Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #241
Umenielewa mkuu?. Ambacho tunakipinga ni ile mkataba wa ndoa. Masuala ya kulea watoto yanawezekana bila kusaini ule mkataba.Kwa hapa kifalsafa tunakinzana wazazi kilichowatenganisha ni kifo why nisioe mkuu,
Watoto bora hutoka kwenye familia ya wazazi wawili siyo single parenting family(ili kataa ndoa mnalijua vizuri Ila mnajitoa tu kufahamu)
Huwezi Lea mtoto from distance alafu akanyooka ipasavyo brother
Hahaha nikajua pombe Zimekumaliza 🤣🤣Nipo mamiii,, uvivu tu wakuingia humu
Ngoja aje atakaejitolea kupiga ligi na wewe. Am outSasa kulikuwa na haja gani ya kutumia neno menopause hadi kwa wanaume ulishindwa nini kutumia hilo andropause, au ulikuwa hulijui ila baada ya mimi kukukosoa ndio ukakimbilia google ukalitafuta hadi ukalipata, tatizo siyo kutoondoa mantiki ya mada tatizo ni ulazima wa kutumia neno lisilohusika ilihali linalohusika lipo
Nipo THE VOICE TZ hapa...napiga zangu ken baridii sanaHahaha nikajua pombe Zimekumaliza 🤣🤣
Duh!...Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Muongo.. mimi pia nilimaliza chuo nikiwa bikira na Miaka 23 na miezi3 ndio nikabikiriwa so wapo wana vyuo wengi tu ni bikira na huwezi kuwajua abadani na ni warembo haswaJidanganye mkuu, bikra huwa inakatiza kote Ila sio Chuoni mkuu
Kwo unajisifu kubenjuliwa utando🤧🥶Muongo.. mimi pia nilimaliza chuo nikiwa bikira na Miaka 23 na miezi3 ndio nikabikiriwa so wapo wana vyuo wengi tu ni bikira na huwezi kuwajua abadani na ni warembo haswa
Nashukuru Mkuu kwa kunijisha kuwa mwanaume pia ana undergo menopause. Ila nitaomba unisaidie ufafanuzi menopause ya mwanaume inakuwaje? Je, anakuwa hasimamishi au anakuwa hana access ya ku ejaculate?Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Yeah kwani kuna jipya gani.. nikae nayo nisikae nayo Hakuna faida yoyote hata hela hainiingizii.. muhimu nashauri Watu wajitunze kwa malengo na sio kuwatunzia wanaume… mimi nilijitunza kwa faida yangu na malengo yangu binafsi sikutaka kujichanganya na shule na mapenzi ni hiko tuKwo unajisifu kubenjuliwa utando🤧🥶
Sasa jamani si upendo tu majina ya kimahaba hamtaki kuitwa beib kwaniniBeib mtu una 40 years
Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Binafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
Sina hatari yoyote wanawake wapo na hakuna mwanamke mwenye akili kubwa kwa mwanaume alie mpenda , huwa mnakataa mawazo yetu mara zote ila ni sie tunaowato, ,,,,bea aminiMiaka 20 ni mtu mzima kabisa
Miaka 30+ kwa mwanamke huyo hata ukimuuliza Mama au mtu mzima anayekupenda hawezi kukushauri uchukue mwanamke mwenye umri huo.
Unahitaji mwanamke mdogo ili uwe Mwalimu wake
Lakini ni Hatari kuchukua mwanamke ambaye ni mtu mzima Akiwa ameshafuzu na anawaalimu wa kutosha.
Kwa lugha isiyokua na makando kando tunaweza kusema andropause, maana tukisema menopause wengi wanaweza kuifanisha na ile ya mwanamke, ni kipindi ambacho sex drive ya mwanaume inakua chini vilevile nguvu ya mbegu zake kutungusha mimba inashuka. Mwanaume ambae hana changamoto za kiafya hali iyo inaanza kumkuta kuanzia miaka 55Nashukuru Mkuu kwa kunijisha kuwa mwanaume pia ana undergo menopause. Ila nitaomba unisaidie ufafanuzi menopause ya mwanaume inakuwaje? Je, anakuwa hasimamishi au anakuwa hana access ya ku ejaculate?
Sina hatari yoyote wanawake wapo na hakuna mwanamke mwenye akili kubwa kwa mwanaume alie mpenda , huwa mnakataa mawazo yetu mara zote ila ni sie tunaowato, ,,,,bea amini
Vijana wanashindwa kuelewa tofauti ya love na survival. Wanashindwa kuelewa tofauti ya matured woman na damaged woman.Huwezi kukutana na mwanamke mwenye 30+ akakupenda Mkuu. Hiyo Kitu haipogo.
Kutombe.... Hiyo ni Kesi nyingine Kabisa
Ni kwamba, huna uwezo wowote wa kumuongoza mwanamke ambaye tayari alishaongozwa na anawaalimu kibao.
Utakuwa umefanya kosa la kiufundi kudate na mwanamke WA Miaka 30+ alafu akilini ukajidanganya anakupenda.
Umri huo kwa mwanamke sio wa kupenda. Alishapenda na kupenda. Alishaumizwa na kuumizwa. Huo ni umri wa maslahi yake binafsi hasa ya kiuchumi na watoto wake Basi.
Kaka wapo wanawake wa umri huo wanajiweza kiuchumi na wala hawahitaji chochote kwako zaidi ya mapenzi , tatizo mnafikiri mapenzi ni kwa ajili ya wanawake wa kimatumbu tu ambao ni maskini.Huwezi kukutana na mwanamke mwenye 30+ akakupenda Mkuu. Hiyo Kitu haipogo.
Kutombe.... Hiyo ni Kesi nyingine Kabisa
Ni kwamba, huna uwezo wowote wa kumuongoza mwanamke ambaye tayari alishaongozwa na anawaalimu kibao.
Utakuwa umefanya kosa la kiufundi kudate na mwanamke WA Miaka 30+ alafu akilini ukajidanganya anakupenda.
Umri huo kwa mwanamke sio wa kupenda. Alishapenda na kupenda. Alishaumizwa na kuumizwa. Huo ni umri wa maslahi yake binafsi hasa ya kiuchumi na watoto wake Basi.