Hujasikia tu anakwambia mara nyingi tu kwakua wewe elimu ya ki roho ni ndogo/huna ndio maana huwezi kumuelewa ni sawa na mtoto anayenyonya umwambie akusolvie hesabu za algebra hataweza kwakua hajui na anaweza akapinga kwamba hamna kitu kama hichoAngekuwepo, usingehitaji kuniambia wewe, angeniambia mwenyewe.
Ukishaona haja ya kuniambia Mungu yupo tu, ujue hayupo.
Kwani hujui Iran walipigana vita dhidi ya Iraq kwa miaka nane ? ,Tena wakati huo Iraq wanapata silaha kali toka Marekani na washirika wake ,Sulbakheri mwamba! Huu mchezo hawauwezi na hawatokuja kuuweza
Israel ni habari nyingine
Nawaza sana pale Irani nani atapigwa
Mohamed ahdenijad ni rafiki yangu.
Ayatollah khominei sijui kama aliruhusu huu upuuzi wa kitoto wa Jana.
Watu wote wa irani na nchi jirani mtalipa Kwa huu ujinga.
Ila hii shoo angekuwepo sadam ingenoga sana ila Israel atabaki kuwa mbabe wa wa wakati wote
Israel ni kama mtoto mpuuzi asiye na adabu mitaani na akibondwa kwa ukorofi wake anakimbilia nyumbani kwa baba yake kishitakiiran anasaidiwa na urusi china na north korea, je unalijua hilo au hujui?
iran hana jeuri ya kusimama alone yule ndo hamna kitu kabisa
π€£π Kwani kikao cha kwanza kukaliwa na hao mashog,a baada ya kipigo kutoka Iran?
Iran imeonya wakijaribu tu kujibu watakumbana na kipondo kikali mara 1000 zaidi ya cha jana.
We ukiangalia Iran ,na ukubwa wote ule lakini bado Israel mtoa roho ana piga anavyo taka na vichwa ana vikula, mbele ya makamanda wa iranIsrael hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Wanadhani Iran ni Burundi au CongoWatu hawaelewi somo wanadhani vita ni zana waajemi wana moyo mgumu sana wakupigana vita ata karne nzima, hizo silaha walizonazo ni advantage tu wale jamaa na warusi sio watu wazuri kabisa kwenye vita fanya ufanyavyo utakalishwa tuu
Litakufa jituWadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Wana mioyo migumu kama pashtun wa Afghanistan wale Taleban , ni moja ya makabila yenye mioyo migumu sana upande wa vita ,ni jamii hiyo hiyo , mmarekani na Mrusi , mwingereza nk wote waliinua mikono .Watu hawaelewi somo wanadhani vita ni zana waajemi wana moyo mgumu sana wakupigana vita ata karne nzima, hizo silaha walizonazo ni advantage tu wale jamaa na warusi sio watu wazuri kabisa kwenye vita fanya ufanyavyo utakalishwa tuu
Hiyo roho yenyewe huwezi kuthibitisha kwamba ipo.Hujasikia tu anakwambia mara nyingi tu kwakua wewe elimu ya ki roho ni ndogo/huna ndio maana huwezi kumuelewa ni sawa na mtoto anayenyonya umwambie akusolvie hesabu za algebra hataweza kwakua hajui na anaweza akapinga kwamba hamna kitu kama hicho
1. Hujathibitisha Mungu yupo.Wewe ni muongo wa Karne, na kama kweli wewe kiranga huamini uwepo wa Mungu basi ka muingilie mama yako mzazi tena awe mkeo, ukifanya hivo utakuwa huamini uwepo wa Mungu, na kama hujawahi kumfanya mama yako basi upo ktk kumuamini Mungu,
Why, Mungu ndiye aliyempa cheo na daraja mama kupitia vitabu Quran nk, hata bibilia pia imesema, na sayansi inasema tendo la ndio ni mchakato wa ki biology ili reproduction itokee,
Note:,mbuzi, paka Simba wana ingiliana wao kwa wao
Na hapo kapigwa vikwazo vikali vya kiuchumi kwa muda mrefu kuliko nchi yoyote ile chini ya jua ,na bado anakiwasha .Kwani hujui kama Iran hapo inaishi na vikwazo na uchumi wake tofauti na wewe ambae nchi yako haina vikwazo hata kimoja
