GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unawafungulia kwenye mahakama za wapi?
 
Mtu akikukuta kule kwenye Uzi wa watu hawaandaliwi kabla ya tendo... anaweza sema huyu nae ni kama zimemruka๐Ÿ˜‚

Kumbe n smart bhana!! Ila huku unashusha nondo haswaaa
Hongera kwa kutuchanganya watizamaji
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jamaniii, kila uzi naenda nao unavyotakaa.
 
Wakili hajapokea vitisho vyovyote mpaka muda huu, licha ya kwamba amekuwa mkandamizaji sana na mchochezi wa kumbambikia kesi Lissu.

Halafu eti mashahidi ndio wawe kwenye risk kiasi waiombe Mahakama iwafiche. How?
Mashahidi feki wa kuficha sura wanatoka chauma ubwabwa na kocha wao ni Mbowe Kileo kigaila na ibilisi wa ccm
 
Kwahiyo wanataka kusogeza tarehe mbele mbona mahakama wanafanya ujanja wapige non stop .
 
Na yeye atawafuata akimwacha Lisu akidunda. Mungu hadhiakiwi.
 
Hahahahaha kesi wapi? Hahahahaha Ila nyie watu mahayawani sana wa akili!
Wewe mvuta Bangi kwani hujui kuwa hakuna aliye juu ya sheria, hao mahakimu wako wanaweza kufunguliwa kesi kwani wao ni wakosaji kama wewe ibilisi mtekaji
 
Mchamungu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†angetishia amani ya taifa
Mchamungu angetetea haki za ushoga
Mchamungu angeleta maneno ya hovyoo
Nyie watu mkoje
Mchamungu unamjua ww. Kila siku hoja yenu ya Ushoga inazimwa na machoko waliojazana Magomeni
 
Alafu akapewa uhuru akarudi nchini
Malipo yake akaanza kumtukana na rais aliempa uhuru
Hta mm ningekua samia huyu nisingemuacha
Tanzania ni kwake hahitaji kuomba uhuru wala ridhaa huko alipokuwa alikwenda kwa sababu ulitaka kumuua ukashindwa, na wewe ulivyo shetani usingekuwa Samia ndiyo maana sasa unafanya kazi za kuteka kuua kuwabambikia watu kesi za uongo, wewe ni mtu wa hovyo sana, ukifa utaenda motoni moja kwa moja
 
Mbona hakurud kipind cha magu kma ni kwake
 
Makonda alikua ana pambana nao mpk kuwakamata.
Badala ya kumuunga mkono chadema mkawa mnamshambulia makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