KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Kama "Mkristo" maana yake ni kumfata Yesu Kristo basi hakuna shaka kuwa Muislam ndiye Mkristo wa kweli. Kama hujawa Muislam basi humfati Yesu Kristo.

Mama faiza bila kumkiri Yesu mbinguni hutoboi .Utoe shahada, uswali swala tano ukahiji mecca au hata ufunge swaumu lakini usipomkubali Yesu kwamba ni mwana wa Mungu mbinguni huingii
 
uislam ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu...achana na dini za kunjunga...
 
Zinafuata watu na si maagizo ya Allah,mfano wasabato wamekuwa brainwashed na Ellen G White,waluteri na martin luther king,waanglikana na ushoga ni damdam,wakatoliki na ulawiti na kuhukumu wasio wanajumuia,Uislam umenyooka hawana konakona
Ulawiti,ushoga ni tabia ya mtu,hakuna maandiko yoyote kwenye vitabu vitakatifu vinafundishwa hayo mambo
Vinginevyo tukubaliane kuwa hakuna waislamu wanaotenda hayo mambo?
Kama wapo basi hao ni waislamu wa aina gani?
 
Waislamu wanazika watu wengi hai, mtu akifa angalau zipite siku tatu ndipo ithibitike kweli amekufa. Wengine uzimia zaidi ya masaa 24
 
Sisi wagalatia hatuifati Bible maana hata Nguruwe biblia imetuambia ni najisi kwetu ila kwakua ni kitu kinacho tupa raha tunahalalisha hata vilivyo haramishwa kwenye biblia ilimradi tujifurahishe
 
Mkuu hamia unapoona nafuu. Am proudly Christian yaani kila tunachokifanya naona fahari mno mno mnooooo.
Tungehamia uislam Kama tungegundua kwamba viongozi wa kidini wanayafanya haya mambo haya kwa miongozo wa bible direct, lakini kwakuwa tukisoma bible tunaona kabisa wanakosea wao na siyo bible. Bible is a perfect book Ila wanaotutafsiria wanatupotosha tu.

Vitu vingi wanavyovianzisha havipo kwenye bible. Mfano kulipia ubatizo, krismas, utaratibu wa sasa wa ndoa na sherehe ya ndoa, utaratibu wa michango, suala Zima la talaka, wanawake kuwa wachungaji, n.k
 
Wewe pia kuamini kwako hakufanyi awepo. Hilo la kwanza.

Jambo la pili, hakuna ushahidi kwamba Mungu ama shetani wapo, huo ni uongo wa wazi.
Hapo ni SAwa na kutaka ushahidi wa uwepo wa mawimbi ya sauti.kwani uoni radio,tv,simu.
Ushahidi wa Mungu na Shetani.
Nyumba za ibada uzioni? Mpangilio wa uumbaji wa duniani ujauona?
Biblia na Quran ujaviona?
 
Hapo ni SAwa na kutaka ushahidi wa uwepo wa mawimbi ya sauti.kwani uoni radio,tv,simu.
Ushahidi wa Mungu na Shetani.
Nyumba za ibada uzioni? Mpangilio wa uumbaji wa duniani ujauona?
Biblia na Quran ujaviona?
Achana na hizo hadithi za kitaahira. Mungu hayupo.
 
Kwenye ishu za ndoa, uislamu uko vizuri sana, hongera sana uislamu.

Ila kwenye kifo, sikubaliani na mambo mengi tu, hivi kuna faida gani kulazimisha mtu aliyefariki azikwe siku hiyo hiyo, kuna ulazima gani? Mtu kafia Dar, kwao Kigoma, mipango ya mazishi na kusafirisha mwili itafanyikaje kwa masaa machache hayo?

Vifaa vya kupimia mapigo ya moyo, stethoscope, nyingi ni mbovu tu na zinaletwa Afrika zikiwa used, kinaweza kushindwa kudetect mapigo ya moyo ilihali mtu bado hajafa. Kukurukakara ya kulazimisha mtu azikwe harakaharaka matokeo yake ni kumzika mtu akiwa hai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…