Ni kweli unasho sema ata mimi nilikuwa na demu wangu mmoja sasa ana dada yake ana mtoto nilikuwa nashangaa mtoto ana umwa walumpeleka hospitali wakawa wanadaiwa pesa nikashanga napigiwa simu mimi nilipe nikabaki najiuliza huyo mtoto si ana baba yake kwa nini wasimbie baba mtoto, shangazi zake, baba zake wadogo na wakubwa na bibi zake wote wameachwa naambiwa mimi nikawa najiuliza kwanini baadhi ya fimilia zinalea watoto vibaya , Nika kaa na kutafakari mbona mimi ndugu zangu na wazazi wangu hawa niombi pesa sana kuliko upande wa ndugu wa mpenzi wangu tokea siku hiyo nimejiapiza siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke kwao na ndugu zake wana njaaa.