Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Je! Umekua ukilima MAHINDI lakini mavuno kidogo?
Pata elimu ya kilimo cha mahindi kuanzia kuchagua shamba hadi kuvuna.
For Consultation Call +255 755 325 442

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalaam wa kilimo cha mahindi kuna mambo mengi nataka kujifunza kutoka kwenu!!! Katika msimu ujao nimeandaa shamba la ekari 4 za kulima mahindi, sasa kuna maswali nahitaji ufumbuzi wake kama ifuatavyo:-
  1. Mbegu bora na nzuri kwa kulima na ambayo inazalisha sana ni ipi?
  2. Katika kupanda vipimo kati ya mche na mche ni vipi? Na je kila shimo moja unapopanda mbegu inatakiwa mbegu ngapi?
  3. Mbolea ipi inafaa kwa kupandia na kipimo chake ni kipi au kipoje?
  4. Palizi ya kwanza hufanyika baada ya muda gani toka kupandwa kwa mbegu?
  5. Pia mbolea ipi inafaa kwa kukuzia na huwekwa baada ya mimea kuwa na muda gani? Na kipimo chake ni kipi? Maswali hayo hayatoshi kama una ujuzi zaidi juu ya zao hili la mahindi una weza ongeza maana mchango wako ni wa muhimu sana!! Mm nipo mkoa wa Iringa!!
 
Na pia kwa heka moja unapata gunia ngap?nimeongezea tu samahan
 
mbegu za mahindi hutofautiana kulingana na nyanda,kuna nyanda za chini kama mwaza,singida n.k,na nyanda za juu kama mbeya...unaendalima mkoa upi?,tuanzie hapo.
 
Heka moja unaweza pata gunia 15 kama mahindi yatazaa mawili mawili
 
Mche /mche ni 25/30 cm& mtari/mstari ni 70/65
Mbegu 1@shimo
Palizi mara baada ya nyasi kuota au kabla ya cku 21,mbolea weka mahindi yakiwa na 21 days kwa kiwango cha kisoda 1,Aina ya mbolea hutegemea aina ya Ardhi-unaweza tumia mbolea aina ya Yara.
 
Kwanza, upo WAP??? Kujua Aina ya mbegu Nzuri

Pili, spacing 30*75

Tatu, MBOLEA ya kupandia ni DAP na MBOLEA ya kukuzia n UREA

NNE, palizi ya kwanza n cku 14 baada ya kuoga mbegu!!
 
Kwanza, upo WAP??? Kujua Aina ya mbegu Nzuri

Pili, spacing 30*75

Tatu, MBOLEA ya kupandia ni DAP na MBOLEA ya kukuzia n UREA

NNE, palizi ya kwanza n cku 14 baada ya kuoga mbegu!!
Nipo Iringa
 
Kwanza, upo WAP??? Kujua Aina ya mbegu Nzuri

Pili, spacing 30*75

Tatu, MBOLEA ya kupandia ni DAP na MBOLEA ya kukuzia n UREA

NNE, palizi ya kwanza n cku 14 baada ya kuoga mbegu!!
Mbolea ya kukuzia huwekwa baada ya siku ngapi?
 
Mkuu tafuta uzi upo humu ndani unaelezea kila kitu we search tu kilimo cha mahindi utaupata..!!!
Mbona kila kitu humu jf kimo afu mnahangaika tu yani kabla ya kuandika unachotafuta jaribu kwanza kuangalia kama hiyo topic imo humu ndani.[emoji134]
 
kweli kabisa mkuu.
 
Mkuu hii ya moro ni kutegemea rehema za Mungu au kuna umwagiliaji??
 
Mkuu hii ya moro ni kutegemea rehema za Mungu au kuna umwagiliaji??
Fanya mawasiliano na idara ya hali ya hewa lakini zaidi ya yote usikae mbali na mwambao wa maji ili ikitokea mvua zimegoma unaweka mashine ya kuvuta maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…