residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Amen.Ahsante Sana mkuu Manyanza nimefuatilia kuanzia mwanzo mpaka mwisho ,nimesoma mpaka Nukta ubarikiwe Sana Kwa hii live.
Nasikitika kuna baadhi walikuwa wanatuharibia live yetu, mtu anasema hafuatilii kesi na Hana Muda huo lakini Uzi mzima zinajaa comments zake .
All in all ni democrasia Acha tuvumilie Leo pia tumepata darasa la bila malipo MUNGU MBARIKI LISU.
Wewe hayati alikuwa binadamu tu lazima atajweSina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
Aiseeh! CCM ilaaniwe mileleAliyekuwa mgombea wetu wa Jimbo la Mrimba, anaitwa Suzan Kiwanga wa Mrimba, anarudisha fomu, akakuta Mkurugenzi kafunga ofisi, hayupo.
Ilipofika saa 11, Mkurugenzi kajitokeza, kasema, “Umechelewa, Mama,” na mgombea wa CCM kapita bila kupingwa.
Kmmk
Hayati alimchapa risasi unataka amuheshimu kwa lipi?Sina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
Utetetezi wa Leo imewafanya wajihisi hatiaNaona majaji wanataka kuumaliza kesi kwa haraka
HahahaBora tunafunguliwa macho kumbe ukiambiwa una kesi ya kujibu jitetee ndo inavyokuwa tulizoea kusema nina watoto sita wananitegemea🤔🤔
Nani alie toa amri ya Askari wa ulinzi wasiwepo eneo lao la kazi siku ya tukio?Hilo huna uhakika nayo imebaki ni consipiracy. Lakini kingine hujaelewa hoja, soma vizuri uelewe. Hana haja ya kumheshimu na hiyo inajulikana. Hivi nikikuuliza kauli ya kwamba hayati alikuwa akipepewa yeye akipiga kampeni kitu ambacho ni uongo, kinasaidia nini au kinaongeza uzito gani kwenye utetezi wake? Zaidi kinafanya hata hoja zake za muhimu zianze kutiliwa mashaka kwamba huenda anadanganya.
Lissu sio mjingaOngezea kushushuliwa na Jaji
Kuusu jana kumbe Ijumaah
Lissu Mbishi sana ile Kesi hangewaachia wanzie nayeye angekuwa anachomekea sehemu akiona mambo sio vile kataka!!
Daktari mbona kuna wakati nayeye anakaa foleni kumuona Daktari mwenzie 🫡🫡
Lissu Yeye ndio mwenye tuhuma tena yupo Lupango👈
Niwazi kiakili hawezi kuwa vizuri kama angekuwa yupo
nyumbani kwaamaana anatokea nyumbani 👈
So hangewaachia wenzie wampambanie👈
Lkn Jamaa m'bishi sana
lile kabila la Wanyiramba Wanaume wapo kama Wamasai ni Wabishi
kinoma ✍️
Kwa hivyo unaamini Lissu alitaka kupindua serikali ya Samiah, ila Magufuli kuhusika na kumpiga risasi Lissu unakataa. We kweli mnafiki sana.Hilo huna uhakika nayo imebaki ni consipiracy. Lakini kingine hujaelewa hoja, soma vizuri uelewe. Hana haja ya kumheshimu na hiyo inajulikana. Hivi nikikuuliza kauli ya kwamba hayati alikuwa akipepewa yeye akipiga kampeni kitu ambacho ni uongo, kinasaidia nini au kinaongeza uzito gani kwenye utetezi wake? Zaidi kinafanya hata hoja zake za muhimu zianze kutiliwa mashaka kwamba huenda anadanganya.
Mnaomjibu huyo jamaa huwa mnapata wapi muda wa kumjibu?B
Basi kata Tena kiuno chako
Sasa naelewa kwanini walikataza Mahakama isirushe mubashara kesi hiiNimemuelewa Jaji Ndunguru : Anajua waliomleta hawapendi Lissu apate jukwaa la kuhutubia watanzania.
Hayo maneno aliyoyasema hapo mahakamani ingekuwa uraiani tayari angekuwa keshachezea virungu vya kutosha.
Au ni chombo gani Cha habari kingeweza kurusha hayo aliyoyasema mahakamani?
Amesema ilikuwa waonane lakini kwa sababu ya muda haikuwezekana..hivi kuna mahali TL anasema walionana na Museveni au nimesoma vibaya?
Amesema ilikuwa waonane lakini kwa sababu ya muda haikuwezekana