Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Kwa mtu yeyote mwenye akil ataomba Munfu ndio maana effect za vita vyao hata sisi tunavi feel ile ileYaani wayahudi wafanye vikao vyao uko, Afu wee mtanzania umuombe Mungu akuvushe salama! π€
Gaza wamekufa wangapi ?Huko Tel Aviv kuna kikao kinaendelea cha kujadili mazishi na majeruhi wa jana na leo
NA BADO mpaka maji waite mma!
Kikao cha kawaida hicho usitutishe bana. Na ujue tu Israel hatashambulia Iran wakati huu. Wao hua wanawawinda iran mtu mmoja mmja au kupiga maeneo yenye maslahi ya Iran nje ya Iran.Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
iran anasaidiwa na urusi china na north korea, je unalijua hilo au hujui?Israel hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Huwezi jua mkuuYaani wayahudi wafanye vikao vyao uko, Afu wee mtanzania umuombe Mungu akuvushe salama! π€
eti iran hasaidiwi Bwege kweli weweKikao cha nini wao si wanaume waingie vitani waache kulialia na waache kuomba misaada kutoka USA na Western countries.
IRAN ndio kidume hapo hasaidiwi na kima yeyote na hategemei misaada.
Fanya kamsaidieni bwana wenu huko anahangaika kuna casualties wengi wametangaza emergency medical huko North baada ya kichapo cha Hizbollah
Mungu hayupo, hivyo hawezi kutuvusha salama.Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
IRAN KILA KITU ANAPEWA NA URUSIKikao cha nini wao si wanaume waingie vitani waache kulialia na waache kuomba misaada kutoka USA na Western countries.
IRAN ndio kidume hapo hasaidiwi na kima yeyote na hategemei misaada.
Fanya kamsaidieni bwana wenu huko anahangaika kuna casualties wengi wametangaza emergency medical huko North baada ya kichapo cha Hizbollah
Mpango wa kumalizana na Iran upo kabatini kwa miongo miwili sasa. Bibi alikiwa anatafuta sababu akautoe kabatini. Sababu kashapewa na Ayatollah lazima alambishwe vumbi safari hiiWadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Iran iko serious kweli. Kurusha makombora zaidi ya mia moja inamaanisha wanaweza kurusha maelfu ya makombora. Israel nayo inaamini inaweza kuidhiti Iran nchi iliyo advance kijeshi.Israel hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Good english accent!.Israel hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Hao manguchiro hawana lolote weupe mishale inapenya hadi vyumbani mwaoπ€£π€£π€£π€£Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Mpk Sasa Iran anashirikiana na Hizbollah , Houth , Hamas na Urusi ila Israel unataka asishirikiane na mtuIsrael hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Jamani yaani Pdiddy yupo humu hata sijui!!! Umeingiaje humuNAONA HIZI SIKU 2 TATU KUNA MAHALI WANAIMBA PARAPANDA AITALIAA PARAPANDA KILA KONA
Kwa hiyo hao wayahudi ndiyo wafuasi halali wa mungu pamoja na kuwa mashoga? Ujinga mwingine ni mzigo.Wafuasi wote wa shetani duniani kote wanaiombea mabaya Israel, lakini watashindwa.
Kama sio muogaπ€£π Kwani kikao cha kwanza kukaliwa na hao mashog,a baada ya kipigo kutoka Iran?
Iran imeonya wakijaribu tu kujibu watakumbana na kipondo kikali mara 1000 zaidi ya cha jana.
Watu hawaelewi somo wanadhani vita ni zana waajemi wana moyo mgumu sana wakupigana vita ata karne nzima, hizo silaha walizonazo ni advantage tu wale jamaa na warusi sio watu wazuri kabisa kwenye vita fanya ufanyavyo utakalishwa tuuWahajemi ni watata kuliko mnavyodhania sidhani kama wanaweza kutishwa na Israel na pia ni watu wavumilivu kupita kiasi..