AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Kwanini umekua ukifukuzia kwa bidii namna hiyo?Binafsi nimefukuzia kwa bidii na uaminifu sana,
na hatimae kwa Neema na Baraka za Mungu nipo hivi nilivyo 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini umekua ukifukuzia kwa bidii namna hiyo?Binafsi nimefukuzia kwa bidii na uaminifu sana,
na hatimae kwa Neema na Baraka za Mungu nipo hivi nilivyo 🐒
Hao kina warioba na ulimwengu ni wakongwe wanajua kila kitu ila kuna vijana wanapata uongozi kwa njia zisizo sahihi wanahonga wana roga wanawafanyia wenzao fitna figisu na majungu hao ndio ninao wazungumzia mimi wakati wa mungu ni wakati sahihi.una wazungumziaje watu kama akina generali ulimwengu na mh.warioba kupambana kama wanaharakati dhidi ya akina Paul makonda, pumbalu au Tulia?
kuna alie chelewa au kuwahi zaidi kwenye medani ya siasa kwa sasa? [emoji205]
Kimsingi ni swala zima la maokoto si ndiyo?zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe 🐒
kwani hukuwahi kuskia hiyo, au kufundisha kwenye malezi ya kimwili na kiroho faida za bidii?
vizur,Hao kina warioba na ulimwengu ni wakongwe wanajua kila kitu ila kuna vijana wanapata uongozi kwa njia zisizo sahihi wanahonga wana roga wanawafanyia wenzao fitna figisu na majungu hao ndio ninao wazungumzia mimi wakati wa mungu ni wakati sahihi.
sifahamu na sina hakika,Kimsingi ni swala zima la maokoto si ndiyo?
tangu umetoka huko DRC ya Mashariki vpi mambo yanaenda au?🐒Utaishia kuchanjwa chale mwili mzima hadi inafikia bila Paracetamol hulali na hatimae Udiwani Udiwani utakuwa unausikia kwenye Bomba tu.
Siku hizi Bongo Waganga hakuna wamebakia Matapeli tu ukitaka Mizizi ya Ushindi nenda DRC ya Mashariki.
Mganga wangu huyo nataka nimrumie salamu Dotto Biteko kuwa Bukombe safari hii patachimbika😀tangu umetoka huko DRC ya Mashariki vpi mambo yanaenda au?🐒
chale zimepona? naskia wanachanja hadi kwenye upara 🐒
Hii ya laki 5 si hoja, sema huna jibu.sifahamu na sina hakika,
binafsi ni ndoto,nia na dhamira ya kweli na ya dhati ya moyo wangu, kua kiongozi wa eneo langu la asili, nchi na Taifa langu ndivyo vilivyo nisukuma kuwania uongozi wa kisiasa, tena nikiwa na laki5 pekeyake mfukoni 🐒
Mganga wangu huyo nataka nimrumie salamu Dotto Biteko kuwa Bukombe safari hii patachimbika😀
View: https://youtu.be/tW6pVFOpE6Q?si=FCLDRuoT-_0eamRk
Bukombe CHADEMA tunazoa Jimbo asubuhi tu namimi ninaenda DRC kuchukua Mzizihuyu huyu naibu waziri mkuu ninayemjua?🐒
au unataka kujulikana tu na kutimiza ndoto yako hata walau kugombea tu ?
maana njia za kujulikana ni mbili tu ama upate kura sifuri au umshinde unae shindana nae 🐒
nenda na hiyo laki5 ukagombee hata udiwani tu kama hujaishia vijiji viwili na ujikatie tamaa na uanze kujutia bora ungeitumia kufanya mambo mengine 🐒Hii ya laki 5 si hoja, sema huna jibu.
Tangu anze siasa haijarudi?nenda na hiyo laki5 ukagombee hata udiwani tu kama hujaishia vijiji viwili na ujikatie tamaa na uanze kujutia bora ungeitumia kufanya mambo mengine 🐒
hutoboi kirahisi usipokua na Neema na Baraka za Mungu ndani yako gentleman 🐒
naskia waganga wa Tz wanawakataa nyie wa chama hicho, eti mnafukuza wateja kwasabb hamfuati masharti na hamshindagi uchaguzi, je kuna ukweli kwenye hili?🐒Bukombe CHADEMA tunazoa Jimbo asubuhi tu namimi ninaenda DRC kuchukua Mzizi
Safari hii tunamtahadharisha hadi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukombe kuwa akijaribu kutuibia na kutunyima ushindi Mzizi utafanya kazi. Akifanya HAKI atakuwa salama.naskia waganga wa Tz wanawakataa nyie wa chama hicho, eti mnafukuza wateja kwasabb hamfuati masharti na hamshindagi uchaguzi, je kuna ukweli kwenye hili?🐒
huko DRC Mashariki ndio chimbo jipya sio ambalo linaweza kuleta matokeo uchaguzi ujao, right?🐒
ila sera msiache ni muhimu sana kua nazo pia...
kwamba nyinyi ndio mna haki zaidi kwamba muibe na msinyimwe ushindi, right?🐒Safari hii tunamtahadharisha hadi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukombe kuwa akijaribu kutuibia na kutunyima ushindi Mzizi utafanya kazi. Akifanya HAKI atakuwa salama.
Sijasema kuwa sisi ndio tuna HAKI zaidi nisome vizuri lakini safari hii tunawaandaa wataalam hawa👇kwamba nyinyi ndio mna haki zaidi kwamba muibe na msinyimwe ushindi, right?🐒
kwan mnagombea wenyewe tu hakuna vyama vingine vyenye haki ya kushida uchaguzi?
Hii mada yako ya leo ni tofauti na zile nyingine, na nitapenda kuchangia kwa utulivu.Pambana kwa bidii na haki utatoboa tu.