Awavushe wapi wakati wanasubiria bwana atamke sis wa Iran tumejipanga na tuna kumbora zetu za nuke tutazitupa hapo telavivu tone dome kama itaweza!Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Mkuu sasa mbona hiki ni kituko, ina maana walivyorusha makombora yao walikuwa wanategemea kujua madhara au targets ambazo zimekuwa hit kwamba Israeli itawaruhusu Aljazeera waende wakafanye kazi then ndiyo wawaambie hao Iran!! Hiki ni kituko sasa, so kifupi mpaka sasa hawajui wamepiga wapi au wameleta madhara gani mpaka Aljazeera aruhusiwe kwenda kufanya kazi ππππWaambie waiache aljazeera ifanye kazi yake kwanza alafu uje ueleze picha zitakavyo mimi nika kule
Ili hali waliotupiga hawajui wametupiga wapi! So kifupi hawana access ya kujua madhara waliyosababisha ila wanamini wamehit target basi. Poor Iran eti mpaka Israeli awaonyeshe walipopiga kama Israeli inabisha kuwa hakuna madhara. Kifupi madhar wanakadiria tu. So wakiambiwa hakuna hata jengo moja lililopigwa watakubali/watabisha, vilevile wakiambiwa wameangusha karibu majego yote na military basements pia watakubali/watabisha yote kwa sababu hawana ushahidi wowote eti mpaka Israeli iruhusu aljazeera akafanye kazi. AiseeKuna sehemu iran walikwambia hawajui wapi wamepiga nimekwambia wewe unae taka picha zirushwe jua hao mazayuni wamepiga marufuku picha zisipigwe maeneo ya matukio
Pili kazi ya irani ni karusha makombora na kakwambia nime hit target kama kweli haja hit target onesheni maeneo yenu kama yako salama
Na kinyume chake kutoweza kuonesha maeneo yenu kama yako salama na kuanza kukialia ujue mmepigwa haswa
Hiyo roho yenyewe huwezi kuthibitisha kwamba ipo.
Yani unaambiwa uthibitishe Mungu yupo, huwezi, unaleta hadithi nyingine ya roho ambayo nayo huwezi kuithibitisha.
Thibitisha Mungu yupo, thibitish
Hivi mtu hua anaona nini anaposinzia? Je kile ulichokiona ndoto ni unaweza kumthibitishia mtu? Ni hiari yake akubali au akatae lakini wewe(muotaji) uliona, sasa mimi roho najua ipo kulithibitisha kwako wewe unaweza amua kukataa lakini haina maana wewe hauna pumzi hai. Sema huna experience ya kujua hiko kitu ni nini ingawa unacho. Ni kama muotaji amapomsimlia mtu ambae pia hua anaota ila ni uamuzi tu wa kuamua hii ni chai au kweli.Hiyo roho yenyewe huwezi kuthibitisha kwamba ipo.
Yani unaambiwa uthibitishe Mungu yupo, huwezi, unaleta hadithi nyingine ya roho ambayo nayo huwezi kuithibitisha.
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.
Bado hujathibitisha Mungu yupo, bado hujathibitisha roho ipo.Hivi mtu hua anaona nini anaposinzia? Je kile ulichokiona ndoto ni unaweza kumthibitishia mtu? Ni hiari yake akubali au akatae lakini wewe(muotaji) uliona, sasa mimi roho najua ipo kulithibitisha kwako wewe unaweza amua kukataa lakini haina maana wewe hauna pumzi hai. Sema huna experience ya kujua hiko kitu ni nini ingawa unacho. Ni kama muotaji amapomsimlia mtu ambae pia hua anaota ila ni uamuzi tu wa kuamua hii ni chai au kweli.
Njia nzuri ya wewe kukuthibitshia uwepo wa Mungu ni kupitia Roho ijue kwanza elimu hiyo tena anzia kwenye usingizi chimba pale utapata mwanga kidogo
Kwanza unaelewa roho ni nini? Siwezi kukuthibitshia kitu ambacho hukijui brother.Bado hujathibitisha Mungu yupo, bado hujathibitisha roho ipo.
Inaelekea hujui hata kuthibitisha ni nini.
Huelewi tofauti ya imani na uthibitisho.
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman