazi bila kupitia hawa unaowalaumu.Naona leo updates zimekuwa za moto na zimeelemea upande flani ndio maana hatuzioni pale juu
Bwahaaa bwahaaaa 😂😂, naona unaogopa kichwa nazi wa kizimkazi asiitwe kwenda kuingia aibu. Naona kila mwanaccm hataki kabisa shetani jike aitwe akatoe ushahidi, maana pale ndio ataonekana ni tikiti maji wa kiwango gani.Heche akimaliza, wanyongaji waanze kuandaa kamba zao.
Hilo wewe umelijulia wapi kama halikuhusu wakati unapomaliza msokoto wa bangi!heat period ni nyege kali zinazofanya uwe na hisia kali na usitumie akili.
Majaji ni kama wameanza kuandaa watu kisaikolojia, wanasema mashahidi wengi sio lazima wasaidie. Ni kama mashahidi wa mwisho ni hao hao wa cdm, lakini hakuna yoyote kutoka serekalini atakubali kutinga mahakamani, kwanza wote wanajua ni kesi ya kubumba, na wanaogopa kuaibika maana wanajua Lisu atawakaanga vibaya. Na majaji wanajua mahakama haina cha kuwafanya hao wanaoitwa na Lisu mahakamani.Tunasubiri uamuzi wa kesho asubuhi.
Mara paaah DPP hana nia ya kuendelea na kesi hii.
Unpredictable
Nyie 🌈 mko wangapi nchi hii?Kwa mawazo yako finyu unadhani Watanzania ni wafuasi wa CHADEMA. Nyie hamzidi hata 200. Mnatupigia kelele tu
Banana republicKusindana na Jamhuri ni ngumu sana kuishinda
Mwingine yuko eda eti anabahatisha atasubiriwa tu hadi ajeMajaji ni kama wameanza kuandaa watu kisaikolojia, wanasema mashahidi wengi sio lazima wasaidie. Ni kama mashahidi wa mwisho ni hao hao wa cdm, lakini hakuna yoyote kutoka serekalini atakubali kutinga mahakamani, kwanza wote wanajua ni kesi ya kubumba, na wanaogopa kuaibika maana wanajua Lisu atawakaanga vibaya. Na majaji wanajua mahakama haina cha kuwafanya hao wanaoitwa na Lisu mahakamani.
Kuna watu huwa wanahadaa umma kuwa hakuna aliye juu ya sheria, lakini uhalisia unakataa. Na kwenye kesi hii itadhihirika.
Mash_ gaNyie 🌈 mko wangapi nchi hii?
Jamuhuri inafanya vitu childish, very stupid. Hakuna hoja,Majaji ni kama wameanza kuandaa watu kisaikolojia, wanasema mashahidi wengi sio lazima wasaidie. Ni kama mashahidi wa mwisho ni hao hao wa cdm, lakini hakuna yoyote kutoka serekalini atakubali kutinga mahakamani, kwanza wote wanajua ni kesi ya kubumba, na wanaogopa kuaibika maana wanajua Lisu atawakaanga vibaya. Na majaji wanajua mahakama haina cha kuwafanya hao wanaoitwa na Lisu mahakamani.
Kuna watu huwa wanahadaa umma kuwa hakuna aliye juu ya sheria, lakini uhalisia unakataa. Na kwenye kesi hii itadhihirika.
Huyu Mwamba Katuga atamnyonga Lissu!View attachment 3666435
KATUGA MAHAKAMANI 😄
Unazungumzia mahakama ipi wewe, ile ya Roast Aziz?-mahakamani si sehemu ya harakati, utalazimishwa na mifumo na sheria zake, ule ni mhimili mwingine..pale hamna bavicha aanze kuwauliza kuwa sijui mnanielewa?
Hata Mimi nashangaa imekuaje mahakama ikumkuta Tundu Lissu ana kesi ya kujibuYaani hii kesi Ina maajabu...
Ushahidi wote wa Jamuhuri ulikataliwa angalia list
-Video ya Jambo Tv
-Forensic examination ya Video
-Report ya Election violence ya October 29 ya Mahamba
Sasa hii kesi inaendeshwa kwa maneno tuu... Jamuhuri inatoa maneno pamoja na Mashahidi wao
Mshitakiwa na yeye anajitetea hivyo hivyo
Mbaya zaidi kesi inaendeshwa bila kuona viini vya Uhaini