Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Nilianziaha uzi mwingine kuweka majumuisho ya Lissu tu, nashangaa wameunganisha tena. Sitaki kuweka tena update, hawaheshimu wateja wao hawa
Mkuu ni sahihi mods wamekua kama wamevurugwa hivi lakini ni muhimu sana kupata update zako kwasababu

1. Tumeshazoea uandishi wako.
2. Mpangilio/muendelezo wa update ulikua unauweka vizuri.
3. Hata nikiwa busy najua nitapitia profile yako na kufika Kisutu directly.

Mwisho nikupongeze kwa kutupeleka Kisutu Kila siku ambayo ndugu yetu LISSU alikuwepo pale, umefanya vyema na vizuri kutuhabarisha na kwa niaba ya wanaJF nikuombe umalizie kutupa majumuisho maana sisi wengine hatusikilizi redio wala kuangalia tv.
 
Nitaweka jioni baada ya mahakama
 
Kabisaa, afanye kuweka kwenye uzi mwingine. Aanzishe tu mpya.
 
Hakuna ushahidi wa Zacharia Hans Pope kushika bunduki. Hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…