Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
una wazungumziaje watu kama akina generali ulimwengu na mh.warioba kupambana kama wanaharakati dhidi ya akina Paul makonda, pumbalu au Tulia?

kuna alie chelewa au kuwahi zaidi kwenye medani ya siasa kwa sasa? [emoji205]
Hao kina warioba na ulimwengu ni wakongwe wanajua kila kitu ila kuna vijana wanapata uongozi kwa njia zisizo sahihi wanahonga wana roga wanawafanyia wenzao fitna figisu na majungu hao ndio ninao wazungumzia mimi wakati wa mungu ni wakati sahihi.
 
vizur,
Jambo muhimu kwenye siasa ni nidhamu, uaminifu, umakini na utulivu kwenye kusema na kutenda...

ukikosea hapo hata ukiwa mkongwe na mzoefu namna gani utakua challenged kwa dhihaka na kutokuheshimika inavyostahili 🐒

hata hivyo,
kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana...
 
Utaishia kuchanjwa chale mwili mzima hadi inafikia bila Paracetamol mbili hulali na hatimae Udiwani utakuwa unausikia kwenye Bomba tu.

Siku hizi Bongo Waganga hakuna wamebakia Matapeli tu ukitaka Mizizi ya Ushindi nenda DRC ya Mashariki.

Angalia Waganga wa DRC wanavyotangaza Biashara zao👇

View: https://youtu.be/tW6pVFOpE6Q?si=FCLDRuoT-_0eamRk
 
Kimsingi ni swala zima la maokoto si ndiyo?
sifahamu na sina hakika,

binafsi ni ndoto,nia na dhamira ya kweli na ya dhati ya moyo wangu, kua kiongozi wa eneo langu la asili, nchi na Taifa langu ndivyo vilivyo nisukuma kuwania uongozi wa kisiasa, tena nikiwa na laki5 pekeyake mfukoni 🐒
 
Utaishia kuchanjwa chale mwili mzima hadi inafikia bila Paracetamol hulali na hatimae Udiwani Udiwani utakuwa unausikia kwenye Bomba tu.

Siku hizi Bongo Waganga hakuna wamebakia Matapeli tu ukitaka Mizizi ya Ushindi nenda DRC ya Mashariki.
tangu umetoka huko DRC ya Mashariki vpi mambo yanaenda au?🐒

chale zimepona? naskia wanachanja hadi kwenye upara 🐒
 
sifahamu na sina hakika,

binafsi ni ndoto,nia na dhamira ya kweli na ya dhati ya moyo wangu, kua kiongozi wa eneo langu la asili, nchi na Taifa langu ndivyo vilivyo nisukuma kuwania uongozi wa kisiasa, tena nikiwa na laki5 pekeyake mfukoni 🐒
Hii ya laki 5 si hoja, sema huna jibu.
 
huyu huyu naibu waziri mkuu ninayemjua?🐒

au unataka kujulikana tu na kutimiza ndoto yako hata walau kugombea tu ?

maana njia za kujulikana ni mbili tu ama upate kura sifuri au umshinde unae shindana nae 🐒
Bukombe CHADEMA tunazoa Jimbo asubuhi tu namimi ninaenda DRC kuchukua Mzizi
 
Hii ya laki 5 si hoja, sema huna jibu.
nenda na hiyo laki5 ukagombee hata udiwani tu kama hujaishia vijiji viwili na ujikatie tamaa na uanze kujutia bora ungeitumia kufanya mambo mengine 🐒

hutoboi kirahisi usipokua na Neema na Baraka za Mungu ndani yako gentleman 🐒
 
Tangu anze siasa haijarudi?
 
Bukombe CHADEMA tunazoa Jimbo asubuhi tu namimi ninaenda DRC kuchukua Mzizi
naskia waganga wa Tz wanawakataa nyie wa chama hicho, eti mnafukuza wateja kwasabb hamfuati masharti na hamshindagi uchaguzi, je kuna ukweli kwenye hili?🐒

huko DRC Mashariki ndio chimbo jipya sio ambalo linaweza kuleta matokeo uchaguzi ujao, right?🐒

ila sera msiache ni muhimu sana kua nazo pia...
 
Safari hii tunamtahadharisha hadi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukombe kuwa akijaribu kutuibia na kutunyima ushindi Mzizi utafanya kazi. Akifanya HAKI atakuwa salama.
 
Safari hii tunamtahadharisha hadi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukombe kuwa akijaribu kutuibia na kutunyima ushindi Mzizi utafanya kazi. Akifanya HAKI atakuwa salama.
kwamba nyinyi ndio mna haki zaidi kwamba muibe na msinyimwe ushindi, right?🐒

kwan mnagombea wenyewe tu hakuna vyama vingine vyenye haki ya kushida uchaguzi?
 
Pambana kwa bidii na haki utatoboa tu.
Hii mada yako ya leo ni tofauti na zile nyingine, na nitapenda kuchangia kwa utulivu.

Kwani "Uchawi" ni kitu gani?

Mtu akitumia "rushwa" kupata uongozi , huo ni "uchawi"?

Mtu "akiweka bidii" kama unavyoeleza wewe kwenye 'uchawa' kutafuta upendeleo, huo ni "uchawi"?

Mtu akitumia imani yake, 'dini' kushawishi wenzake apate huo uongozi, huo ni "uchawi"

Mtu akitumia "ukabila" kushawishi watu wa kabila lake apate uongozi, huo ni "uchawi"?

Chama cha siasa, kikitumia mbinu na hadaa za kuwarubuni wananchi kuwapata viongozi, huo ni "uchawi"?

Chama cha siasa kikitumia vyombo vya dola kuwaweka watu kwenye uongozi, huo ni "uchawi"

Kiongozi mkuu wa nchi, akijiamria kuweka watu anaopenda kwenye nafasi za uongozi, huo ni "uchawi"?

Maana yangu hapa ni kwamba, wewe umeangalia sehemu moja tu, "uchawi" na kusahau mambo chungu nzima yasiyostahili kuwapata viongozi.
 
Back
Top Bottom