BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
tutajuaje kama wewe ni genius kweli?Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutajuaje kama wewe ni genius kweli?Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set
Duu kwa hiyo wenye 30 yrs hawajaolewa unawaambiajeNi kosa la kiufundi mwanamke kuvuka miaka 26 hujaolewa, ni mistake ya Hali ya juu ,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]tutajuaje kama wewe ni genius kweli?
Unakuta wengine ni nyonga haijatanuka…Kuna msichana kapasuliwa akiwa namiaka 20 tena uzao wa kwanza,siku izi naona nikawaida kukuta mtu anaezaa kwa umri mdogo kufanyiwa op pia
Udaktari wako siyo kigezo cha kuwa genius .Unaweza kuwa daktari lakini siyo smart pamoja na kupita darasani.Kuna madaktari wengi tu walisoma IMTU na HKMU miaka hiyo kwa njia ya Pre university course baada ya kufeli ACSEE .Kuna wahandisi (Engineers ) wengi wamesoma ST.JOSEPH UNIVERSITY miaka hiyo kwa njia ya Bridging course baada ya kufeli.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mimi sio daktari pia u genius huwezi kupima Kwa hii our education system kiasi ukiamua kuvua vua chupi unapata first classUdaktari wako siyo kigezo cha kuwa genius .Unaweza kuwa daktari lakini siyo smart pamoja na kupita darasani.Kuna madaktari wengi tu walisoma IMTU na HKMU miaka hiyo kwa njia ya Pre university course baada ya kufeli ACSEE .Kuna wahandisi (Engineers ) wengi wamesoma ST.JOSEPH UNIVERSITY miaka hiyo kwa njia ya Bridging course baada ya kufeli.
Nikufahamishe tu ,Umri chini ya miaka 18 na umri zaidi ya miaka 35 ni candidate wa upasuaji kwa sababu ya nyonga (Pelvic)Kuna msichana kapasuliwa akiwa namiaka 20 tena uzao wa kwanza,siku izi naona nikawaida kukuta mtu anaezaa kwa umri mdogo kufanyiwa op pia
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.
Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;
1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.
Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.
My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
Wewe ndio umejimbanua hivyo kuwa umesoma Embryology ,kwa system ya dunia leo HUMAN EMBRYOLOGY husoma na madaktari na Anatomists tu .Automatically kama umepinga usi wa daktari aliyesoma Embryology means wewe pia ni daktari.Mimi sio daktari pia u genius huwezi kupima Kwa hii our education system kiasi ukiamua kuvua vua chupi unapata first class
Kwani kusoma jambo lazima uingie darasani hata online unasoma vizuri tu, Mimi binafsi vingi nimesomea online na YouTube kuliko huko vyuonj kuanzia hata DNA mbona Iko form three, Dunia ya Sasa usisubirie vya darasani tu kujiona unajua.Wewe ndio umejimbanua hivyo kuwa umesoma Embryology ,kwa system ya dunia leo HUMAN EMBRYOLOGY husoma na madaktari na Anatomists tu .Automatically kama umepinga usi wa daktari aliyesoma Embryology means wewe pia ni daktari.
Hapo kinachotofautisha ni uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kwenye SM~short term memory na LM~long term memory.Lakini Kuna watu hawapigi hivo na Wana akili nzuri tu vingine Huwa vyakurithi basi
Huo utafiti uliufanya chumbani kwako? we mpuuzi acha chuki na ubaguzi wa kisengeKati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.
Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;
1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.
Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.
My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
Mpk anakuomba mlikuwa hampeani utelezi 😅😅Kuna bidada yupo around 35 yrs (hatuna mahusiano) ni marafiki tu kimtindo,alioniomba tuzae matunzo yote juu yake, nikatoa nje, haukupita muda nikamuona ana kitumbo huku akininyari😃😃..nilajua kuna mtu huko ashapachikwa zigo.