Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set
tutajuaje kama wewe ni genius kweli?
 
Mpaka huu mwaka uishe kaskazin watakua wamenyooka mana kila nyuzi kaskazini sijui waliwafanya kitu gani hawa watu,watu wapo zao busy kutafuta hela wengine busy kuwajadil mwisho wa siku utasikia watu wakaskazini wezi hahah!
 
Kuna msichana kapasuliwa akiwa namiaka 20 tena uzao wa kwanza,siku izi naona nikawaida kukuta mtu anaezaa kwa umri mdogo kufanyiwa op pia
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Udaktari wako siyo kigezo cha kuwa genius .Unaweza kuwa daktari lakini siyo smart pamoja na kupita darasani.Kuna madaktari wengi tu walisoma IMTU na HKMU miaka hiyo kwa njia ya Pre university course baada ya kufeli ACSEE .Kuna wahandisi (Engineers ) wengi wamesoma ST.JOSEPH UNIVERSITY miaka hiyo kwa njia ya Bridging course baada ya kufeli.
 
Mimi sio daktari pia u genius huwezi kupima Kwa hii our education system kiasi ukiamua kuvua vua chupi unapata first class
 
Kuna msichana kapasuliwa akiwa namiaka 20 tena uzao wa kwanza,siku izi naona nikawaida kukuta mtu anaezaa kwa umri mdogo kufanyiwa op pia
Nikufahamishe tu ,Umri chini ya miaka 18 na umri zaidi ya miaka 35 ni candidate wa upasuaji kwa sababu ya nyonga (Pelvic)
 


"Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU"

Ujinga mwingine wa watu

Wakati wa Mungu uko determined na uwezo wako wa kutii na kujikabidhi kwenye neno la Mungu, and never defined by years...

Most of the time, wanaomngoja Mungu, actually Mungu ndo anawangoja wajikabidhi kwake......

Ninaamini ni mpango wa Mungu watu waolewe kwa wakati, kama hawana majukumu serious na wafurahi ndoa...

Mwanamke yeyote anayetafuta hela sana kwa bidii kama kipaumbele chake, hayupo, Kabisa, katika mpango wa Mungu.
 
Mimi sio daktari pia u genius huwezi kupima Kwa hii our education system kiasi ukiamua kuvua vua chupi unapata first class
Wewe ndio umejimbanua hivyo kuwa umesoma Embryology ,kwa system ya dunia leo HUMAN EMBRYOLOGY husoma na madaktari na Anatomists tu .Automatically kama umepinga usi wa daktari aliyesoma Embryology means wewe pia ni daktari.
 
Wewe ndio umejimbanua hivyo kuwa umesoma Embryology ,kwa system ya dunia leo HUMAN EMBRYOLOGY husoma na madaktari na Anatomists tu .Automatically kama umepinga usi wa daktari aliyesoma Embryology means wewe pia ni daktari.
Kwani kusoma jambo lazima uingie darasani hata online unasoma vizuri tu, Mimi binafsi vingi nimesomea online na YouTube kuliko huko vyuonj kuanzia hata DNA mbona Iko form three, Dunia ya Sasa usisubirie vya darasani tu kujiona unajua.
 
Wanawake wa ukanda huu wanaendekeza starehe zaidi, hilo laweza kuwa sababu, lakini wanakuwa na watoto, kuhusu kutokuzaa wakiwa na miaka 38 hilo ni kila kabila, ila ni asilimia chache hivi Lady Jaydee ni wa kaskazini.
 
Lakini Kuna watu hawapigi hivo na Wana akili nzuri tu vingine Huwa vyakurithi basi
Hapo kinachotofautisha ni uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kwenye SM~short term memory na LM~long term memory.
 
Mbona sisi hatuteseki. Halafu hili mbona ni kila mahali? Mnafikiri kwa kutushambulia hivi ndo tutakua masingo maza ama? Maybe by wish. Lakini we are living our lives. We are okey... mbona wazungu wanazaa at late ages na maisha yanaenda.
 
Huo utafiti uliufanya chumbani kwako? we mpuuzi acha chuki na ubaguzi wa kisenge
 
Kuna bidada yupo around 35 yrs (hatuna mahusiano) ni marafiki tu kimtindo,alioniomba tuzae matunzo yote juu yake, nikatoa nje, haukupita muda nikamuona ana kitumbo huku akininyari😃😃..nilajua kuna mtu huko ashapachikwa zigo.
Mpk anakuomba mlikuwa hampeani utelezi 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…